Umenikumbusha kuna dada mmoja nlikutana nae very young yan yupo kwenye early twenties, nikamuuliza umewah kutembea na watu wangapi ? yan bila kupepesa macho akaniambia 20+ alafu akaniambia usidanganyike mwanamke akikwambia me nimetembea na watatu tu huwa ni uongo most of the times...I SALUTE YOU, UMEJITAIDI KULA/KULIWA KIMASIHARA NA WATU SITA, at-least umesema ukweli,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inaonesha unauzoefu wa miaka kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ni safari.. well done

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ligendi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri episode 3
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu we acha tu!! Kiufupi mie baharia mzoefu sema nlikuwa nawalia timing niwapige wote bila kujua na nilifanikiwa kuwapiga wale 2 isipokuwa yule mlokole ambaye nilikuja mpiga tukiwa tumerudi chuo.
Mxiuuuuu 🤧 huna lolote, kitu kimelegea kama cheni hicho bibi we eh
 
Umemtaja sana lucifer ila si yeye maana inasemekana lucifer huwa haangaiki na wachafu hupoteza muda wake kuwabadili wasafi wawe wachafu. Ww ni wake tayari hawezi poteza muda kwako. Kuku wako manati ya nini?
 
Episode 3
Siku moja mchumba wangu ( nilipendelea kumwita Doctor) alinifanyia suprise !!
Ilikuwa hivi: wakati natoka chuo kwenye lecture ya jioni kama kawaida nilimkuta miss (mchepuko)akiwa amejilaza kitandani akinisubiri kidume. Kwa bashasha na tabasamu tamu alinipokea kwa busu zito na kuishia kitandani kugegedana MBAO moja matata. Kumbe nyuma ya pazia Doctor alimpigia simu rafiki yangu akamwambia kuwa atakuja kunisalimia ila anataka kunifanyia suprise !! Hivyo jamaa asiniambie.
Bila hiyana jamaa akapata wazo LA kunitext walipokaribia kufika wakati huo miss kajilaza kifuani ghafla nilishiwa pozi nisijue cha kufanya kwani miss hajui km Nina mchumba na yeye ashadata itakuwaje?
Mara kama kawaida yetu mabaharia nikapata wazo Nilimuaga ghafla kuwa nimepata emergency kuna assignments inatakiwa chuoni hivyo nikamwomba apishe nifunge mlango. Akagoma akasema tu we nenda utanikuta. Baadae nikapata wazo tena nikamtext mchizi apitilize na doctor mpk kwake ajifanye ananipigia simu sipatikani. Baadae sana nilirudi kwa miss then mida ya SAA 5 nilienda kwa Doctor kwa kisingizio cha kupoteza funguo hivyo mchizi akatupisha tukalala hapo. Na kwa sabb miss aliondoka jamaa alienda kulala kwangu.
Kumbe miss alihisi kuna kitu hakipo sawa kesho yake nikampeleka Doctor getto ghafla mida ya mchana miss akatimba kufanya fujo. Kidume nikakaa pembeni wakatoleana mbovu mbovu mpk mama mwenyewe nyumba akaingilia kati. Mwishowe wakaniambia nichague nampenda yupi kati yao nikajibu siwataki wrote( techniques) miss anaondoka kwa hasira then nikabakia na doctor nikabembeleza sana mwishowe tukasameheana. Kesho akarejea Dodoma then nikamfata miss kumbembeleza nikamwambia nisamehe unajua yule Doctor alikuwa MTU wangu zamani simpendi tena analazimisha mapenzi mie nakupenda ww na miss akanielewa tukaendeleza penzi. Baadae Miss aliolewa baada ya chuo nikabaki na Doctor ambaye alikuja kunisaliti kwa kupata MTU chuo .Niliamua kumuacha( hiyo ya kuachana na doctor ni story ndefu) nimeoa na yeye ameolewa
Nikiri wazi sikuwa Mme bora kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…