Kiuhalisia kwenda muda mrefu ukiwa juu ya kifua ni mapungufu kama ilivyo kwenda kwa sekunde. Na mimi si kwamba kwa huo muda wa kuanzia dakika 20-40 au hata zaidi sipigi bao. Bao linapigwa ila sio lile tamu la kubana makalio na misuli ya mwili na hapa ndio penye mechanism ya kulast long ukiwa umepiga bao na ukaendelea kupiga mechi bila mtarimbo kusinyaa.
Nilikuwa na tatizo la kuwa na mbio fupifupi ila nyingi lakini sikumbuki ilikuwaje nikaanza kutafuta mbinu ya kukaa muda mrefu angalau hata 20 minutes badala ya dakika 10 au 15 nilizokuwa natumia na ndio nikajikuta ninaweza kuamua mwenyewe nitumie dakika ngapi nikisugua mashine kwa bao la kwanza na yanayoendelea.
Iko hivi, bao la kwanza lina speed kwa mtu yeyote unaweza piga bao hata kwa dakika moja. Sasa mimi huwa naruhusu bao litoke lakini nalifanya lisiwe tamu naondoa feeling kabisa kuwa kuna bao linatoka. Na kuruhusu kwenyewe si kwa kukaza misuli au kujikamua kama ilivyo kawaida kwa bao linapotoka. Sasa kwa hapa unaweza pigia nje au sehemu yoyote lakini isiwe ndani ya K. Ukipigia ndani ya k automatically utapata utamu na nguvu za ajabu kumaliza gemu kutokana na utamu, msuguano na joto la ndani ya K na baada ya hapo misuli ya uume italegea tu. Lakini ukipigia nje ya hapo misuli ya mtarimbo haisinyai.
Pia unaporuhusu bao hilo kutoka kwa faida ya muendelezo wa game usiushike uume ili upige bao itakuwa kama unapiga punyeto na hivyo kusababisha kuipata ile feeling ya utamu wa bao na baada ya hapo uume utasinyaa na hutaendeleza game. Jambo la msingi ruhusu bao bila kushika wewe au yule unayemt........ kumbuka nilichosema mwanzo hapo juu, bao hili usilikamue kwa hisia acha litoke naturally na iwe kwa vipande vipande kama unavyobana mkojo ule wa asubuhi unatoka unaacha. Na hili bao inatakiwa uliruhusu kiduchu bana, then kiduchu bana. Tafadhali usiruhusu litoke lote utapoteana. Bao unalopaswa kuruhusu kutoka ni lile kihelele na nafikiri huwa ni majimai yaliyo kwenye prostate gland au kokwa na si kuruhusu wareno wanaotoka kwenye testis then unaendelea na game. Na hapa ndio unapata point ya wale wenye uwezo wa kuunganisha bao hata 4 mpaka 6 bila kushuka na hii huwa naweza fanya ila baada ya hapo huwa siwezi kurudi on top kwa muda mfupi. Huwa inanichukua saa 1-2 au nisiwe na hamu tena ya kuendelea maana nakuwa nimemaliza kila kitu kwa hiyo round moja yenye mishindo mingi.
Na kwa upande mwingine ili ufanikiwe kwenye hili ni lazima ukwepe baadhi ya style kama vile woman on top na ile ya kuinua mguu mmoja, kumbeba mwanamke au nyinginezo zenye friction kali. Kwa hizi hutaweza kujicontrol, lazima wazungu watakuja mapema. Hapa ni lazima utumie style ambazo unacontrol game wewe itakuwa rahisi kucontrol bao linalotoka lisiwe lenye madhara vinginevyo kuna style ukianza nazo huchukui round na ndio maana makahaba waliokubuhu wanacharge pesa kwa bao. Wanajua style ya kukufanya upige bao kwa sekunde chache usimchoshe ili aendelee na biashara.
Kumbuka bao unaloliruhusu ni majimaji machache yanayotoka kwenye prostate gland na sio bao lote halafu unabana unaendelea na game, usishike uume au kushikwa unaporuhusu haka kabao, usiruhusu woman on top style na zingine zenye friction kali, Usitumie nguvu za misuli unaporuhusu bao hili, tena unaweza kojoa kidogo unabana then unarudi kwa game, Usipigie ndani haya mabao mpito kama bado hujajizoeza vizuri ingawa hata ndani inawezekana ila usiingize uume wote unapiga bao hili. Chovyachovya juujuu kichwa mb...na usivuke mabega kama utaweza.
Sina uhakika kama nimeweza kuelezea kwa ufasaha na utaelewa ila ndio hivyo mimi hufanya na mara nyingi huwa 3-5 hata six goals in 1 na baada ya hapo ndio naamua kupumzika. Na mara nyingi naruhusu zamu ya mwanamke kunihudumia na kuonyesha uwezo wake pale ninapoona huu ni muda wa kumaliza na yeye ametosheka na huwa namuambia namaliza kama bado mwendo ni uleule. Akiruhusu tu namuambia go on top do ur things u have darling na kwa speed ya hatari hapo napiga bao langu la mwisho safi.
Nenda kajaribu ukiweza ikikufaa it will good for you Boss!!!
Sent using
Jamii Forums mobile app