Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mbona mi kila ninayemsoma kala tunda kimasihara naona alikua ye ndo target kuliwa kimasihara,,, kiufupi wanawake tumewala kimasihara sana
Hoja yako inafikirisha na imebeba siri ya matukio yaliyotokea. Tuliwala kimasihara kwa sababu wanawake wenyewe "waliji-position" kuliwa. Waliaandaa mazingira yaliyowezeshwa kuliwa kimasihara.
"...when it comes to sex men need opportunity while women need reason..."

Walikuwa na sababu sisi tuliona fursa.
 
PREVIOUSLY

NILIISHIA: Nkampa namba yangu, after two days akaja room nkala mzigo, baada ya kula mzigo ile tunapiga story akaniambia kuna rafiki yake ananielewa sana, and she has a crush on me

BAADA YA KUFANIKISHA KULA YULE MANZI KIMASIHARA EPISODE INAYOFATA NI NILIVOMKULA RAFIKI YAKE KIMASIHARA

2. Baada ya kumla yule manzi kimasihara, na akaniambia ana rafiki yake ana crush on me, nkamuuliza ni nani? Nkamwomba anitajie akagoma

Ikafika weekend nkaenda viwanja kurefresh na washkaji ambao nipo nao postgrad , ss kuna mda nkanyanyuka nkaenda washrum, nlivorudi nkakuta kwenye kiti changu amekaa manzi flani af anaongea na mwanangu

Nkamzingua mwana, yani i leave for one minute ushahonga kiti changu, jamaa akachekaaa, jamaa akainuka akaniamba kaa hapa kwenye kiti changu, akanitambulisha akasema huyu mwanamke anaitwa "V" nimetumia fake initial ya jina lake halisi

Kumbe nlivokwenda washrum, V akaja akampa hi mwana, then akamwambia nyie si mpo chuo flani right? Tunasoma wote huko but sisi tupo undergraduate, baada ya hapo akamwambia mwana kua i like ur friend, i have a crush on him, mwana akacheka sana, akamwambia say no more, akamwambia V akae hapo kwenye kiti changu ili nkija tuongee vizuri

And that is how i met V, baada ya story nyingi tukabadilishana namba, na alikua foreign student, yani hawa foreigners wakikuelewa hawakwepeshi, wanaenda straight to the point

mda 2narudi chuo tukawapa lift V na friends wake ride mpaka hostel, humo kwenye gari full kupakatana

Nkimwelezea V by appearance, alikua na miguu kama zile chupa zetu pendwa za TBL, mapaja na hips kubwa, but ukija kiunoni kwenda juu yupo slim

Sasa ile mempakata kwenye gari nlipata tabu sana, yan nimedinda ile mbaya, tukawadrop mpaka hostel zao tukaagana

Sasa bwana nkaanza kuchat nae vizuri tu, tukapanga ahadi kibao, ghafla akachange, yani interest ikakata kabisa, siku namwuliza vp mbona sikuelewi?, akasema yani u've f*cked my friend and now u want to f*ck me, haiwezekani, nkajaribu sana kumshawishi akagoma, tukawa tunachat kawaida

Alikua akienda home likizo ananicheki na foreign namba zenye code ya huko kwao, nkaona huyu bado ana interest, nkamzingua siku ukirudi tafta siku tuspend the whole day together, yani iwe kula, kunywa, f*cking, movies n.k, akacheka akasema ntakujibu

Alivorud akanipotezea mazima, na mm nkampotezea, baada ya kama 6months sina hili wala lile, usiku nanyoosha nguo ili kesho niende kanisani, nakuta txt yake

Tukaanza kuchat, she's like umenisusa n.k, akaniambia B unakumbuka uliniambiaga tutafte siku tuspend the whole day together?, naomba iwe kesho

Dah asiee, huwez amini nguo zile za kanisani bora nsingenyoosha, demu alisema anakuja saa nne asubuhi, na ndio mida hiyo hiyo nlipanga kwenda ibada

Nkajisemea church ntaendaga tu ila hii papuchi ya foreigner imejileta bila kutegemea siwez poteza chance

Kesho saa nne asubuhi kweli akafika, ile tunapiga story, akasema anaskia joto, akavua jeans akabaki na G string, yani naangalia alivo na kiuono kidogo af na zile hips, mapaja na miguu mikubwa, yani G string imemezwa vyema, utasema mtoto kachongwa, juu kavua blouse katoa bra kabaki chuchu wazi

Na muda wote anavua huku ananiangalia, rum nlikua na wine tukaanza kunywa, wine ikaongeza mood, ghafla we started kissing, touching, asee akanipanda kwa juu, akavuta zile vikamba vya G string yake chupi ikajivua kiwepesi

Asee yule manzi alikua very very nasty in bed, nkipiz naenda kuoga hakupi ata chance ya kupumzika, anaanza kusuck, anasuck hadi testicles baharia unapata stimu za round ingine

Asee wakati nipo juu yake namf*ck manz alikua na makucha, basi mgongoni ananihold tight na zile kucha zake adi aliniacha na alama za kucha mgongoni, nlimkimbiza round tano, ikafika muda napiga mashine ila sikojoi adi akasema lets rest

Aisee we fucked the whole day, yani baada ya miezi mingi kupita from no where akajileta nkala papuchi yake

The rest is history, rafiki ake akaja kujua nilimla shost ake foreigner,

Foreigner alivomaliza studies akarudi nchini kwao, rafiki yake nliemla kwanza kashaolewa

Nakuja na episode 3

Nlivomla demu wa bro flani kimasihara, nlikutana na huyo Bro ni mshkaji wangu akiwa club na manzi wake

STAY TUNED
 
Wewe ni muongo sijui hata kama ulishawai kuona papa, kwanza chumvini ni nyuma , ukisikia mtu anakuambia anazama chumvini maana yake anakula tigo au anasogeza tope, kuzama chumvini sio kulamba k, umeelewa dogo.
We chalii nahis umechanganyikiwa,..
Nani kakwambia chumvini ni Tigo ..
Hebu uliza hata kwa mdogo wako huko...
Tokea lini tigo unachumvi chumvi...
Au hata Uvinza ujawahi piga deki nini!?

Over...

Kama huamini jaribu kwa mkeo.
 
Ngoja nishare hi ya juzi tu! Kuna binti nlimjua kupitia kwa rafk yangu wa kike ila ckuwah kumeet nae ilikua tunachat na kuongea kdgo ila alikua anazngua meeting bas nkapoteza mawasiliano nae! last month nlikua npita pita kwnye google account yng nkaona number yke bas nkaisave kwnye cmu nkaja kumtafuta afta 2 weeks baada ya kuisave! na hapo ni zaid ya miaka minne o mitano atujawacliana! nlpomchek akadai anikumbuki may b nimtumie picha! nlimtumia ila still aksema akumbuk hata urafk wetu' ila akamuliza yule shoga ake [nliyemjua kupitia huyo]..bas nkaanza kuchat nae but this time alikua race mbaya bas afta two days nkarud dar (nlikua nmesafir)...wakt npo njian akauliza kma tutaonana leo leo nkamwmbia ntafka ucku aksema bas, ila afta few minutes aksema hata ukufka nght ntka nkuone! nksema poa.
Nlifka dar saa tatu ksoro nkamfata alipokua anansubir tukaongea one hour (maongez ya kawaida kabsa) then kimvua kikaanza nkamsindkiza kituon, ila nkamwmbia muda umeenda ngoja nkusindkize mpka kituon kwako..tulipofka kituoni kwake aksema twende ukapajua kwangu! nksema poa, tukaenda hadi kwake(remind u ilishafka saa nne na dk)..tumefka kwake tukaanza stry kidgo ghafla bonge la mvua akaniwashia tv yy akaenda kuoga! aliporud tukawa tunawatch tv na stry kdgo kdgo ila nlikua kila nkisema naondoka ananmbia mbona bado mapema sana (saa sita hyo ilikua)..nksema huyu anijui bas akawa ananihadithia mambo yke ya ajira mzee ghafla nkamkatisha na deep romance mtto akarespond huku anahemea juu juu "brown(sio jina langu) this is not right" alinsumbua kuvua chup kma dk 20 ila mwshowe akaliwa! na nkalala kwake mpka morng nkaacha nyoya!
Dah mtto ameumbika yule yan siamini kma nlimla kiboya in our frst day ya kuonana n two days afta kuanza kuwasiliana nae!
Muwe mnamaliza na stoey after kumla nini kiliendelea pia kwa sasa hali ipoje
 
PREVIOUSLY

NILIISHIA: Nkampa namba yangu, after two days akaja room nkala mzigo, baada ya kula mzigo ile tunapiga story akaniambia kuna rafiki yake ananielewa sana, and she has a crush on me

BAADA YA KUFANIKISHA KULA YULE MANZI KIMASIHARA EPISODE INAYOFATA NI NILIVOMKULA RAFIKI YAKE KIMASIHARA

2. Baada ya kumla yule manzi kimasihara, na akaniambia ana rafiki yake ana crush on me, nkamuuliza ni nani? Nkamwomba anitajie akagoma

Ikafika weekend nkaenda viwanja kurefresh na washkaji ambao nipo nao postgrad , ss kuna mda nkanyanyuka nkaenda washrum, nlivorudi nkakuta kwenye kiti changu amekaa manzi flani af anaongea na mwanangu

Nkamzingua mwana, yani i leave for one minute ushahonga kiti changu, jamaa akachekaaa, jamaa akainuka akaniamba kaa hapa kwenye kiti changu, akanitambulisha akasema huyu mwanamke anaitwa "V" nimetumia fake initial ya jina lake halisi

Kumbe nlivokwenda washrum, V akaja akampa hi mwana, then akamwambia nyie si mpo chuo flani right? Tunasoma wote huko but sisi tupo undergraduate, baada ya hapo akamwambia mwana kua i like ur friend, i have a crush on him, mwana akacheka sana, akamwambia say no more, akamwambia V akae hapo kwenye kiti changu ili nkija tuongee vizuri

And that is how i met V, baada ya story nyingi tukabadilishana namba, na alikua foreign student, yani hawa foreigners wakikuelewa hawakwepeshi, wanaenda straight to the point

mda 2narudi chuo tukawapa lift V na friends wake ride mpaka hostel, humo kwenye gari full kupakatana

Nkimwelezea V by appearance, alikua na miguu kama zile chupa zetu pendwa za TBL, mapaja na hips kubwa, but ukija kiunoni kwenda juu yupo slim

Sasa ile mempakata kwenye gari nlipata tabu sana, yan nimedinda ile mbaya, tukawadrop mpaka hostel zao tukaagana

Sasa bwana nkaanza kuchat nae vizuri tu, tukapanga ahadi kibao, ghafla akachange, yani interest ikakata kabisa, siku namwuliza vp mbona sikuelewi?, akasema yani u've f*cked my friend and now u want to f*ck me, haiwezekani, nkajaribu sana kumshawishi akagoma, tukawa tunachat kawaida

Alikua akienda home likizo ananicheki na foreign namba zenye code ya huko kwao, nkaona huyu bado ana interest, nkamzingua siku ukirudi tafta siku tuspend the whole day together, yani iwe kula, kunywa, f*cking, movies n.k, akacheka akasema ntakujibu

Alivorud akanipotezea mazima, na mm nkampotezea, baada ya kama 6months sina hili wala lile, usiku nanyoosha nguo ili kesho niende kanisani, nakuta txt yake

Tukaanza kuchat, she's like umenisusa n.k, akaniambia B unakumbuka uliniambiaga tutafte siku tuspend the whole day together?, naomba iwe kesho

Dah asiee, huwez amini nguo zile za kanisani bora nsingenyoosha, demu alisema anakuja saa nne asubuhi, na ndio mida hiyo hiyo nlipanga kwenda ibada

Nkajisemea church ntaendaga tu ila hii papuchi ya foreigner imejileta bila kutegemea siwez poteza chance

Kesho saa nne asubuhi kweli akafika, ile tunapiga story, akasema anaskia joto, akavua jeans akabaki na G string, yani naangalia alivo na kiuono kidogo af na zile hips, mapaja na miguu mikubwa, yani G string imemezwa vyema, utasema mtoto kachongwa, juu kavua blouse katoa bra kabaki chuchu wazi

Na muda wote anavua huku ananiangalia, rum nlikua na wine tukaanza kunywa, wine ikaongeza mood, ghafla we started kissing, touching, asee akanipanda kwa juu, akavuta zile vikamba vya G string yake chupi ikajivua kiwepesi

Asee yule manzi alikua very very nasty in bed, nkipiz naenda kuoga hakupi ata chance ya kupumzika, anaanza kusuck, anasuck hadi testicles baharia unapata stimu za round ingine

Asee wakati nipo juu yake namf*ck manz alikua na makucha, basi mgongoni ananihold tight na zile kucha zake adi aliniacha na alama za kucha mgongoni, nlimkimbiza round tano, ikafika muda napiga mashine ila sikojoi adi akasema lets rest

Aisee we fucked the whole day, yani baada ya miezi mingi kupita from no where akajileta nkala papuchi yake

The rest is history, rafiki ake akaja kujua nilimla shost ake foreigner,

Foreigner alivomaliza studies akarudi nchini kwao, rafiki yake nliemla kwanza kashaolewa

Nakuja na episode 3

Nlivomla demu wa bro flani kimasihara, nlikutana na huyo Bro ni mshkaji wangu akiwa club na manzi wake

STAY TUNED
Sawa mkuu leta hiyo episode ya 3,4,5,6.... mpaka series nzima iishe wadau wa kukupa likes za kutosha tupo hapa.....
 
Urefu hapana, nina k unajua kimo cha kawaida sana japo si mfupi pia. Sifa yangu kubwa ambayo wengi huja kuisema baada ya kuwakera ni "mwonekano wa kiistarabu" [emoji1][emoji1]
hii kauli niliambiwa na jirani yangu ambaye alikuja tu mara anaogopa kulala peke yake mara ...anyway nilikula ila ntaiweka vizuri siku nikimaliza hizi comments..nikpo page 81/83 naweza maliza leo nikapata muda
 
Nimeshaeleza kwenye thread za awali namna nilivyomla binti wa kilokole bila kutarajia nikiwa mwaka wa pili chuoni UCLAS- kwa sasa Ardhi University (ARU). Pia nimeshaeleza jinsi nilivyomla mtoto wa Kisomali (Minna)nikiwa mwaka wa tatu.
Ni muhimu kuweka wazi mambo yafuatayo:

1. Kwa sasa nimeshaoa, ila hata mke niliye naye sikumtongoza pia, naye nilimla kimasihara na tukaishia kwa ndoa takatifu kanisani.

2. Katika maisha yangu yote ya kimahusiano na wanawake kadhaa sijawahi ‘’kutongoza’’, idadi yote ya wanawake niliowahi kufanya nao mapenzi ni ‘’bahati mbaya tu’’ au niliwala bila kufanya juhudi za makusudi za kuwashawishi ama kuwatongoza.

3. Mambo tuliyopitia miaka iliyopita inaweza isiakisi hali zetu za kiroho kwa sasa, ni sehemu ya ukuaji na safari ya maisha ya mwanadamu iliyojaa kumbukumbu nzuri na mbaya. Epuka kuhukumu, haya mambo yalitokea na yamebaki kuwa historia.

4. Nikiri kwamba wanawake ni zaidi ya tunavyowaona, hatuwajui wanawake, wanawake wapo complex sana. Chochote unachofikiri kuhusu mwanamke kinaweza kuwa kinyume kabisa na jinsi alivyo.

5. Niliwahi kuuliza hawa wadada kila mmoja kwa muda tofauti ili kuweza kujua kama kilichotokea kati yao na mimi ni bahati mbaya, walinipa majibu kwamba kwa namna moja ama nyingine ‘’waliamua kwa makusudi’’ kufanya walichofanya ila waliaandaa mazingira ya mimi ku-respond. Hitimisho ni kwamba wote walikuwa tayari kunitunuku wakiwa huru kabisa. Walifanya maamuzi hivyo kilichotokea ni masihara lakini haikuwa bahati mbaya na wala hawajutii. Hii ilinishangaza sana.

6. Hivi vibinti vidogo (18-22) ni vitundu sana kuliko hata dada zao. Hawa huwa tayari kufanya mambo mengi (Exploring Sexual Stuff) kuliko dada zao ambao huwa wanaleta kanuni, taratibu na sheria na sera kibao kwenye mapenzi. Hawa mabinti wadogo huwa free sana wakati wa kupeana raha, hawa huwa hawana wanachokionea aibu, kama kelele zitamtoka, kama blowjob atakufanyia, kama asali utampaka na kumlamba mwili mzima, utamweka unavyotaka, pia hawana haraka. Hawa kama umepanga chumba chenye choo ndani na mazingira ni mazuri, anaweza akashinda uchi ndani weekend yote. Kama mnaishi jirani kukujia asubuhi akiwa na dera bila chupi ni kawaida sana. Huyu kukutumia meseji ya kwamba ana hamu na nyoka wala ni jambo la kawaida kabisa. (However I am totally Against Sexual Relationship with Primary & Secondary School Students)
Leo ngoja tumalizie nilivyopata utamu wa mtoto Mchungaji wa kanisa, kama nitakuwa na muda nitarudi hapa siku nyingine kueleza jinsi nilivyomla dada shombeshombe(Mpemba) kutoka Chakechake ambaye nilikutana naye kwenye boti ya Azam- Kilimajaro IV nikitokea Unguja Alhamisi ya tarehe 8 mwezi January mwaka 2015.
Wazazi wangu wote ni waumini wa kanisa ambalo linataratibu nyingi tofauti na makanisa mengine ya Kikristo, na nilikuzwa katika misingi ya kuhudhuria kanisani na kushiriki shughuli za kikanisa. Mchungaji wa kanisa letu kati ya mwaka 2006-2010 alikuwa na mabinti wawili. Mmoja alikuwa amenizidi miaka miwili na alinitangulia chuo, huyu wa pili ambaye kiutani nilimpa code name ya ‘’Princess’’ nilikuwa namzidi miaka minne, nilimzoea zaidi dada mkubwa kuliko huyu mdogo maana kalikuwa anajisikia kwa namna fulani hivi. Wakati huu ndio alikuwa amemaliza kidato cha sita na alikuwa ameshapata chuo fulani hapa Dar na alikuwa anajiandaa kwa Orientation Week. Kwa urembo binti mkubwa alikuwa mrembo zaidi ya mdogo wake, japo huyu mdogo naye alikuwa na sifa zake kama ngozi laini, sura ya upole, sauti nyororo na mapozi ya kike, dimpoz, mwanya wa wastani, kijitako kilichoinuka kiasi kama daraha la Mfugale pale Tazara, mwili wa wastani na rangi ya kahawa.
Nilikuwa na mazoea na Mchungaji kama ilivyokuwa kwa vijana wengine tuliokuwa vyuoni wakati huo, nikiwa likizo ya mwaka tatu baada ya kumaliza ‘’Industrial Training’’ wengine mnaita Field, nilikuwa home nikisubiri kurudi ARU ili niingie mwaka wa nne. Jumapili moja jioni nikiwa nimekaa nyumbani nikaona simu inaita, kupokea ni mama mchungaji anahitaji nimsindikize binti yao mdogo kwenda Hostel maana kesho yake ndio wanaanza Orientation week. Miaka hiyo vyuo vilikuwa vinafunguliwa September mwishoni. Huyu binti licha ya kuwa mwaka wa kwanza aliamua kupanga, kwa madai kuwa mazingira ya hostel ya Chuo hayakumpendeza na kwa vile Mchungaji alikuwa na hali nzuri kifedha binti alipangiwa chumba (Bedroom+Washroom na jiko) kwenye nyumba moja ambayo ilikuwa na uzio maeneo karibu kabisa na chuo ikipakana na kambi ya jeshi (Wenyeji wa mjini wanaweza kujua nazungumzia chuo kipi hapa). Nyumba ilikuwa mpya na ilijengwa vizuri maalumu kwa ajili ya wanafunzi.
Basi nikafika nyumbani kwa Mchungaji nikakuta Canter na vijana wachache wanapakia vitu vya binti ili aende alipopanga. Mama akamwambia binti kaka yako atakusindikiza mpaka huko ulipopanga ili akusaidie kupanga vitu, binti akasema kwa nini unamsumbua mbona ningeweza kupanga vitu mwenyewe? Mama akasisitiza kuwa nenda naye tu. Nami bila hiyana nikasaidiana nao na hatimaye safari ikaanza, nilichogundua mpaka hapo ni kuwa hofu ya mama mchungaji ilikuwa kwa vijana na dereva wa Canter ambao walikodiwa ili kumsindikiza binti, hivyo kazi yangu ilikuwa kuhakikisha hawa vijana hawapati nafasi ya kumsumbua (kumtongoza au kumrubuni huyu binti).
Safari ilianza saa kumi na moja jioni, kufika maeneo ilipo kambi ya kikosi cha anga- wataalamu wa mji wataelewa ni kambi ipi naizungumzia hapa, tukakuta foleni hivyo mpaka tunafika mahali binti alipopanga ni saa 12.30 jioni. Vijana wakashusha mizigo na kisha kuondoka na Canter yao. Ikabaki kazi ya kupanga vitu ikiwemo kufunga kitanda, pazia, na kusafisha chumba maana nyumba ilikuwa mpya na tiles zilikuwa na mabaki ya rangi hivyo ilibidi tusafishe. Nilifanya mambo yote kwa haraka nikitamani walau nisichelewe zaidi ya saa mbili na nusu usiku ili niwahi kurudi nyumbani.
Wakati wote huu hatukuwa na stori na huyu binti kwani bado kichwani kwangu nilimuona kama ni binti anayejisikia sana. Kila mmoja alihangaika na shughuli yake. Baada ya muda alikuja binti mmoja ambaye naye pia alikuwa mwanafunzi aliyepanga hapo, huyu alikuja kwa nia ya kumsaidia mwenzake, alipofika na kunikuta akaamua kurudi kwa kuwa aliona kazi nyingi zimeshaisha. Alipotoka tu ‘’Princess’’ akanitania ‘’Kijana umeona kitu hicho’’? , nikamjibu ‘’huyo mbona wa kawaida sana’’, akacheka kisha akasema ‘’ inaonekana huko chuoni kwenu kuna wengi warembo?’’ nikamjibu ‘’ wapo wengi sana’’. Binti stori zikanoga akauliza ‘’unapenda wanawake wa aina gani?’’ nami nikamjibu ‘’kuna aina ngapi za wanawake, kisha nikaropoka tu, napenda portable kama wewe hivi….Binti akapiga kimya nikaona hapa nishaharibu.
Tulimaliza kupanga 2.40 usiku, nikaona sasa niage ili nianze safari ya kurudi, binti akaniambia sasa hivi kwenu wameshakula ngoja ule kabisa ndio uondoke. Akatoka akamwita yule binti mwingine ili amsaidie mahali pa kupata msosi, zikaaigizwa ndizi/chipsi pamoja kuku kutoka baa moja karibu na hapo, ilkuwa ikiitwa ‘’Three Ways’’hii Bar haipo kwa sasa. Wakati huo pia akampigia simu mama yake kumueleza kuwa ameshapanga vitu na mimi nimeshaondoka. Ilinishangaza kwamba anamwambia mama yake kuwa nimeshaondoka wakati bado nipo hapo, lakini nikaona labda anataka mama yake asiwe na mashaka.
Wakati msosi umefuatwa yeye akaamua kuoga kabisa kisha akaniomba nimtolee taulo iliyokuwa kwenye begi lake. Mahali ambapo taulo lilipokuwa ndipo pia zilipokuwa chupi zake, yaani ile kuona chupi tu hali yangu ikabadilika kabisa. (Hii hali mpaka leo nikiona chupi nyeupe, nyekundu au pink napata hamu ya ajabu). Nikajitoa ufahamu kwa kumuuliza ‘’ vipi nikuletee na pant (chupi)? Akajibu ‘’yeah nichagulie nzuri nzuri’’ bila kusita nikachagua kichupi kimoja cheupe nikabeba na kupeleka, akafungua mlango kidogo na kutoa mkono nikamkabidhi. Akiwa bado yupo bafuni akaniuliza hutaki kuoga, nikamjibu nataka, nikitarajia kwamba ataniambia ingia tuoge wote, haikuwa hivyo kwani alitoka na kuniambia haya kaoge. Ile naingia washroom nakuta Tshirt yangu ipo kwenye ndoo na maji kibao, nikamuuliza ‘’ sasa princess nitaondokaje hapa’’? akacheka kisha akasema kwani ukilala hapa utakufa? Kufikia hapo nikajua hii tayari robo fainali. Ilibidi niikamue na kuitundika kwenye mkonga wa ‘’shower head’’
Chakula kikaja tukala huku binti akileta mapozi kibao, tukiwa tunakaribia kumaliza kula, TANESCO wakakata umeme, binti akawasha tochi ya simu (Nokia 1100) na kuanza kunimulika machoni, katika harakati za kutoa mkono wake ili asinimulike huku akiwa anacheka nikajikuta nimeshika chuchu, asikwambie mtu, binti alikuwa na maziwa yamesimama, ile nipple imechongoka hatari. Kumbuka hapa alikuwa amejifunga taulo tu, katika mchezo huu nikamkamata mikono na kumvutia kwangu, taulo likaachia lenyewe huku yeye akijitahidi kulishikilia maeneo ya kiuoni, simu ikaanguka, nikaminya maziwa kwa sekunde kadhaa binti akawa anajipinda pinda tu huku akijileta mwenyewe upande wangu. Nakumbuka alikuwa anasema kwa sauti dhaifu, ‘’please don’t do this, please don’t, please don’t’’ anaongea hivyo huku mikono yake ikinipapasa mgongoni, nikashindwa kujua nifuate maneno au matendo.
Nikamnyanyua taratibu mpaka kitandani, huku akiendelea kusema ‘’please don’t do it’’, nikamjibu kuwa ‘’I won’t do anything’’, nikamlaza kumbuka hapa ana chupi tu. Nikamuacha hapo na mimi kukaa kitako, nikasema hapa nimeshafeli. Ni kawaida yangu kutolazimisha kitendo cha ngono, kwangu ile hali ya mwanamke kuonyesha hayuko tayari kwa kitendo hicho huwa inatoa mchezoni kabisa. Hivyo niliamua kumuacha.
Nikamuita na kumwambia Princess mimi naondoka, akasema sasa ile Tshirt yako bado mbichi, unaondokaje? Mwisho akafunguka kuwa sio kwamba hataki tufanye ila anaogopa mimba. Akaniambia lala tu uondoke asubuhi.
Nikaona sio kesi kwanza huyu bado mtoto mdogo kwangu, isije nikajiharibia bure. Dakika kama kumi baadaye binti anasogea upande wangu na kunipapasa na hatimaye anakutana na ‘’mnara’’ umesimama na akaniuliza ‘’unaweza kumwaga nje, nikamjibu siwezi, binti akaniambia basi nakupa romance tu, na kukunyonya. Nikaoona binti anaguna kisha ananiambia sogea huku, hiyo kauli ilinipa hamasa upya, tulianza na romance ya kutosha plus kunyonya chuchu, hatimaye binti mwneyewe akaushika na akaupeleka ‘’muhogo wa Jang’ombe’’ kwenye kitumbua chake, na kusema ‘’umwage nje eeh’’. Sikumwaga nje, raundi zote nilimwaga ndani, kiufupi huwa siwezi kumwaga nje.
Nilijilia vyangu usiku ule, nikaamka nikaandaliwa breakfast na mchana nikagonga menu pale, jioni taratibu nikarudi zangu home nikiwa mwepesi kabisa. Kwa udogo wake na jinsi alivyokuzwa kwenye nyumba ya mchungaji sikudhani kama alikuwa anajua mambo mengi kiasi kile. Nilikuwa namkumbusha alivyokuwa anaringaringa anabaki kucheka tu.
Niliporudi chuo kwa kweli weekend zangu karibu zote nilikuwa nakwenda kushinda kwa chumbani kwa binti mdogo Princess, mpaka siku dada yake alipogundua baada ya kufuma picha yangu na huyu binti ambayo tulipiga pale Photo Point – Benjamini Mkapa Tower- Ground Floor( Miaka hiyo waliokuwa Dar watakuwa wanakumbuka kulikuwa na sehemu tatu tu maarufu za kupiga picha – Mlimani City , karibu na NBC Bank , Mayfair Plaza na BWM tower opposite na Kituo cha Daladala Posta Mpya.)
Dada mkubwa alinipigia simu na kunipa maneno mengi ikiwemo tuhuma kwamba mimi ni mkubwa sana kwa mdogo wake hivyo namharibia maisha mdogo wake, na kufikisha ujumbe kwa mama mchungaji, tofauti na matarajio yangu mama mchungaji aliomba kukutana na mimi pamoja na binti mdogo –Princess na kisha kutwambia kuwa anajua mahusiano yetu na anachoomba tuwe waangalifu na tusiweke wazi sana mahusiano hayo kwa sababu ya kutoleta fedheha kwa familia ya Mchungaji. Pembeni mama Mchungaji aliniambia nimsimuumize binti yake wala kumsaliti. (Mama huyu alikufa miaka kadhaa baadaye binti akiwa mwaka wa mwisho - RIP mama). Nilimaliza chuo na kuhamia mkoa mwingine, niliendea na Princess kwa miaka kadhaa lakini baadaye familia ilihama baada ya mchungaji kuhamia ughaibuni baada ya kupata nafasi ya kiungozi makao makuu ya kanisa huko ughaibuni.
Princess aliolewa huko huko, alikuja TZ na mume wake, nikiri kwamba amekuwa mzuri zaidi, na upepo wa Ulaya umempenda zaidi.
Nikipata muda nitawaeleza namna nilikula tunda kimasihara kwa binti wa Kipemba (Kutoka Chakechake)ambaye nilikutana naye kwenye boti, alikuwa mcheshi sana na safari yetu ilijaa stori za hapa na pale, nilienjoy sana lafudhi ya kipemba, huyu nitaomba nimwite Yusra, alikuwa na michoro ya Hinna na kwa ile rangi yake nilijikuta natamani walau niombe namba mwisho wa safari ili nione namna ya kumshawishi walau niweke rekodi ya kuonja mtoto mweupe wa kipemba. Baada ya mazungumzo niligundua kuwa alikuwa na miaka 26 na alikuwa anakuja Dar kumpamba/kuchora hinna bibi Harusi lakini kwa bahati mbaya tulipokuwa tunakaribia bandari ya Dar kila akipiga simu ya mwenyeji wake haipatikani. Huyu nilikaa naye seat zinazotazama kule Business Class (Waliowahi kupanda Kilimanjro Four watanielewa hapa). Binti akaanza kuchanganyikiwa na ndio alikuwa anakuja Dar kwa mara ya kwanza, akapigia simu ndugu yake mmoja akamwambia anaishi Bagamoyo, nikaona anazidi kuwa mwekundu usoni, nikatoa wazo la kumpatia sehemu ya kulala maana tulikuja na ile boti ya jioni inayotoka Unguja saa 9.45 jioni. Huyu nilimkaribisha kwangu nilipokuwa nakaa kwenye nyumba ya anko wangu Huyu kwa siku tano alizokaa kwangu alinijengea heshima sana kwa wadada wa mtaani pale.

Tuchape kazi Watanzania wenzangu, naingia kwa semina sasa huku kwenye mkoa wenye baridi kali.
 
Semester ya kwanza mwaka wa tatu,jioni moja nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye alikuwa Main Campus - UDSM.
Nilipofika alikuwa yupo pale kituoni Utawala akongea na binti mmoja wa kisomali ambaye mwanzoni nilidhani ni mwarabu. Hapa naomba nimwite Minna (sio jina halisi) Walikuwa wakizungumza kuhusu laptop, basi nikatambulishwa na mazungumzo yakaendelea.
Shida ya binti ilikuwa anauza laptop yake ili anunue nyingine. Nikajitosa kwamba ninaitaka hiyo laptop, binti bila kusita akanikabidhi nikampa ahadi kwamba hela nitampatia ijumaa inayofuata ( nilikuwa nasubiria Boom na pesa ya special faculty requirements) Nilicheki laptop na nikaridhika nayo.
Jamaa yangu akakubali kuwa mdhamini.
Tukabadilishana mawasiliano na binti akasepa, nikabaki na jamaa yangu tukiendelea na story za hapa na pale na jamaa akafunguka kwamba huyo binti anamkubali sana na ana mpango wa kujiweka hapo. Nikamtakia kila la kheri.
Boom likaingia Alhamisi, usiku nikamtext kuwa hela ipo tayari, nitampelekea kesho yake, akajibu kuwa hatakuwa chuoni kesho yake hivyo atanijulisha atakaporudi. Nikamtania kuwa "hii hela nitaila ukichelewa"; akajibu "ukiila na mimi nitakukula wewe" nikabaki na kimshangao kisha nikamjibu "utaanzia kunila wapi" binti akajibu " nitaanzia kwa nyoka wako" meseji zote hizi ni kwenye SMS hivyo hakuna emoji.
Nikajibu "huyu nyoka wangu ana sumu kali" binti wa kisomali akamaliza kesi "usijali, nitamla yeye na sumu yake, wewe sema tu lini na wapi?!" Sikuamini nilichokuwa nasoma, nikamjibu "lodge, jumatatu kama utakuwa umerudi" kimya kirefu kikapita kisha akaandika "sawa, iwe mahali tulivu" .
Kwa kweli weekend hii ilikuwa ndefu sana, maana niliona siku haziendi kabisa, mawazo yote yakawa kwa binti wa kisomali. Rafiki yangu sikumweleza chochote kuhusiana na jambo hili.
Jumatatu asubuhi napokea sms "nyoka ameamka salama? Tukutane mbele ya Fairly Delight Mlimani City ( Hii ilikuwa restaurant eneo la nje ya Mlimani city kwenye geti la upande wa Survey kulikuwa na "buffee" za 10,000/- siku haipo hii restaurant).
Nikapanda Hiace ( Za Mwenge - Ubungo kupitia chuo) sijui kama hii route bado ipo. Nikafika nikamkuta mdada wa kisomali amepiga Baibui moja matata sana na ndani ana suruali tight ya jeans blue, amejiremba vya kutosha. Nilikuwa na aibu ya hapa na pale maana ilikuwa kama ndoto.
Tukazama Fairly Delight tukapiga chai na vitafunwa vya kutosha.
Saa nne kamili tukatoka, tukavuka barabara kuelekea upande wa Sinza ( pale kilipo kituo cha Daladala - ule mtaa una lodge nyingi sana.
Tukaingia lodge moja inaitwa Executive, nyoka akachezewa vya kutosha na kumwaga sumu isiyo na madhara. Mtoto alikuwa fundi sana na mwenye ashki za kutosha. Nachokumbuka nilirudi chuo jumatano saa nne asubuhi.
Hela ya laptop hakuichukua, mapenzi yakaendelea kwa kasi sana, nilipima nikaona nibaki na msomali kuliko dada mlokole ambaye alikuwa anataka ndoa wakati sikuwa hata na wazo. Dada mlokole akapata mchumba japo niliendelea kula mara moja moja.
Urafiki na jamaa yangu ukafa na jamaa akawa na hasira sana na mimi. Tumekuja kupatana mwaka 2018 baada ya kukutana Arusha kila mtu akiwa na issue zake.

Umenikumbusha Fairly Delights ndio lilikuwa chimbo langu la kila Siku jioni napiga chai yenye udambwi udambwi wa kutosha. Hii route nadhani bado ipo ila Siku hizi ni Simu 2000 - Makumbusho
 
Back
Top Bottom