Ngoja na mimi nijazie jazie uzi pendwa

Miaka kama minne ishapita nakumbuka ilikuwa siku ya jumatatu tar kama 10 au 9 sikumbuki vizuri..nilikuwa natokea getto naelekea chuoni UDOM.

Ilikuwa ni kawaida sana kuwa na foleni siku ya jumatatu pale jamatini sbb huwa na foleni sana ya wanafunzi na wajasiliamali mbalmbali kwa wenyeji wanaelewa vizuri...

Sasa bhna ktka kugombania usafiri ambao ulikuwa ni coaster kwa kipindi icho, nilijikuta nimewahi kupata siti ambayo ni watu wawili nikaamua kumkingia mtu nafasi ambye nilitamani awe mrembo.

Zoezi lilikamilika baada ya watu kuipita siti ile wakizani siti ile ina mtu tayri maana haikuwa mbali na mlangoni..hatimaye nilijikuta natizamana na mrembo mmja mkali sana aliekuwa kavalia mavazi ya kiislamu lakini hakuwa kafunika sura yake...

Ngozi yake ilikuwa ni kielelezo tosha kwamba alikuwa ni msafi halafu alikuwa akinukia manukato mazuri sana,ni binti mweupe wa sura mwenye mwanya.

Nilimpa ishara kumuonesha kwamba anaweza kukaa na mm...duu..mm nilikuwa domo zege sana yaani sikuweza kuongea chochote mpka tulipofika kituo kinaitwa info1,

Ikabidi nijikaze kidogo..

Mimi: unashukia kituo gani dada?

Mrembo:kaniaangalia kisha akajibu benjamini mkapa..

Mimi:unamgonjwa?

Mrembo:ndio,shangazi yangu anaumwa ..

Mimi😛oleni sana...naomba nije nimuone mgonjwa niweze kumfariji...

Hii kauli yangu ilimfanya anione ni mtu mwema mwenye huruma ..nikamwambia mm nashukia kituo kilichofuatia kwa hio ningependa anipee namba yake...alisita kidogo kisha akaniambia yeye hana simu.

Kilichofuatia nilitoa karatasi kidogo nikamuandikia namba yangu ya simu kisha nikashuka chap!

Bhasi mm nikaendelea na mishe zangu nakumbuka jamanne asbh siku iliuofuatia nilikuwa mezani nikipiga msuli,duu namba ngeni iliingia kupokea simu, sikuamini alikuwa ni mrembo...hapo nikajikuta nimfahamu jina...alikuwa ni husna ...akanikumbusha jinsi nilivompatia namba.Hapo sasa ni tarehe 11 mwezi wa 2...hapa nilimchangamkia kidogo nakumtaka kutekeleza ahadi niliyomuahidi kuwa nitaenda kumuona shngz yake.

Ilipofika sa 9 nilienda ndipo nilipogundua alikuwa na shift ya uangalizi wa shangaz yake,alikuwa akifanya shift na mdogo wake ...daah ama kweli hata mdogo wake alikuwa ni pini kali...

Bhasi nilikuwa nimejikoki fresh full matunda na maneno ya kufariji kama yote...nilimaliza nikasepa zangu hostel...

Nikajiwazia nawzaje kumla husna mbona ni demu mkali sana bhasi nikajiapia lazima nimle nilichati nae sna mtoto nikaja kugundua alikuwa kaumizwa na anachukia mahusiano duuu nikajikatia tamaa...

Nikampotezea ...akaja kunicheki tarehe 13 ambapo kesho yake ilikuwa ni siku ya valentine day 14...nilichati nae kidogo nikampanga anitembelee getto aje apaone nnapoishi maana tulishakuwa marafiki...hehehe hapa akajichanganya si akakubali ila mm sikuweza kuamini nilijaribu tu...kweli bhana siku iliyofuatia nikamcheki mapema tu...mida ya sa nne akaniambia saa tisa atakuwa free kwa hioo nikutane nae jamatini...hahahah...

Nilikutana nae,sasa mm nakaa gwasa wahuni ndo wanapopaita yani changombe...nikachukua bajaji chap maana nilihisi anaweza kughairi...bhasi hao mzee mpka getto...

Dah kufika getto mtoto anashangashangaa tu nikatulia nae tukawa tunapiga vistory vya hapa na pale huku nimemuwashia redio maana nilikuwa sina TV,sasa bhana nilikuwa pia sina kochi wala sofa,nikajilaza zangu huku mtoto akiwa na hofu nikamsogelea dah...hehehe mtoto anachuchu zimesimaa mzee hatari kucheki kiunoni kapiga kacheni flani hivi amaizing...hehehe ajue mtoto aligomagoma sana kwamba sijamwambia kama nitamla duu...lakini baharia nilizinganga karata vizuri nikajikuta tunakubaliana nimchezee tu mwili nisimle..hahaha ilikuwa ni kosa kubwa...dakk tatu niliona mtoto tena kalegea haongei



Hahaha sikulemba huwa na shoo mbovu sana...lakini siku ile ilikuwa ni balaa nilipiga shoo ambayo nilikuja kujikubali baada ya kuona miguu ya husna inatetemeka hatari afu mrembo alinifinya na kucha zake mgongoni alining'angani mwendo wa dkk tano huku akipiga ukelele flani wa kimahaba ambao sikuwahj kuuskia kwa demu yyte yule....



Itaendelea.....



***1118***
 
Kapime ukimwi...
 
Kastori katamu ila umefanya mnara wangu usimame nusu,ebu malizia nisimamishe vizuri..😂😂
 
Dah! Mkuu hapo uliingia cha kike kwa jina hilo na ulivyomuelezea kama namfahamu huyo demu huwa anajiuza ukimuangalia kwa haraka utadhani mwanafunzi na anasafiri mikoani huwa anapenda kusingizia kuwa ni mwanafunzi anasoma Udom amekuja likizo kwa rafki yake.

Ni pini kweli.. Niliwahi kumuotea mwaka 2014 mitaa fulan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HahHahahha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah daah wahuni sio watu wazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee....duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba namba ya mdogo wake husna mkuu. Nijaribu kama nitaweza kula kimasikhara... maaana sijawahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wanaojiuza hawana chuchu saa sita mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…