Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Jinsi nilivyoliwa/kulana kimasihara na vijana tofauti:-

Nimesoma visa tofauti kwa muda mrefu ila nimeona na mimi nilete vyangu nimeona niweke kwa ID fake maana vingine [emoji28][emoji28] wazee wa kazi wasije ungamisha dots bure!

Kisa cha kwanza:-
Mimi hua ninakuaga na tabia ya kua attracted na mtu kutokana na vitu fulani ila siwez kujirahisisha akajua kua namuelewa na appearance yng naonekana km mdada very serious kufikia extent ya vijana wengi kunihofia ila deep inside nakuaga na vijitabia flani km vya kiume inshort napenda kutaste ladha tofauti baada ya hapo nakua happy na maisha yanaendelea
Kuliwa kimasihara kunakujaje:
Kuna kijana nilikutana nae maeneo ya kibo complex mi nilikua nimetoka job nikaona niko bored ngoja nipandishe sehemu nitulie kdg wakati niko nje nashuka kwenye gari mbele yangu nikaonana na kijana mmoja mtanashati kashuka kwenye gari very tall and handsome nikasema Mungu anaumba jmn...nikamuacha akatangulia mi nikafatia nikaingia pale lounge nikaagiza kinywaji huku nimetulia tu...bahati mbaya hua nina hulka yaani sipendag mwanaume anitongoze na mwanaume akinitongoza tu ni km ananiua nguvu napoteza kbs appetite nae sijui hua nakuaje natakaga mwanaume nimpitishe mimi mwnyw kwny akili yng ndio niwe nae inshort napenda kudeal na kitu roho inapenda...sasa wakati nimetulia pale lounge walikuja watu km wawili kuomba company nikawapotezea so nikawa alone Mungu si athumani akaja yule mr Crush akakaa karibu yangu though meza nyingine akawa busy anachat dizain km anamsubiria mtu mi namchora tu mwisho wa siku wakati namuangalia ghafla tukagongana macho nikampa tu hi akarespond kila mtu akaemdelea na mambo yake...to make the story short dem wk alikuja na mm I was alone till ameenda chooni nikamfata nikamwambia "nigger umenipendezea machoni can we hv a time after today?" Kumbe mjamaa nilimuatract muda mrefu akaniambia I liked u too sema nikaona jau kukusemesha hlf nikahisi uko na mtu maybe inshort nilishindwa kukuweka kundi lipi ila usijali huyu demu niko nae leo ni second appointment ila sio km ni dem wangu if your serious abt that naweza nikampanga mkmi na ww tubadilishe sehemu kwa maongezi zaidi nikamwambia ww tu km utaweza! Basi dem akapangwa akasepa japo kibishi mi nikawasha ki baby walker changu na yy akawasha yake tukaenda Sehem inaitwa "hangover" ipo mbezi beach tukapiga story mbili tatu nikaenda kwny gar yk akawa km ana uoga flani hv I kissed him damn the guy was a good kisser he responded well nikamwambia siwez sex kwny gari so tukaenda lodge aisee we had that heavy sex till niliporidhika asubuhi akanipeleka nikafata usafir wng maana nilipanda lake langu nililipia sehemu ilale! Since that day alinitafuta sana turudiena akaomba if possible tuanze mahusiano nikampotezea na nikamuweka wazi kua he was good in sex and every part but sikumpemda nilitamani kusex nae tu alinilaani mpk kesho popote ulipo J nisamehe tu ni ka umalaya kalikua kananisumbua


Kisa cha pili:-
Wakati harakati za maisha zinaendelea nilialikwa kwenye party flani hv so nikawa nimechill tu na marafki huku story za hapa na pale zinaendelea nikamuona kijana mmoja hv alikua black kimo cha kiasi ana dental formula nzuri hasaa alicheka utatamani umuangalie kila saa! Kulaleki nikasema huyu lzm nimpate tu basi party mpk inaisha mi nimekausha zangu tu wakati wa kuondoka nikamwabia nikamfata nikampa hi akarespond fresh tu nikamwambia congrats una meno mazuri akaona ki aibu flan hv akasema thanks alichonijib yy ni "you too yoir very beautiful naturally and Nimependa jinsi ulivyo calm it seems huna mambo mengi kbs yaani" nikajichekea moyoni kua kaka hunijui vzr acha kabisa i kust smiled then nikamsogelea karib nikamkiss hahaha! Jamaaa akaishiwa nguvu wakat namkiss nikamgundua weak point yk ni shingni nikadeal nako kwa muda nikaona hana ujanja huyu akaomba game mwnyw bila kupenda tukapanda kwny gari yk mpk kwake hehehe ile kuvua nguo damn mjinga alikua na miguu mizuri balaa we started kissing heavily akanivua nguo jamaa nikaona km anashindwa kuresist kabisaa touch nyng sana kuingia kdg tu akacum tukapiga km vitatu hv...jamaa akalala hoi na mi nikapumzika kufika asubuhi we had morning glory then nikawa naoga anirudishe kwangu jamaa akawa anainsist niendelee kuwepo bas zikanunuliwa wine pale kwa tukaandaa breakfast we had a day km mtu na mpenz wake ila nlivyoondoka nikampotezea aisee mshkaji alinitxt so many times kua haitakiwi tuishie hvy nikacheka tu jamaa angejua am a play girl asingejisumbua alipambana had kuwachek baadh ya rfk zng tuliokua wote kwny party siku ile kua alinielewa haikuzaa matunda sababu It was just a lust sikua na mapenz nae kabisa.

Kisa cha tatu:-
Nilikua chuo enzi hizo mjini Dom kiwanja flan hv kinaitwa Royal village n rfk zng tunapiga story za hapa na pale wakat nimetulia akaja mzungu flani hv kua amenielewa and bla bla bla nikaribie kwny meza yao akanionyesha ile meza damn nikaona kuna Hb flani wa nguvu kuliko wote nikaagree ila nia yng ni yule mwngn basi nikahamia pale katika story nikagundua ni wa spain wamekuja Dom for a project wakati story zinaendelea nikamnong'oneza yule HB akanipa phone namba yk tukaanza kuchat pale pale kupitia whatsap kulaleki nimamchombeza akaingia kingi...akatoka nje nikamfta tukapanda gari nikaenda hotel aliyofikia yaan kuingia na kuingia tu nilimvaa kwa french kiss heavy later ni kusaula na kuanza mambo aisee the guy was a good fucker we fucked and fucked sikumchoka ht kdg baada ya kwenda mara tatu aliniambia tu "pretty your too hot and tight hope to have you by my side again and again" inshort na mm nilimuelewa kidizain nikawa nae kwny mahusiano lwa miez 3 aliyokuepo nchini ila within those 3 months I enjoyed a lot till alivyoenda kwao aliniachia contacts ila sikutaka tena mawasiliano nae maana niliona nishaamza kumpenda hlf long distance rltnshp ingenitesa..popote ulipo Daniel Pablo Rodriguez I miss u much! Forgive me for not respond any of your txts.

Kisa cha nne:-
Nyumba niliyokua nimepanga dizain km ilikua imegawanywa mara 2 ile upande wa pili alikua akisshi mtu na mkewe walikua newly wed bado hawajawa na mtoto ofcz hatukua na mazoea sana zaid ya mawasiliano ya hapa na pale yes jamaa ni mzuri mno na mke wk ni mzuri pia...sikuwah kumtilia maanani yule mshkaji sababu alikua ni mume wa mtu pili sikutafa kufanya umafia wng kwa mtu wa karibu km yule wakat ananiheshim sana basi maisha yakawa yanaenda siku moja nikapata trip ya kikazi Dom nikaenda sehemu kusafisha macho na co-workers wenzangu sehemu maarufu km "pestana" basi bhn wakati tunaendelea na story za hapa na pale nikaenda toilet ile natoka tu naona mtu kanishika mkono kumuangalia Jesus! Alikua ni yule mpangaji mwenzangu wa kiume nikamchamgamkia kiaina nikamsalimia nikataka kuondoka akaniambia niko alone nimekuja Dom kikaz can we give each other a company nikamwambia no prblm story za hp na pale muda ukaenda nikamwambia nimechoka i need to rest bas alikua amekuja na gari ya ofisin kwao akanipa lift akanidrop mpk hotel niliyofikia nilimuona kbs alishanitamani ila alikua anaogopa kusema ile anataka kuondoka nikamvutia ndani nikamkiss tukakiss hatari after that we had sex non-stop he was good too and he had big thing aisee inshort we enjoyed to the maximum kufika mida nikamuamsha aende kwake alipofikia baada ya kutoka pale akaanza zile za unafny nn bby mara love nikamchana kbs that what happened was just a one night stand asahau kua n a mm tena jamaa anakua mkali eti why am I doing that to him mi nikapoteza nikarudi Dar...hahahaha! Siku naonana nae alivyoona mkewe katoka anainsist tuwe wote he is ready to pay some of my bills and bla bla bla nikamkimbusha tu nina my official boyfrnd so aache upuuz ilikua sio ngumu sana kumpotezea sababu alikua na mke wk pale pale ikafika muda my boyfrnd akija mara a text "ooh namuona mmeo" mara nini nikamblock ikawa salamu tu mpk kodi yao ilivyoisha wakahama na mkewe...E kokote ulipo i salite u mpe hi mkeo

Kisa cha tano:-
Kuna mkaka tunasali nae church alikua ni mtu wa kunimendea nikawa najifanya km simuoni the guy is rich and good looking ila kaoa so sikutaka visa na wanandoa basi alitry his level best ila nikawa nachomoa kipindi hicho nilikua ndio nimemaliza chuo maisha kitaa magumu kula na kulala tu nikamkumbuka nikasema ss hv akiomba meeting sitagoma ila nilikaa km mwez hv hakunichek tena dizain km alinipotezea hv bas siku nipo kwny bday ya rfk yang maeneo ya Samaki samaki nikamuona namshkaji mwngn alikua amekaa nae nikajifanya km sijamuona nilijua km bado nipo kichwani kwake atanitxt tu basi Mungu si athuman txt Ikaingia kwny screen "hellow I see you" nikareply kwa emoji ya kusmile nikamwambia I see you too basi akaomba nimjoin pale nikaringa ringa then nikaenda nikasema wow! Umekwisha bas kufika pale tukapiga story mbili tatu yule mwenzie akaaga nikabaki mimi na yy akaanza kulaumu like mbona nakua namfanyia hvy na kumpotezea simpi chance ya kumsikiliza nikamwambia am dating I cnt cheat on my man kumbe angejua angecheka! Akawa km ananiconvice hv mi kumbe muda nilishampangia the guy hakua mtu mzima by the time alikua na 36yrs na mm nilikua na 23yrs sema he was rich sababu nilikuja kugundua anadeal na biashara haramu! Bas akasuggest tuhame plae tuhamie masaki tukae tuongee pale anajulikana na wengi nikakubali tukaenda kule tukapiga story mbili tatu wakati anaendelea kuongea nikamsogelea nikamkiss [emoji28][emoji28] jamaa akaona mdada si ndio huyuu aisee alibook hotel fastaaa ndani humo sikufanya makosa jamaa aliita majina yote "baadae akaniambia your so good km mtu mzoefu sana but mbona our P is so tight and hot nikajifanya nilifundishwa na boyfrnd wng kumbe basi tu am an expert! Jamaaa alinipenda mnoo sitakija msahau ktk maisha yng yy ndie alienitafutia kazi...akanipangishia nyumba na baada ya mwaka akaninunulia gari yangu ya kwanza ilifika muda alikua ananijali lbd kuliko mke wk maana alikua anakuja anakaa kwangu mpk namfukuza arudi kwake! Mke wk alikuja km kuhisi mind that tulikua tunasali kanisa moja hlf boyfrnd wng alipata kaz Dar so ikawa ngumu kuwahandle nikampiga chini jamaa japo alimind mnoo ila mi nikapogilia msumari kua naogopa mke wake asije akajua basi ndio ikaishia hvy mpk leo ananiangaliaga kwa hasira tu najua anajuuuuta ku invest kwngu...angekua mume sio mume wa mtu lbd ningemfikiria ila kwa mume wa mtu hapanaa...J.M kokote ulipo nakumiss sana na nashukuru kwa wema wako ni wewe ndie ulienitengenezea mfereji mzuri wa maisha ubarikiwe!

Kisa cha sita na cha mwisho:-
Nikiwa chuo kuna mkaka ndio alikua handsome wa darasha the guy is tall...goodlooking when I say goodlooking I mean it...ana dental formula saafi ana dimples🥰 mweupe ana pigo za kuvaa cadet with shirts sio kihuni huni aisee nilikua nilitokea kumpenda sanaa...jamaa ktk harakati zake akanitongozaga nikamchomolea sababu by the time nilikua nipo kwny serious relationshp na kaboyfrnd kangu ka tangia o level japo tulikua vyou tofauti ila kalikua kanakaba balaa...bas nilivyomchomolea jamaa akarudia mara ya pili akapotezea ila tukawa marafiki wa kawaida tu ktk kuja kukaa si nikajua kumbe yule boyfrnd wng wa siku zote ananicheat nililia nikataka kufa! Ila ikawa ndio hvy sasa nikakumbuka moyo wng umempenda huyu best frnd wng ila nitamwambia vp niwe nae wakati nishamfriend zone na ana demu wake? Dah kkabid nipotezee tu ila roho huku inaniuma kusalitiwa na jamaa hana time na mm tena anajua nina mtu wangu...Mungu sio athumani siku tupo na huyu mr handsome sehemu niliingiwa na uchungu had nikadondosha choz mbele yk akaniuliza "what is wrong with u D yaan hiz siku za karibun nakuona ur not okay at all" ndio alifungulia kilio nilitoa uchungu wangu wote akaniambia nyamaza usilie twende nikupeleke room kwako room nilikua naish na frnd wng ila hakuepo siku hiyo bas akanifikisha pale akanihug like "D your still in my heart since the first time nakuona wakati tunafanya registration ila ndio hvy hukuwahi kunipenda I hope you heal frm this and u get a good man" yaan alivyomaliza tu nilihug tight I cried for the last time then nikafuta machozi nikamwambia " I cnt say I love u bt I like u alot too" we started kissing we kissed till the guy akawa amelainika baada ya kuvua nguo akabaki km anashangaa haamini anachokiona...jamani ile kuvua nguo ndio niliexperience vzr uzuri wa yule kaka bwana aisee! Wachaga wanatoa mbegu nzuri si mchezo...ilipigwa shoo moja jamaa ni analalamika tu why we ddnt do that mapema after that day mi nikataka nipotezee maana mshkaji alikua ana demu ila akanitongoza rasmi akampiga chini demu wk and we started officially dating inshort we looked good together kila mtu alikua alituona must anasema u guys love each other...ila pamoja na hayo I cheated on him kwa kua kalikua km ni katabia kangu bt he never found out sababu nilikua nampenda mnooooo sijui kale katabia kalikua ni km ka pepo ila ckuwah kufanya ujinga kwa watu around chuo! Mpk ninavyotype hp ndio mwanaume nilienae amekuja kunitolea mahari and am officially engaged to him tunasubir corona ipite tufunge harusi!

Thank you my G kwa kunipenda na naomba unisamehe kwa maupumbavu niliyokua nayafanya behind your back maybe na ww ulikua unayafanya pia but as long as hukuwah kujua na mm ckuwah kujua thats show how much we loved each other!

Jamani ile tabia officially nilishaicha maana nimetest kila mtu niliejiskia kumtest nimeona tofaut ni ndogo sana na my G sio km ni better kuliko wote ila I just love him tu yaani ila kwa uhandsome nadhani kawazidi hahahahah!

Nilichokuja kugundua ni kua sio mtu ukilala na watu tofauti unachoka hiyo ni nadharia nadhan utight wa sehemu na ujoto ni maumbile inshort my G anani pamper kua yaani mke wangu nakuonaga mpya everyday bas ananipaga bichwaaa mwanyewe anakwambia sikuchoki ht kdg yaani I feel loved by him balaa!

Mwisho!

Jamani wale wazee wa utakatifu msiniumbue na kunijudge sana haya mambo yapo tu either ujue au usiyajue

Umenikumbusha kuna dada mmoja nlikutana nae very young yan yupo kwenye early twenties, nikamuuliza umewah kutembea na watu wangapi ? yan bila kupepesa macho akaniambia 20+ alafu akaniambia usidanganyike mwanamke akikwambia me nimetembea na watatu tu huwa ni uongo most of the times...I SALUTE YOU, UMEJITAIDI KULA/KULIWA KIMASIHARA NA WATU SITA, at-least umesema ukweli,


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uzoefu: hakuna sehem rahisi kula dem usiemjua kama hotelini. Mradi uweze kupima mambo matatu - yupi changu, yupi ana mtu na yupi si changu na hana mtu. Sehem za mawindo ni reception, restaurant ( hasa asbh wakati wa chai ndio unaona wengi) na kwenye korido (ila angalia CCTV usiadhirike). We chukua namba tu mengine yatafuata. Ukiwa umeenda na usafiri unakusaidia kuwahamisha wale wagumu waoga wa kutinduliwa kwenye hotel hiyo hiyo. Mahotel/lodge yana ushawishi sana so lucifer anapokutembelea wewe uje anawatembelea na wao pia.
Inaonesha unauzoefu wa miaka kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu hapa wamenivutia na mimi ku-share hii stori, kwa kuwa nimepata ruhusa ya aliyenila naona si vibaya ku-share nanyi.
Miaka kadhaa nyuma baada ya kumaliza masomo hapo Chuo cha Afya Muhimbili (Wakati huo kilikuwa chini ya University of Dar es Salaam), nilipata nafasi ya kufanya internship kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja, Zanzibar.
Nilifurahi sana maana nilikuwa natamani sana kwenda Zanzibar na kujionea mazingira ya huko. Kabla ya kwenda nilifanya maandalizi ya mahali pa kufikia na kwa msaada wa baadhi ya watu nikafanikiwa kupata sehemu ya kuishi kwenye maghorofa ya Michenzani –karibu kabisa na Kisonge. Nyumba niliyopata alikuwa anaishi kijana mmoja Mtanganyika ambaye alikuwa akifanya kazi huko. Kwa wanaofahamu maghorofa ya Michenzani nyumba moja huwa ina vyumba viwili vya kulala, sebule kubwa, jiko, sehemu ya kufulia pamoja na choo cha ku-share.
Nilihakikishiwa kuwa jamaa ni mtulivu na mstaarabu hivyo nisiwe na wasiwasi naye maana kila mtu ana chumba chake. Kabla ya kwenda nilizungumza na jamaa na kujua namna tutakavyo-share gharama ya kodi, umeme na chakula. Nilimtumia pesa aninunulie kitanda, godoro na mahitaji mengine madogo madogo.
Hatimaye nikafika Zanzibar, jamaa akaja kunipokea na kunifikisha Michenzani. Jamaa alikuwa mtulivu sana na alikuwa anaongea kwa utaratibu sana. Kwa kweli nikawa comfortable kabisa. Mchana ule jamaa aliingia jikoni na kuandaa chakula,nikiri tu jamaa alikuwa anajua kupika. Jioni tukatoka akanipeleka mpaka eneo la Vuga ambapo kuna hospitali ya Mnazi mmoja na kisha tukaenda Forodhani. Jamaa hakuonyesha hata dalili kwamba ananitaka.
Nilizungumza naye habari ya kodi na gharama nyingine akanijibu kuwa nisijali kwa kuwa kodi ameshalipia mwaka mzima na ndio kwanza amemaliza mwezi wa kwanza. Huyu jamaa alikuwa kwenye masuala ya ujenzi.
Hatimaye nikaanza internship baada ya siku kadhaa, kwa ratiba za internship mara nyingi huwa tunapewa zile shift za usiku na wakati mwingine unaunganisha huku ukiwa na muda mchache sana wa kupumzika. Mara nyingi nikiwa sijaenda kwenye internship nilikuwa nalala tu. Jamaa alikuwa anapika na kuniamsha ili niende kula, kuna nyakati mpaka nilikuwa naona aibu, msichana wa miaka 24 kupikiwa na kijana wa miaka 27. Mara kadhaa alikuwa ananipeleka pale mgahawa wa Lukman – pale mkunazini. Kuna siku jamaa mpaka akanifulia nguo zangu alizozikuta kwenye sehemu ya kufulia nguo (hazikuwa chupi na sidiria). Ilibidi nimwambie asiwe anafanya hivyo, au walau aniachie na mimi nimfulie siku moja. Ni aina ile ya wanaume ambao hawakuchoshi, ni mpole na mtaratibu na mwenye kukufanya uwe na furaha.
Nisiwachoshe sana, baada ya mwezi mmoja hivi nilianza walau kuvutiwa na huyu jamaa, maana niliishi hapo muda wote lakini hakuwahi hata kuingiza mwanamke wala hakuwahikunipatia usumbufu wowote bali alikuwa mcheshi na mwenye staha ila niliona si vyema nikianza kujirahisisha.
Siku moja ya jumapili ambayo nilikuwa off nikaona walau niingie jikoni na nimpikie huyu jamaa, nikaandaa supu ya samaki kwa mkate. Jamaa alipoamka akashangaa kunikuta jikoni na kunitania dokta kumbe unajua kupika? Nilicheka na kumwambia oga uje uonje. Alikula na kufurahia chakula na kisha akaniambia ana safari ya Nungwi na jamaa wa ofisini ambao wanaotokea upande wa Tanganyika, kwenda kupumzisha akili na kutalii. Sikusubiri aniambie kama nipo free, nikamwambia kama na mimi naweza kwenda nao, jamaa akakubali. Nikaona leo sasa ngoja nimpime jamaa.
Akapitiwa na jamaa zake watano ambao nao walikuwa na wapenzi zao, jamaa zake wakaanza kumtania umemtoa wapi mtoto mzuri hivi, jamaa kwa aibu akawa anawajibu kuwa mimi ni housemate wake.
Tulikaa pamoja kwenye gari, jamaa akaanza kushika vidole vyangu na kuuliza maswali udaktari na elimu, nikamwambia leo tupo kustarehe aachane na masuala hayo. Safari yote nilikua nimemuegemea jamaa kifuani na karibu watu wote walikuwa wameegemeana ndani ya Coaster.
Tulifika Nungwi na kufurahia sana michezo ya beach kuogelea na kukimbizana pamoja na vyakula. Jamaa alijiachia sana name sikuwa na hiyana nikawa kama mpenzi wake, alinishika alipotaka na dry kiss za hapa na pale, alinitia nyege za hatari japo nilikuwa najaribu kuwa mvumulivu kidogo - aibu iliishia pale beach. Jioni safari ikaanza ya kurudi MJINI.
Tulifika mjini majira ya saa moja na nusu, jamaa akanunua chipsi na kuku kisha tukapanda ngazi kwenda ghorofani.
Nilienda jikoni kufuata sahani huku natafakari maisha yatakavyokuwa mle ndani baada ya ile michezo ya beach huku nyege zikiwa zimenishafika kiwango cha juu zaidi, nikiwa jikoni jamaa akanifuata na kunikumbatia kwa nyuma mikono ikiwa tumboni na kuniambia dokta nisamehe kama nilivuka mpaka kule beach, nakuheshimu sana; nikiwa nahisi kutetemeka niliinyanyua mikono ya jamaa kutoka tumboni na kuipandisha kwenye maziwa yangu, jamaa aliyaminya maziwa yangu kwa sekunde kadhaa na kisha kunigeuza upande wake na kuanza kunila mate kwa dakika kadhaa. Nilishusha mkono na kupapasa kwenye bukta yake na kukuta tayari ameshasimamisha. Jamaa akapeleka mkono mgongoni na kufungua vikamba vya kigauni chepesi nilichokuwa nimevaa kisha akanipandisha juu ya meza ya zege ya jikoni na kuanza kuninyonya sikuwa nimewahi kunyonywa katika mahusiano yangu huko nyuma; ilikuwa tamu sana kiasi ambacho baada ya dakika kadhaa nilimwaga maji kwa mara kwanza na kujiskia kufika.
Jamaa akataka kuingiza uume nikamwambia nimechoka tukaoge kwanza, alinishika mkono mpaka bafuni na tukaoga pamoja, ambapo jamaa alinishikisha sinki na kunipa dogystlye moja matata sana. Jamaa alikuwa na nguvu na uwezo kwenye tendo la ndoa.
Usiku ule jamaa alilala chumbani kwangu na kuanzia hapo maisha yakaendelea kwa namna hiyo, ilikuwa ni kugegedana tu na nilifurahia internship vizuri sana. Maana kuna nyakati hata nikirudi nimechoka jamaa atanishawishi mpaka nampa mzigo. Na alikuwa na mapenzi hasa maana upo ofisini unakutana ma meseji, nimemisi tamu, ukirudi unipatie, nimeshakupikia hapa.
Miezi saba baadaye jamaa akapeleka posa nyumbani na miezi minne baadaye tukafunga ndoa hapo St. Alban Cathedral – Dar es salaam.
Bado nipo kwenye ndoa na watoto kadhaa na maisha yanaendelea vyema kabisa.
Maisha ni safari.. well done

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ligendi
Hoy hoy hoy.....Kanuni yangu ya kiitelijensia nikiwa dar huwa nakaa hotel moja tu sinza (jina kapuni - ina gorofa saba). Sasa sk hiyo nimetoka mjini kati mimerudi nimeoga nikajilaza ktandani na kumkaribisha lucifer kichwani. Kwenye saa moja hivi nataka maji sm ya room mbovu ikabidi nidondoke mwenyewe restaurant. Basi maji nimepata ile naelekea kwenye lifti nirudi room (floor ya 3) jicho linatua kwa dem kasimama mapokezi anazoza na mhudumu wa reception mwana kanizoea sana. Dem bomba ni wale black beauty kalamba skin tight, sketi fupi na ndala za hotel. Mteja huyu alidondoka chini kwa mishe zake kama mie.

Sasa kichwani lucifer ananambia we zuga ili yule akimalizana na mapokezi kama anarudi vyumbani utimbe nae kwenye lifti. Bas nikazugazuga pale mapokezi sekunde kadhaa mara dem akaelekea kwenye lifti na mm huyo. Bas Mungu ni PATIGOO dem huyu hapa kwenye lifti na tupo wawili tu. Lifti ikaja nikabonyeza mlango unafunguka na mm hapo hapo nikatoa neno kwa yule dem. Kichwani kwangu lucifer ananiambia inabidi nimsomeshe yule dem haraka iwezekanavyo sababu ile hotel ina CCTV pale mapokezi na sk hiyo mama meneja alikuwepo recetion kakaa anapitia mahesabu.

Sasa nikaona yule meneja akigundua nawinda wateja kihasara inaweza niharibia CV yangu pale hotelini (pale hata nikiamka saa tano napewa chai binafsi na kwenye parking ya gari nahudumiwa vzr. Kwa maana hiyo suala la kutongozea corridor isingewezekana.

Basi ile dem yupo ndani ya lifti mi nikabonyeza na kukamatia kitufe cha lifti ili isipande huku sie tukiwa ndani. Nikamsifa yule dem akacheka, nikamuuliza yupo floor ipi akasema ya 5. Nikamuuliza yupo na nani akasema alone. Nikamwambia napenda kuongea nae ila si kwenye corridor wana CCTV. Akatema digits nika save nikambeep. Hapo ndio nikaachia lifti ipande nikabonyeza gorofa ya 7 ili kuvuta muda tena wakati inapanda ili tukifika juu turudi tena chini yeye ashuke ya 5 mi niende ya 3. Da..lucifer ananipiga tena assist wakati tunapanda hakuna aliebonyeza so tukabaki wawili mle ndani. Nikaamuliza kaja lini (jibu siku hiyo hiyo) katokea wapi ( jibu arusha, kabila mmeru) kazi ( biashara ). Upande wangu nikajitanbulisha na kusisitiza pale hotel mi mteja wananijua sana. Hii ilinisaidia ye kujua mi mtu wa heshma. Basi kila mtu akashuka na kwenda room yake. Kufika room nika mu add whatsap baada ya muda kdg tukaanza ku chati. Nikambana aje room kwangu akagoma akasema kama mm naogopa CCTV mbona yeye simjali? Ye sio changu. Basi lucifer akanipa mbinu nikamwambia dem mi naacha chumba wazi halafu naenda mapokezi kuzuga nao pale wasiangalie CCTV halaf namtumia message azame room. Akakubali. Nikashuka, meneja yupo nikalalamika simu kwenye room yangu haifanyi kazi. Wakati nazuga na lawama nikam text dem aende room kwangu. Halafu nikamuuliza unakunywa nini? (Jibu - serengeti light). Dk sifuri akani text "nimefika". Basi mapokezi wakasema sm kutengeneza hadi kesho yake. Nikaibuka restaurant nikanunua vinjwaji, nikapanda room. Kufika dem huyu hapa kwenye kochi anacheza na sm. Nikafungua vinywaji. Dem akaniambia inabidi aondoke saa tatu ana dinner na ma shosti na anasafiri kesho yake asbh. Nilipoona sina muda nikamwomba hapo hapo anipe kimoja cha afya. Anazuga nikamsogelea nikanyaka kifua ngumi ya tyson luke fury (ila dem hana mtoto). Nikamchojoa, shuka chini ya kitovu, chezea koumerr, chukua ndomu, zama ndani. Tukamaliza single nikaenda kum drop kwa mashosti zake wakimsubiri samaki×2 mlimani city. Mi nikazama bar moja inajaa sana inatazamana na mlimani city upande wa sam nujoma rd. Yule dem kwa TBS yangu nilimpa B+ ila alikuwa msafi sana maana usk ule nilirudi na mwingine hakushtukia pale wembley mechi ilishachezwa. Huyu wa pili nilipiga hat trick. Yule mmeru mpaka leo tuna chat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasubiri episode 3
Episode 2
Mwaka Fulani chuo nikiwa 2nd year niliondoka hostel baada ya mchizi niliyeshare Naye room kunipiga exile Mara kwa Mara. Kula nikirudi nakuta ana demu ndani Mara wacheze au kukimbizana chumbani sometime usiku jamaa anakula tunda huku mie nikiwa nimelala decka ya juu. Nikiri wazi tu kwa kipindi hicho nlikuwa na mchumba akisomea clinical medicine mvumi Dodoma. Nilimpenda sana lakini pamoja na kutamani warembo WA chuo nilibakia muaminifu kwake. Ulipita karibu Mwaka mzima bila kuonana na nlikuwa na mautamu karibu ndoo Lita 20.
Baada ya muda mrefu WA mateso niliamua kupanga Chumba nikanunua subwoofer na TV plus kingamuzi cha star times cha antenna sasa kuna first year Fulani BINTI mrembo kiasi,mrefu,maji ya kunde MTOTO WA kichaga kutokana na wembamba wake nilipendelea kumwita miss. Rafiki yangu (jina kapuni) alinitania kuwa kutokana na ule uslim WA miss kuna siku atanifia kitandani.
Nilikulaje tunda kimasihara?
Kuna siku alikuja room kwangu kuangalia tamthilia Fulani ya kichina kwa lugha ya kiswahili wakati huo ikirushwa TBC 1 kula siku usiku. Baada ya kuangalia na kuisha aliendelea kuangalia vipindi vingine wakati huo baharia mie nikichombeza vimaneno chini kwa chini. Hatimae amekuja kushtuka kuangalia SAA ni SAA 7 usiku .akaniomba nimpeleke ghetto kwao. Wakati huo kichwa cha chini kinanicheza mithili ya mshale WA sekunde ktk SAA. Nikamwambia huu mtaa ni hatari sana kuna vibaka na wabakaji balaa so far wanaloga sana huku shauri yako utakuja ukabwe au ukutane na majini ni bora ulale tu hapa utaenda kesho asubhi. Nikajidai kufungua mlango kuwa OK nenda kama huogopi. Basi MTOTO akawa mpole akapanda kitandani kulala kwa sharti LA nisimguse.
Nilificha shuka nikabakiza 1tu nikampa ajifunike mie nikalala hivyo hivyo na kulikuwa na baridi Kali. Basi akaniambia kuna baridi Kali jifunike shuka (Big mistake she did) nikamsogelea zero distance na kujifunika shuka then nikaanza kumpapasa kwa miguu yangu as if ni bahati MBAYA ( Big mistake no 2 akasema Fanya chochote ila usini......) Ni kasema usijali nilipiga touch sana kutoka kisogoni hadi unyayoni. MTOTO WA kichaga akalegea kama tone LA dawa za kuzuia surua.
Mwishowe nikachomeka dyudyu although she had a tight ....... Kama kawaida baharia nikapata wazo LA kupaka mate then ngoma ikateleza alitoa ukelele Fulani badae akaanza kugugumia kwa utamu .
Niseme ukweli show zangu kwa Mara ya kwanza huwa ni mbovu ila hii it was the best
MTOTO shimboni nasha akakolea na ndo ukawa mtindo wetu kila siku.
Siku moja Docta A.K. A . mchumba akaja kunitembelea mmmmmmh ilikuwa ni moto !!! ngonja niishie hapa inshallah! Nitaendeleza next time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu we acha tu!! Kiufupi mie baharia mzoefu sema nlikuwa nawalia timing niwapige wote bila kujua na nilifanikiwa kuwapiga wale 2 isipokuwa yule mlokole ambaye nilikuja mpiga tukiwa tumerudi chuo.
Mxiuuuuu 🤧 huna lolote, kitu kimelegea kama cheni hicho bibi we eh
 
Uzoefu: hakuna sehem rahisi kula dem usiemjua kama hotelini. Mradi uweze kupima mambo matatu - yupi changu, yupi ana mtu na yupi si changu na hana mtu. Sehem za mawindo ni reception, restaurant ( hasa asbh wakati wa chai ndio unaona wengi) na kwenye korido (ila angalia CCTV usiadhirike). We chukua namba tu mengine yatafuata. Ukiwa umeenda na usafiri unakusaidia kuwahamisha wale wagumu waoga wa kutinduliwa kwenye hotel hiyo hiyo. Mahotel/lodge yana ushawishi sana so lucifer anapokutembelea wewe uje anawatembelea na wao pia.
Umemtaja sana lucifer ila si yeye maana inasemekana lucifer huwa haangaiki na wachafu hupoteza muda wake kuwabadili wasafi wawe wachafu. Ww ni wake tayari hawezi poteza muda kwako. Kuku wako manati ya nini?
 
Episode 3
Siku moja mchumba wangu ( nilipendelea kumwita Doctor) alinifanyia suprise !!
Ilikuwa hivi: wakati natoka chuo kwenye lecture ya jioni kama kawaida nilimkuta miss (mchepuko)akiwa amejilaza kitandani akinisubiri kidume. Kwa bashasha na tabasamu tamu alinipokea kwa busu zito na kuishia kitandani kugegedana MBAO moja matata. Kumbe nyuma ya pazia Doctor alimpigia simu rafiki yangu akamwambia kuwa atakuja kunisalimia ila anataka kunifanyia suprise !! Hivyo jamaa asiniambie.
Bila hiyana jamaa akapata wazo LA kunitext walipokaribia kufika wakati huo miss kajilaza kifuani ghafla nilishiwa pozi nisijue cha kufanya kwani miss hajui km Nina mchumba na yeye ashadata itakuwaje?
Mara kama kawaida yetu mabaharia nikapata wazo Nilimuaga ghafla kuwa nimepata emergency kuna assignments inatakiwa chuoni hivyo nikamwomba apishe nifunge mlango. Akagoma akasema tu we nenda utanikuta. Baadae nikapata wazo tena nikamtext mchizi apitilize na doctor mpk kwake ajifanye ananipigia simu sipatikani. Baadae sana nilirudi kwa miss then mida ya SAA 5 nilienda kwa Doctor kwa kisingizio cha kupoteza funguo hivyo mchizi akatupisha tukalala hapo. Na kwa sabb miss aliondoka jamaa alienda kulala kwangu.
Kumbe miss alihisi kuna kitu hakipo sawa kesho yake nikampeleka Doctor getto ghafla mida ya mchana miss akatimba kufanya fujo. Kidume nikakaa pembeni wakatoleana mbovu mbovu mpk mama mwenyewe nyumba akaingilia kati. Mwishowe wakaniambia nichague nampenda yupi kati yao nikajibu siwataki wrote( techniques) miss anaondoka kwa hasira then nikabakia na doctor nikabembeleza sana mwishowe tukasameheana. Kesho akarejea Dodoma then nikamfata miss kumbembeleza nikamwambia nisamehe unajua yule Doctor alikuwa MTU wangu zamani simpendi tena analazimisha mapenzi mie nakupenda ww na miss akanielewa tukaendeleza penzi. Baadae Miss aliolewa baada ya chuo nikabaki na Doctor ambaye alikuja kunisaliti kwa kupata MTU chuo .Niliamua kumuacha( hiyo ya kuachana na doctor ni story ndefu) nimeoa na yeye ameolewa
Nikiri wazi sikuwa Mme bora kwake
 
Back
Top Bottom