[emoji3][emoji3] kwann unajipa tabu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀hapo tulipigwa maziwa fresh
 

Wanaboa sana. Story hawaletii wanajifanya maodita


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye Ni certificate, ya miaka miwili, form four kamaliza na miaka 16, nursing miaka miwili, Ni hivyo inakuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda alivyomaliza form 4 akaenda chuo directly.. A-level hajagusa kwa apo tutaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazazi wengi siku wanafanya hivyo na nina mdogo angu pia nimefanya hivyo. Baada ya matokeo ya form four kutokaa sawa Nilimwambia asijicheleweshe kutafuta credit aende chuo moja kwa moja kuanza certicate na sasa yuko Diploma na atamaliza Diploma akiwa mdogo tu katika umri unaofanana na wa huyo mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…