Ni Nini tena mkuu? Isije ikawa zile video zinazohitaji maconection kuzipata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Oya aliyekula Hamida kimasihara ajitokeze basi humu ndani kuna mwana anajigalagaza kama kambale huko.
Sent using Jamii Forums mobile app