Nakumbuka 2009 nilipanda new force tena modern zao zilikua na quality ya hali ya juu huduma muruaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah New Force walikuwa vizuri mabasi yao yalikuwa classic. Nakumbuka likizo fulani wanafunzi walienda kuchukua kitabu cha ticket cha Newforce, ikaonekana Basi zima watapanda wanafunzi tu... Uongozi wa Newforce ukaamua kuhamishia wanafunzi wote kwenye Abood cause wanafunzi wangeweza kupiga machata kwenye siti... Wanafunzi walikasirika balaa ila wakapanda Abood hivyo hivyo ila Sasa huko njiani hawakutaka kupangiwa maisha walikuwa wanapanda na viatu kwenye siti
 
hiyo hatari atakuwa alipata hofu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Mimi nilikuwa mjanja aisee... Nikitokea bweni la LUMUMBA chemba moja tuliita maghorofani... Nilikuwa na mafundi akina George Gambi, Selemani Ayubu (mwandishi wa gazeti la shule) na wengine kibao
Hahahah lumumba B pale karibu na getini opposite na ketoboma [emoji3]

Tuliwaacha pale sisi ndio lile 4m4 darasa tuliokinukisha pale Hadi shule ikafungwa miezi mitatu .

Ile shule imezalishwa madogo zege wengie sana japo walikuwa na akili kichwa

Mkiona sketi za kalobe mnachanganyikiwa sana[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada kidogo ;

Umesema kuhusu top life hotel!
Hii hotel niliwahi kupita kama mara mbili ama tatu hivi.. wanachakula kizuri na malazi mazuri pia.. ila sijui kama kuna lift. Bado inafanya vyema kama zamani.!?
 
Nomaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje ya mada kidogo ;

Umesema kuhusu top life hotel!
Hii hotel niliwahi kupita kama mara mbili ama tatu hivi.. wanachakula kizuri na malazi mazuri pia.. ila sijui kama kuna lift. Bado inafanya vyema kama zamani.!?
Lift sidhana maana sio ndefu ile ghorofa. Mi pia mkuu nilipita 2017 mara ya mwisho
 
Jinga sana hao watoto

xi xhua tumzgunch
 
X ni Samia, hii story umeirudia ila kwa kuipa nyama zaidi.

Shukrani Sana mkuu

Hahahaha kumbe nishawahi kusimulia... Kweli Samia ananivuruga huenda siku nyingine nikaisimulia tena

HAPA SASA NDIO HUWA NAWAKUBALI WANYAMWEZI MNAJUA KUCHIMBA AHAHAHA DAAAH NA MNAMEMORY NZURI, kweli aliwah kusimulia ila anasema utamu ulizid sukari hata siku nyingine anaweza akarudia 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nakumbuka nikiwa form 3 kulikuwa na demu(Jirani) ananiuliza eti kwa nini wewe mademu hupendi kuongea nao na unawaonea aibu? Kwa vile alikuwa mbaya na mfupi nikamjibu kirahisi kuwa mimi govi ndo maana sipendi kusocialize na wanawake.Kumbe akaenda kumhadithia mwenzake ambae alikuwa kisu kichizi,mwenzie nae alivyokuwa mjinga si akaja na kuanza kujifanya ananionea huruma eti ananipa hope kuwa nisijitenge na sijachelewa na wala nisilione kuwa ni tatizo kubwa na hivyo yupo kwa ajili yangu.Siku kaja geto sijui alikuwa anahisi mimi govi kweli aisee alichapwa nao mpaka kaenda kumuambia mwenzie kuwa yule sio govi katahiriwa.
MWANZO SIKUJUA KWA NINI ALIKUWA ANANIONEA HURUMA KIJINGA JINGA VILE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona baharia ulitambaa na ukali [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia ndomu?? Au uliuza match...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa uandishi wako huu is very fun.

Hahaha so ni kweli manka mlischool nae au ndio mbinu za kibaharia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…