2017 nlienda masomoni ng'ambo nchini india kwa ufadhili wa benk ya dunia kupitia ubalozi wa india. Nlikuwa mtanzania pekee nliyebahatika kupata ufadhili huu, asikwambie mtu nliishi kama mfalme sababu ufadhili wa world bank hasa ukienda kama mtumishi huwa ni bab kubwa.
Basi bwana ilikuwa ni kozi fupi ya mwaka mmoja na tulikaa hoteli ya nyota 3+usafiri nendarudi tulikuwa wanafunzi kama 200 hivi kutoka mataifa tofauti tukiwa kwenye hoteli tatu tofauti. Ila darasa letu tulikuwa 25 na wote tulikaa hoteli moja na floor moja, kulikuwa na waghana, wapaxtan, wairan, wabutan, wa malawi, wasudan, waethiopia,esghana na alikuwepo msyshelly mmoja.
Mi macho yangu yakaangukia kwa msyshelly alikuwa mzuri balaaa ila tomboy, anapenda sana campany ya mamen na alikuwa ana pesa kutuzidi wote pale, pia mghana mmoja akabahatika kupewa tunda na msyshelly yy alikuwa tutorial assistant wa university of ghana. Basi jamaa akawa anabebeshwa sana pochi ya dem na dem akawa mtemi juu yake. So hela alikuwa anaweka kibindoni wanatumia za dem.
Mm nlikuwa mkiwa na mkimya sana sababu nlikuwa mtz peke yangu. As you know india pilipili kwa sana na ile inapandisha ham balaa. Sikuwa na dem wala nn. Nikajaribu kutafuta madem wa kujiuza mtandaoni nao hela kubwa balaaa, dem ili umle lazima zikutoke rupee 5500 hadi 6000 kwa madem wa kawaida ambao wapo safe. Ila wapo hadi wa 3000 wa uswahilini ndo hivo ukizubaa unapigwa.wao unaingia kwenye mtandao wao unaangalia picha unapiga simu mkielewana unamtumia location anakuja ukimlipa unakula tani yako na asubuhi anasepa.
Basi nlikula hawa km mara2 sikurudia tena. Huyu msyshelly akaanza mazoea ya kunitania, mara nisindikize tukale mara hivi, akaanza kujisogeza room kwangu. Siku moja mshkaji wake kaenda mziki yy yupo hotel na mm nlikuwa sitoki hasa usiku kwa kuhofia usalama wangu. Nlikuwa napenda bia flani hivi zina ladha kama fanta black current na zipo kwenye chupa ya hivo. Nikastukia dem kaja nazo chupa 10 kwenye mfuko akaja hadi room kwangu, tukazigida hadi usiku mbaya. Kila room ilikuwa sound proof na hakukuwa nadirisha linalofunguka bali ni kioo sealed. So ilikuwa ukiingia lazima uwashe ac na kila system ya mle ilikuwa connected kwenye card ya mlango, hivo ukiipachika ile card kwa ndani kila kitu kinajiwasha so usichokihitaji unakizima.
Baada ya ulabu kukolea dem mwenyewe akavua na kupanda kulala mm nikaongeza ukali wa ac ile naingia kwenye blanketi hatukuulizana chochote nimekula mzigo hadi asubuhi saa nne dem ndo akaoga akaondoka kurudi room kwake. Ajabu next door ilikuwa ya mghana ambaye ni boyfriend wake. So ikawa akija anaingia kwa boyfriend wake anamsalimia then anakuja room kwangu anakula mzigo. Huyu dem tumemla wote mwaka mzima jamaa hakugundua hata siku moja. Na kuna mda alikuwa analala kwangu mara nyingi tu jamaa hakushtuka. Siku tunarudi nikaondoka naye ndege moja hadi nchini kwao nikapewa mzigo siku mbili, ndo akaenda kwa mumewe.
Sent using
Jamii Forums mobile app