ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Safi san hii kweli ilkua masikhara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nami niyamwage yangu.
Nimetoka zangu Morogoro kwenye wilaya moja kubwa nikaingia Moro mjini walau kuifaidi weekend. Basi nikafika kama saa tatu ivi usiku break ya kwanza Nyumbani lounge enzi izo mara waiite samaki samaki wherever. Gambe mdogo mdogo huku nikiosha macho kwa wale watoto wa pale mixer wauza samaki, mishale saa sita hiyooo mapoti wakaja nje mziki ukapunguzwa sauti.
Nikavuta lugoya kumcheki mshkaji wangu mmoja akaniambia "upo samaki samaki unatafuta malaya wa wilayani"?? Nikamjibu acha ushubwada upo wapi tule vyombo? Akasema njoo Mo Town. Mwanaume nikawasha kiberiti vuuum Mo town. Basi vyombo stori hapa na pale huku kama kawaida tukiangalia uumbaji wa Mola.
Mshkaji oya mwanangu twende maeneo ya forest nikamfate demu wangu, nikamwambia poa shika mashine tumfate ye si ndo mwenyeji sasa. Kona mbili tatu tukafika kwenye geti kubwa mtoto akatoka, haooooo back to Mo town mtoto akaagiza smirnoff nikasema naclear bill mida saa nane hiyo, basi nikamwambia mwana, "oya mwamba ongea na shem basi kama kuna rafiki ake anapenda outing aje atupe kampan" Basi shem simu ya kwanza ya pili unknown akatiki tumfate kihonda nikasema sio kesi, mwarabu kwenye ndinga kibao haooo kihonda.
Baada ya kupotea huku na huko hatimaye tukafika katoto kembambaaaa sio siri mi wala hakakunivutia kabisaaaa sio mizigo yangu hiyo hata cha kushika sikuona, ila kibaharia tukarudi Mo town ngoma kwenye tisa na usiku pamewaakaaa hatari. Usiombe uende seheme na kademu kabovu afu unakuta wale senene wauza samaki wakali hatari afu kila ukigeuza jicho unaona wanaomba hisani kwa jicho legevu la ulabu.
Sijui nn kilitokea ila mi nikamwambia mchizi haka kademu kanywa soda mi nakarudisha kwao, sijakaelewa kabisaaa mshkaji nae wenge sijui katibuana nn na demu wake afu mkali basi akaniambia oya kavipi mpitishe na huyu manzi kwao, moyo ukapasuka paaaa. Basi pale pale nikamwambia mwana kwakuwa huyu shem kwao sio mbali anisindikize mpaka kihonda afu then nikambwage kwao zen nije mzee wa mji uendelee kunitambia, mwana akasema poa na demu nae akasema gud.
Basi nikachukua windhoek nne kwenye gari zangu mbili na shem mbili mnywa soda hakupata hata sayona twist, kumbuka muda huo shem kanywa smirnoff afu akabadili gia toka 3 hadi reverse keshawaka gari nzima anaongea yeye, breki paap kihonda kule tukamwacha yule miss kihonda nikageuza gari kushoto kakaa shem. Shetani ana nguvu jamani nikamshika shem wangu yule nikampiga mate akaitikia hahahaha moyoni nikajisemea ndo wale wale pale pale kwenye gari akatuma salamu kama dakk3. Nikamwambia hata usimalize utamu tukaondoka mpaka maeneo ya msamvu kushoto nikatafuta lodge nikalipa tukaingia ndani, cha kwanza nikamvutia waya mwana , "Oya bado upo hapo nije??" Mwana akasema nishasepa nimelala vipi ushawarudisha mi nikamwambia ndo kwanza naenda Down town, nikakata simu. Nikamgeukia bibie nikampa za chembe mtoto akituma salamu kibogoyo kiuno nyigu.
Basi nikajishindia weeee kesho yake saa nane ndo nikamrudisha kwao kiujasiri maana mwana nampigia simu tu oyaaa upo wapi, bado kalala anajibu nikatoka hapo nikaenda zangu black n white kupata supu kidogo na kuendelea na maisha ya gambe.
Sent using Jamii Forums mobile app