hiyo ndo kweli inaitwa kula tunda kimasihara....hizo zingine ni story tu
 
Nimeumisi Sana huu Uzi.
NAJUTA KULA KIMASIHARA

Ilikua siku ya jumamosi jioni nilipoenda kumtembelea rafiki yangu. Tumepiga Sana story ilipofika jioni akadai kuwa siku hio alishampanga demu wake kuwa angekuja kulala geto kwake hivyo nikalale chumba kingine ambacho kilikuwa wazi kwa muda huo.

Basi mpaka kufika saa tano yule demu wa jamaa hakufika ikabidi nimuulize jamaa vipi mbona kimya . Akaniambia tuende kumfuatilia kwanini hakuja. Hee katika kufuatilia tukapata taarifa kua kalala kwa jamaa mwengine na hapokei simu.

Basi jamaa roho ikamuuma Sana ikanibidi nimshauri aachane nae kabisa yule demu hafai.
Jamaa alikaa kimya hakunijibu chochote ikabidi nijistukie Basi tukalala. Kesho yule demu wa jamaa alikuja na Cha ajabu jamaa Wala hakuonesha anahasira Bali walizungumza kiutu uzima wakapanga Tena jioni wafanye Kama walivyoahidiana.

Basi mzee Sina hili Wala lile kweli demu akaja kwenye geto la jamaa Mimi nikajongea kwenye kile chumba alichonipatia jamaa. Baada ya muda nasikia wanarumbana nikatoka nje nijue kulikoni Mara nakuta jamaa anamfukuza Dem Kama kibaka.

Basi nikajifanya msamalia mwema nikaanza kumuelekeza jamaa kua Mwanamke kamwe hapaswi kufanyiwa hivi ulipaswa umwache kwa usiku ule kwakuwa Hana pa kwenda. Basi nikamchukua yule manzi nikampeleka kule geto nililopewa kwa usiku ule.

Nikaanza kumuuliza kulikoni Tena mnagombana akaanza kufunguka kua alikua siku za hatari Ila jamaa hakutaka kuelewa anataka tufanye bila kinga. Eeh Basi baharia nikampooza nikaanza Sasa namie kuomba mzigo.

Nimeomba Sana mzigo mixer na maneno mazuri wapi Basi nikaanza kumtekenya tekenya huku najichetua Kama chizi mtoto kaanza kulainika nikaanza kumtoa nguo zote chukua dushe pachika rungu dah nikastuka aisee kila nikichomeka naelea ikabidi nipige kibishi fasta fasta nikavaa nikamuacha chumbani pekeake nikarudi kulala kwa jamaa ili asijue kua nimefumua.

Kesho yake naamka jamaa ndo ananipa story yule demu anafumuliwa na madereva wa maroli, bodaboda wa pale kitaa muda wowote wanapita makondakta ndo goma lao aisee nilipigwa na butwaa nikajiona ndo nishaingia kingi apa. Aisee hakuna kipindi niliishi maisha ya mashaka Kama kipindi kile.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa sikupi pole jana mlishajua demu kaenda kukitembeza sehemu kesho yake anakuja kwenu wewe unapiga tena kimasihara kavu!!! kama umeshaenda kuchek status yako iko poa usirudie kimasihara kavu kwa madem wenye utata.
 
Jamaa yako pamoja na kumuona mzembe ila alikuwa na akili kuliko ww [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri tu uliogelea, ukiogelea huwezi pata ngoma.
 

mbinu za kivita nimezikubali mno....hiyo kitaalamu tunaiita contingency plan....salute to you solder 😎 😎 😎 😎
 
Ngoja nami niyamwage yangu.
Nimetoka zangu Morogoro kwenye wilaya moja kubwa nikaingia Moro mjini walau kuifaidi weekend. Basi nikafika kama saa tatu ivi usiku break ya kwanza Nyumbani lounge enzi izo mara waiite samaki samaki wherever. Gambe mdogo mdogo huku nikiosha macho kwa wale watoto wa pale mixer wauza samaki, mishale saa sita hiyooo mapoti wakaja nje mziki ukapunguzwa sauti.
Nikavuta lugoya kumcheki mshkaji wangu mmoja akaniambia "upo samaki samaki unatafuta malaya wa wilayani"?? Nikamjibu acha ushubwada upo wapi tule vyombo? Akasema njoo Mo Town. Mwanaume nikawasha kiberiti vuuum Mo town. Basi vyombo stori hapa na pale huku kama kawaida tukiangalia uumbaji wa Mola.

Mshkaji oya mwanangu twende maeneo ya forest nikamfate demu wangu, nikamwambia poa shika mashine tumfate ye si ndo mwenyeji sasa. Kona mbili tatu tukafika kwenye geti kubwa mtoto akatoka, haooooo back to Mo town mtoto akaagiza smirnoff nikasema naclear bill mida saa nane hiyo, basi nikamwambia mwana, "oya mwamba ongea na shem basi kama kuna rafiki ake anapenda outing aje atupe kampan" Basi shem simu ya kwanza ya pili unknown akatiki tumfate kihonda nikasema sio kesi, mwarabu kwenye ndinga kibao haooo kihonda.

Baada ya kupotea huku na huko hatimaye tukafika katoto kembambaaaa sio siri mi wala hakakunivutia kabisaaaa sio mizigo yangu hiyo hata cha kushika sikuona, ila kibaharia tukarudi Mo town ngoma kwenye tisa na usiku pamewaakaaa hatari. Usiombe uende seheme na kademu kabovu afu unakuta wale senene wauza samaki wakali hatari afu kila ukigeuza jicho unaona wanaomba hisani kwa jicho legevu la ulabu.

Sijui nn kilitokea ila mi nikamwambia mchizi haka kademu kanywa soda mi nakarudisha kwao, sijakaelewa kabisaaa mshkaji nae wenge sijui katibuana nn na demu wake afu mkali basi akaniambia oya kavipi mpitishe na huyu manzi kwao, moyo ukapasuka paaaa. Basi pale pale nikamwambia mwana kwakuwa huyu shem kwao sio mbali anisindikize mpaka kihonda afu then nikambwage kwao zen nije mzee wa mji uendelee kunitambia, mwana akasema poa na demu nae akasema gud.

Basi nikachukua windhoek nne kwenye gari zangu mbili na shem mbili mnywa soda hakupata hata sayona twist, kumbuka muda huo shem kanywa smirnoff afu akabadili gia toka 3 hadi reverse keshawaka gari nzima anaongea yeye, breki paap kihonda kule tukamwacha yule miss kihonda nikageuza gari kushoto kakaa shem. Shetani ana nguvu jamani nikamshika shem wangu yule nikampiga mate akaitikia hahahaha moyoni nikajisemea ndo wale wale pale pale kwenye gari akatuma salamu kama dakk3. Nikamwambia hata usimalize utamu tukaondoka mpaka maeneo ya msamvu kushoto nikatafuta lodge nikalipa tukaingia ndani, cha kwanza nikamvutia waya mwana , "Oya bado upo hapo nije??" Mwana akasema nishasepa nimelala vipi ushawarudisha mi nikamwambia ndo kwanza naenda Down town, nikakata simu. Nikamgeukia bibie nikampa za chembe mtoto akituma salamu kibogoyo kiuno nyigu.

Basi nikajishindia weeee kesho yake saa nane ndo nikamrudisha kwao kiujasiri maana mwana nampigia simu tu oyaaa upo wapi, bado kalala anajibu nikatoka hapo nikaenda zangu black n white kupata supu kidogo na kuendelea na maisha ya gambe.
 

hiyo michezo sitaki kabisa kuisikia...make sure ukitaka kula kimasihara unandom kaka...na kama zipo chache usiuze mechi...ngoma ipo na inauwa
 
vipi jamaa bado yuko na hiyo manzi?vipi na wewe unaendelea nyoosha au uliipotezea?
 
vipi jamaa bado yuko na hiyo manzi?vipi na wewe unaendelea nyoosha au uliipotezea?
Ilikuwa ni one time thing na mshkaji sikumwambia, ofcourse niliwasiliana nae mara moja mbili nikampotezea na uzuri wake sikuteleza kabisa nilikuwa na rough rider zangu za kutosha huwa sikosi kwenye gari just incase. Jamaa sikumuuliza chochote kuhusu manzi ake asije hisi chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…