matokeo ya dhambi ni mauti; hakuna amani katika uasi kwa Mungu
 
Umeongea true boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi za kwangu zote huwa ni arranged, nafanya tendo nikiwa na hisia na mapenzi na mtu.
Yaani napenda kuenjoy na kuwa free kwa mtu.
Sema nyie wanaume wajinga mnaweza kuona mnakula kimasihara kumbe watu tuliwaweka kwenye mkakati mda mrefu sana.
Sasa hem sema na wewe story yako ya kula/kuliwa kimasihara. Nimetokea kukukubaki ghafla ujuwe[emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…