Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wearing style pamoja na low confidence ya siku hiyo uliyokuwa nayo ndo vilimfanya akuone nothing as utampotezea mda tu.

Ila usikate tamaa jaribu tena sehemu/ dem mwingine mwisho wa siku utakuja kuushukuru huu Uzi pendwa. Baharia hakati tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama nilivyosema hapo kabla kuwa kulikuwa na muda mchache kabla sijafika kituo ninachoshukia,ninaamini kwa dakika chache hizo demu alihisi ataonekana maharage ya mbeya ingawa mie nilikuwa nataka kuweka stori ya kula kimasihara tu.
Anyway,asante kwa ushauri wako kipindi kijacho nitazingatia
 
Hakuna kitu kibaya kama mtoto kulelewa na Baba mwingine au Mama mwingine sonona mnayompa mtoto ni ya maisha hata muwe na hela kivipi kulelewa na Baba na Mama wa damu kuna Hekima na Rehema zake katubu kwa mwenza wako mlee huyo mtoto kwa malezi yanayompendeza Mungu
MREJESHO.

Kama ulisoma kisa hiki, naomba nikupe mrejesho kua nimeachwa rasmi juzi na jana nikatangaziwa tena kwa uhakika zaidi.

kaniacha kwa sababu chanzo ni kile kisa cha kumla binti wa kirangi na akajumlisha na matukio mengne ya nyuma ambayo nimewah kumfanyia hasa ya kumchit.

offcoz, kwa matukio niliofanya, i dont deserve her, nimemchit mara nyingi sana lakn sikuwahi kuwaza kama angejua na angechukua maamuzi alochukua jana.

kanivumilia kachoka na hakika anastahili kunichoka,
imeniuma sana sanaaa kwa sababu ni mwanamke pekee ambaye nilikua nina malengo ya kuishi nae na tulikua tushazaa nae mtoto ambaye ana 2.5yrs by now.

nimeumia na nimejutia kosa langu kutoka ndani yangu, nimejiapia kabsa kua sintakuja kumchit teeeena mwanamke nitakaekuja kua nae, kuachwa na huyu binti kumekua funzo gumu na kubwa sna kwangu.

anaendelea na maisha yake na hataki tena mahusiano na mm.
nitaandika thread vzr kwny jukwaa hili la mahusiano ili tujifunze mana kupitia hili nimejifunza mengi,
nitaelezea full stori muone makosa yangu na yake mjifunze pia.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kibaya kama mtoto kulelewa na Baba mwingine au Mama mwingine sonona mnayompa mtoto ni ya maisha hata muwe na hela kivipi kulelewa na Baba na Mama wa damu kuna Hekima na Rehema zake katubu kwa mwenza wako mlee huyo mtoto kwa malezi yanayompendeza Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea kitu cha maana sana,. Pamoja na kwamba huu ni uzi wa kula kimasihara tunatakiwa pia kujifunza kutokana na uzoefu.
Kwa ambao hawajaoa au kuolewa ni vema wakaepuka hii hali ya kuwa na watoto kwa mama/baba zaidi ya mmoja. Watoto wanapata tabu sana kuishi na baba/mama wa kambo wadau.
 
Hamna mwanàmke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanake wana namba ya tasa hiyo...kila unayemuuliza atakwambia ametembea na wanaume watatu...😂😂😂😂😂😂😂😂😂....utaambiwa wewe ni wanne...na kama ya hao watatu ni moja tu ndiye aliyemla .....tena huyo aliyemla alimbaka...😆😆😆😆

Hiyo ni kwa vile cyo bikra...

Baharia ukipewa hiyo namba ujue upo kwenye dauble digiti...kula mzigo halafu piga kama....
 
Hamna mwanàmke anayejitapa kugongwa na wanaume wengi
Lbd awe bitch ataona kawaida,hao wanawake wanaojitangazia kugongwa na mwanaume huyu,yule na yule ujue mshamba,mtoto au limbukeni wa mastaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanake wana namba yao tasa hiyo...kila unayemuuliza atakwambia ametembea na wanaume watatu...😂😂😂😂😂😂😂😂😂....utaambiwa wewe ni wanne...na kati ya hao watatu ni moja tu ndiye aliyemla .....tena huyo aliyemla alimbaka...😆😆😆😆...tena mara moja tuu

Hiyo anavunga kwakuwa cyo bikra...

Baharia ukipewa hiyo namba ujue upo kwenye dauble digiti...kula mzigo halafu piga kamya....
 
kweli mkuu,
lakni msamaha wangu umegonga mwamba,
sina namna, ninachosubr ni kudra zake mwenyewe asamehe.
Hakuna kitu kibaya kama mtoto kulelewa na Baba mwingine au Mama mwingine sonona mnayompa mtoto ni ya maisha hata muwe na hela kivipi kulelewa na Baba na Mama wa damu kuna Hekima na Rehema zake katubu kwa mwenza wako mlee huyo mtoto kwa malezi yanayompendeza Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida mm huwa napiga bao langu la kwanza dakika 5 mpk 7 baada ya dakika 5 naendelea na kutafuta la pili na huwa kuna muda naunganisha huwa inategemeana na aina ya mwanamke ulienae kuna mwingne mpk ukipiga kimoja hata huataman kbsa

Boy with mission

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kweli nakubaliana nawewe inategemea siyo wote wako sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni baharia hatari
Ni kweli inawezekana
Nikishakuwa na mwanaume wa hivi,alikuwa mtu wa mazoezi,chakula anapenda vile ambavyo havina mafuta
Ukitoka kwake hutamani mbo.. tena
Na ukilala nae siku 3 mfululizo lbd mmesafiri,ukirudi k yote inauma,sikuona utamu wa game za muda mrefu dk 30 unalichakata goma mmmh

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kama ulikuepo. Utasikia we ndo mtu wa tatu
Wanake wana namba yao tasa hiyo...kila unayemuuliza atakwambia ametembea na wanaume watatu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....utaambiwa wewe ni wanne...na kati ya hao watatu ni moja tu ndiye aliyemla .....tena huyo aliyemla alimbaka...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...tena mara moja tuu

Hiyo anavunga kwakuwa cyo bikra...

Baharia ukipewa hiyo namba ujue upo kwenye dauble digiti...kula mzigo halafu piga kamya....
 
Back
Top Bottom