Huyu dada alikuwa Malaya kweli kweli. Ila wanasaidiaga sana katika sehemu kama hizo zenye ukame wa madem.
 
We kaza hivyo hivyo kuna mzembe mmoja atakuwa anakusaidia kukupigia deki

Sent using Jamii Forums mobile app

Bahati nzuri wanawake hawana formula,

Huenda sisi tusiopiga deki ndo tunawachapia hao mademu mnaopiga deki

Hujui unaweza kumpa range mwanamke halafu akatombwa na aliyemuwekew mafuta lita 20?

Ya nini kurisk? Ukipiga deki ukamtia kiulaini mwanamke atataka rough

Wewe ukiwa unamtombea kitandani na deki zako mwenzio anatamani atombewe kwenye gari.
 
Astaghafilulahhh!!! Toba!!! Kumbe mchicha kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo G ni kiazi sana. Wanaume kuna wakati tunafanya upuuzi sana. Unatembea na msichana,ankupend kweli unajishaua. Eti! Unamuumiza halafu unataka umkalie chapati. Jinga sana G, umemuaibisha mikito.
Kiazi kwelikweli. Baada ya hapo anaanza kulalama eti kachukuliwa demu na jamaa..hahahaaa sikujali kwakweli...i was in love...na jamaa nilimhadithia ukweli na situation ilivyokua...uzuri mr.alikua anamfaham G vizuri kupitia washkaji zake..
 
Mkuu @mskavenga umenikumbusha japokua sijavutiwa na story yako.

Wakuu naomba nicheke Kwanza,

JAPOKUWA SIKURA TUNDA ILA NILINUSURIKA KUUKWAA.

Miaka flani baada ya kufunga chuo nilirudi likizo home kwetu mkoa flani.

Wazazi hawakuwepo ila palikuwa na kaka yangu, dogo na baadhi ya ndugu, Nyumba yetu ni kubwa kulikuwa na chumba ambacho kipo upande wa pili ambako unaweza fungua mlango na kuingia muda wowote (ndicho chumba nilichokuwa nimefikia ). Kwa nje kulikuwa na bala bala na mbele kidogo kulikuwa na Msingi wa nyumba, kwenye huu msingi alipenda sana kukaa kaka yangu pamoja na dogo mida ya jioni.

Sasa siku moja nilikuwa mtaani umbali mfupi kutoka home nikawa nimesimama kwenye kibalaza flani nimetulia nasikiliza mziki, gafla akaja mama flani (jirani yetu nilikuwa nikimuona mala chache), kafika pale kanichangamkia dizaini kama vile ananijua (alinifananisha nadhani na mtu waliyekuwa wamepanga kukutana nae) akawa ananisemesha, fasta nkajiongeza na kujifanya mimi ndiye muhusika, nkamwambia twende room tukapigie huko story maana pale si mahali pazuri,

Tuliingia room nikafunga mlango (kumbe dogo na bro walikua wamekaa nje kwenye ule msingi walituona wakati tukizama room), basi nimefika sikutaka kuchelewesha nkaanza kupapasa bila kizuizi chochote, shika shika wee gafla simu yangu ikaanza kuitaa nkaona ni dogo anapiga nikawa naikata sababu nilijua anakuaga msumbufu, simu ikawa inaita mfululizo kama mara kumi nakata tu nkaamua kuizima, gafla nkasikia mlango unagongwa kwa fujo dogo anaita "kaka kaka kakaaa....!!!" Nkakasirika sana nkaenda kuufungua ule mlango nimtie vibao,

Ile nafungua tuuu!!! Nikavutwa kwa nguvu na dogo akiwa pamoja na bro huku wakiwa wanaonekana kama vile wamepanic, swali la Kwanza nkaulizwa pale pale mlangoni na bro "dogo umetumia kinga !!!!!" Nilipiga butwaa hapo ndipo nilipoconect dot ya zile missed call kumi na kugongwa mlango kwa fujo plus kutolewa kwa nguvu .

Yule mama kumbe alisikia kila kitu akatoka akaondoka zake,

Kumbe Yule mama pale kitaa anajulikana kua anangoma, na Mimi sikuwa namfahamu mean sababu muda mrefu nilikuwa chuo,

Asee nilimshukuru sana bro na dogo vinginevyo ningeingia kwenye majanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…