MREJESHO.
Kama ulisoma kisa hiki, naomba nikupe mrejesho kua nimeachwa rasmi juzi na jana nikatangaziwa tena kwa uhakika zaidi.
kaniacha kwa sababu chanzo ni kile kisa cha kumla binti wa kirangi na akajumlisha na matukio mengne ya nyuma ambayo nimewah kumfanyia hasa ya kumchit.
offcoz, kwa matukio niliofanya, i dont deserve her, nimemchit mara nyingi sana lakn sikuwahi kuwaza kama angejua na angechukua maamuzi alochukua jana.
kanivumilia kachoka na hakika anastahili kunichoka,
imeniuma sana sanaaa kwa sababu ni mwanamke pekee ambaye nilikua nina malengo ya kuishi nae na tulikua tushazaa nae mtoto ambaye ana 2.5yrs by now.
nimeumia na nimejutia kosa langu kutoka ndani yangu, nimejiapia kabsa kua sintakuja kumchit teeeena mwanamke nitakaekuja kua nae, kuachwa na huyu binti kumekua funzo gumu na kubwa sna kwangu.
anaendelea na maisha yake na hataki tena mahusiano na mm.
nitaandika thread vzr kwny jukwaa hili la mahusiano ili tujifunze mana kupitia hili nimejifunza mengi,
nitaelezea full stori muone makosa yangu na yake mjifunze pia.
Sent using
Jamii Forums mobile app