Kuvunja mahusiano sio njia ya kumfanya apate pesa ya kutunza mtoto labda kuna inshu kama hizoMnatuongezea masingo maza mitaani, vijana wa sikuhizi pasua kichwa imagine angekuwa Dada yako ndo kafanywa hivyo ungefurahia? Inaonekana wewe hata pesa ya kumtunza mtoto hutoi ndo maana ameamua kuvunja mahusiano
Mkuu kama nilivyosema hapo kabla kuwa kulikuwa na muda mchache kabla sijafika kituo ninachoshukia,ninaamini kwa dakika chache hizo demu alihisi ataonekana maharage ya mbeya ingawa mie nilikuwa nataka kuweka stori ya kula kimasihara tu.Wearing style pamoja na low confidence ya siku hiyo uliyokuwa nayo ndo vilimfanya akuone nothing as utampotezea mda tu.
Ila usikate tamaa jaribu tena sehemu/ dem mwingine mwisho wa siku utakuja kuushukuru huu Uzi pendwa. Baharia hakati tamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
MREJESHO.
Kama ulisoma kisa hiki, naomba nikupe mrejesho kua nimeachwa rasmi juzi na jana nikatangaziwa tena kwa uhakika zaidi.
kaniacha kwa sababu chanzo ni kile kisa cha kumla binti wa kirangi na akajumlisha na matukio mengne ya nyuma ambayo nimewah kumfanyia hasa ya kumchit.
offcoz, kwa matukio niliofanya, i dont deserve her, nimemchit mara nyingi sana lakn sikuwahi kuwaza kama angejua na angechukua maamuzi alochukua jana.
kanivumilia kachoka na hakika anastahili kunichoka,
imeniuma sana sanaaa kwa sababu ni mwanamke pekee ambaye nilikua nina malengo ya kuishi nae na tulikua tushazaa nae mtoto ambaye ana 2.5yrs by now.
nimeumia na nimejutia kosa langu kutoka ndani yangu, nimejiapia kabsa kua sintakuja kumchit teeeena mwanamke nitakaekuja kua nae, kuachwa na huyu binti kumekua funzo gumu na kubwa sna kwangu.
anaendelea na maisha yake na hataki tena mahusiano na mm.
nitaandika thread vzr kwny jukwaa hili la mahusiano ili tujifunze mana kupitia hili nimejifunza mengi,
nitaelezea full stori muone makosa yangu na yake mjifunze pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea kitu cha maana sana,. Pamoja na kwamba huu ni uzi wa kula kimasihara tunatakiwa pia kujifunza kutokana na uzoefu.Hakuna kitu kibaya kama mtoto kulelewa na Baba mwingine au Mama mwingine sonona mnayompa mtoto ni ya maisha hata muwe na hela kivipi kulelewa na Baba na Mama wa damu kuna Hekima na Rehema zake katubu kwa mwenza wako mlee huyo mtoto kwa malezi yanayompendeza Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dingi huko kenya kala binti yake kimasihara kabisa.. kampakia na kilainishi mujarab cha babay care yani ...daaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mwanàmke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mwanàmke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa
Sent using Jamii Forums mobile app
PIEMU basii mkuu
Hakuna kitu kibaya kama mtoto kulelewa na Baba mwingine au Mama mwingine sonona mnayompa mtoto ni ya maisha hata muwe na hela kivipi kulelewa na Baba na Mama wa damu kuna Hekima na Rehema zake katubu kwa mwenza wako mlee huyo mtoto kwa malezi yanayompendeza Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu,
lakni msamaha wangu umegonga mwamba,
sina namna, ninachosubr ni kudra zake mwenyewe asamehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo atarudi mkuu trust me. Angekuwa hana mtoto angeweza kukupotezea mazima ila kwa sababu ya mtoto yeye mwenyewe atarudi. Mpe muda tu.kweli mkuu,
lakni msamaha wangu umegonga mwamba,
sina namna, ninachosubr ni kudra zake mwenyewe asamehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo unapiga baada ya dakika ngapi mkuu,mm dem nikimpiga tatu ,k itamuuma hawez nitman ninyi hiyo tano inakuwajeeAcha uzembe mm huwa nina manzi yangu siku zikiamka huwa napiga mpk 7 chini ya hapo n tano 5 kwahyo mwamba huwa simshangai kupiga 8
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kweli nakubaliana nawewe inategemea siyo wote wako sawaKawaida mm huwa napiga bao langu la kwanza dakika 5 mpk 7 baada ya dakika 5 naendelea na kutafuta la pili na huwa kuna muda naunganisha huwa inategemeana na aina ya mwanamke ulienae kuna mwingne mpk ukipiga kimoja hata huataman kbsa
Boy with mission
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli inawezekana
Nikishakuwa na mwanaume wa hivi,alikuwa mtu wa mazoezi,chakula anapenda vile ambavyo havina mafuta
Ukitoka kwake hutamani mbo.. tena
Na ukilala nae siku 3 mfululizo lbd mmesafiri,ukirudi k yote inauma,sikuona utamu wa game za muda mrefu dk 30 unalichakata goma mmmh
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanake wana namba yao tasa hiyo...kila unayemuuliza atakwambia ametembea na wanaume watatu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....utaambiwa wewe ni wanne...na kati ya hao watatu ni moja tu ndiye aliyemla .....tena huyo aliyemla alimbaka...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...tena mara moja tuu
Hiyo anavunga kwakuwa cyo bikra...
Baharia ukipewa hiyo namba ujue upo kwenye dauble digiti...kula mzigo halafu piga kamya....