Hii sio kimasihara, huu ni ubakaji uliopelekea kimasihara next day


Alexander The Great
 
Hii sio kimasihara, huu ni ubakaji uliopelekea kimasihara next day


Alexander The Great
Mkuu siku moja ilinitokeaga hivyo dem alinibania hivyo hivyo tukachapana romance ikaisha hatukufanya kitu baada ya hapo niligeuka kituko anaanza niambia eti sikumchapa pluss shit kibao eti mimi muoga wa mademu oh sijui nilikuletea k ukashindwa piga acha tu ilinichukua mwaka kuja kukutana nae kwe scenario kama hio imagine mwaka mzima mtu anakusema kwamba ...mda mwingine bila kuforce unaonekana unapigo zà kiboya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo huna koromeo, kama unaona wanawake hawana haki ya kuleta vimasihara vyao kaa kimya wenzako wanapenda
Kweli wanawake hamna koromeo, ukajianika kule leo unakuja kujifunua kana kwamba hujulikani! Anyway sikuhukumu ila ni bora ungeishi nayo moyoni mwako hayo uloyafanya kipindi hiko. Kuwa na maandalizi mema ya ndoa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Missile 2 zimekutana,
 
Very true mjuba, nishakanyaga katoto kamoja kaform four kibabe enzi izo nipo chuo mwaka wa taraa, mwisho wa siku kananichana eti sura yako haifananii na matendo yako,hahahahahahaah watoto wa kike sometime bila kujitoa ufahamu hawakupiii!! Na utakuta wanakupima tuu
 

Kitu kama hii imenitokea kama miezi mitatu imepita..
Kuna manzi kanizoea na mimi nikamzoea. Basi siku moja akasema aje ghetto kwangu kuchukua miziki..

Mimi nikaona poa tu basi mida ya saa kumi na moja jioni akafika.. tukapiga story hadi saa moja hivi.. mida ya kuanza kupika msosi wa jioni akanipikia bonge la pilau. Tukala baadae nikamrushia miziki yake then kama saa 4 usiku nikamsindikiza kwao.

Mimi nilikua namchukulia kama mshkaji tu maana anamjua manzi wangu na ni marafiki kishkaji..

Baada ya hapo mambo aliyoanza kunisambazia kwa watu ni shida aiseeh😭😭..
Kwanza kuanzia hio siku heshima iliyokuwepo iliisha kabisa akawa ananichukulia kama manzi mwenzake tu..

Kuanzia hio siku niliweka kiapo..manzi yyte aingiae gheto kama sio ndugu yangu basi lazima nimtafune au atleast nishindwe nikiwa nimejaribu kwa jasho na damu..
 
Mkuu demu anahaki tu akusambazie maneno ya shombo saa 11 hadi 4 usiku uko nae tu hukujiongeza.
 
KILA KITU KINA MWANZO NA MWISHO
PUMZIKA KWA AMANI TULIKUPENDA
ILA NYUZI ZINGINE ZIMETUPENDA ZAIDI
REST IN PEACE ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIHARA KWA NIABA YA WANANDUGU NA FAMILIA TUNASHUKURU KWA WOTE MLIOCHANGIA MAWAZO YENU NA SHUHUDA ZENU ZA KWELI NA ZA UWONGO MUNGU AWE NANYI ASANTENI ASANTENI [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Huu uzi ni lifetime mzee, masihara hayajaisha we ngoja pasaka ije uone siku inayofuata visa vyake humu.

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Mkuu sorry ngoja nikutafutie ujionee, wait, nimechelewa kuona hii comment...sorry

Yaani kimasihara kitu ambacho hukutarajia.


Jana kijana mmoja amenipa yaliyomtokea huku anajuta.


Stori ilikuwa hivi. Kuna dada alikuwa anampenda sana ila dada mwenyewe hakuwa anajua kwamba yule kaka anampenda kwasababu yule kijana ni mtu wa utani sana.
Yule dada akaja akaolewa na anawatoto wawili.

Tukio la juzi
Dada anafanya kazi ya kuuza nguo jijini na katika pekua pekua yake fb wakakutana na huyu kaka kusalimiana upo wapi kijana akasema nipo DaresSalaam nimekuja kwa haraka eneo fulani yaani hotel fulani.
Dada akasema natamani nikuone basi wakaonana na wakasalimiana na kuongozana mpaka room wakaongea dakika kama 30 hivi mwisho wakaomba ili waondoke. Wamefanya sala yule kijana ni mwombaji sana katika maombi akawa amegusa hitaji la yule dada bila kujua dada akawa analia sana. Akamtuliza .
Mwisho kosa akamhagi na kumbembeleza jamaaa kule chini kukasimama na dada akanotes kilichofuata ngono. Dada alipomaliza akasema mmewe hana nguvu za kiume kabisa anashukuru kwa Huduma akaondoka.

Hii ni hatari sana ( mimba,magonjwa) mke wa mtu sumu.
 
Aisee hiyo ya nguvu za kiume ni nix sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…