Aisee huyu jamaa kanitibia msongo wa mawazo wote niliokuwa nao leo. Watu wana vioja bwana.πππ...
Bila shaka wachina walifanya hivyo...
Duuh!!!!. Mbona hukunikumbusha jana. Yaani jana tu nimetoka kwenye bonge la shoo . Yaani shoo ilikuwa kali sijawahi . Nashauri watu ambao hawajawahi kula vya Bukoba wavitafute waonje, yaani ni raha kwa kwenda mbele. Mnaweza kesha masaa 12-24 mnageuzana tu na kubadilisha mashukaMna machaguo mawili tu ya kuweza kujikinga na corona. Moja acha kabisa kushiriki ngono na mtu msiyekaa naye nyumba moja.
Pili, ukilazimika kufanya hivyo, basi hakikisha nyote mmevaa barakoa (hapa usiniulize utapumuaje) na muwe mmejisanitaizi mikono. Vinginevyo mnajiweka katika hatari ya kuambukizana ugonjwa.
Ni maoni tu jamani, msinitoe jicho kwa mapovu.
Umesahau STYLE iwe CHUMA MBOGA tu. Maximum bao 2Mna machaguo mawili tu ya kuweza kujikinga na corona. Moja acha kabisa kushiriki ngono na mtu msiyekaa naye nyumba moja.
Pili, ukilazimika kufanya hivyo, basi hakikisha nyote mmevaa barakoa (hapa usiniulize utapumuaje) na muwe mmejisanitaizi mikono. Vinginevyo mnajiweka katika hatari ya kuambukizana ugonjwa.
Ni maoni tu jamani, msinitoe jicho kwa mapovu.
Ndio maana yake mzee, nilikua na boksa na Kwa ndani nimevaa zana tayari kwa lolote.Sekunde sifuri tu kazima. Mzee nikavua jinzi nikabaki na boksa, nikachana kondom nikavaa fasta then nikamfata bodaboda. Nikamchana ebwana safari imeishia hapa chukua chako kula u-turn.
Hapo[emoji3516]sijaelewa mkuu ulimfata bodaboda kumulipa sitahiki yake ukiwa umevaa condom?
Sent using Jamii Forums mobile app
Me huyu dogo nimemkubali, atakuwa mwongo mwongo sana mwandiko wake unaonyesha ni mtu ukimpa nafasi ya kujieleza anakumaliza
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16] mzee hiyo km script, inabidi ujenge picha kichwani ili uende na muvi. Sio ishu kuandika kila kitu ndio maana nika fast foward mwandiko[emoji1420][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaushie mkuu
Maisha yetu yenyewe ndio hayo mzee, movie tosha. Sometime inakua ngumu kuamini real life events km hizo.Jah bless umetisha,katoe movie mkuu..
U-turn (madereva wameelewa)[emoji1432]Khaaaa huu mwandiko....!
Eti piga u turn...
komesha korona
[emoji16][emoji1787]huyo atakua anaona ajabu kutembea huku umevalia zana.Story tamuuu halafu unataka kuidodosa mpaka iharibike. Acha tuburudike tu bana kwa sababu mwana kajitahidi sana kuiwasilisha [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16] mzee hiyo km script, inabidi ujenge picha kichwani ili uende na muvi. Sio ishu kuandika kila kitu ndio maana nika fast foward mwandiko[emoji1420]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba umetishaaaaa[emoji16][emoji1787]huyo atakua anaona ajabu kutembea huku umevalia zana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] shukrani mzee, ila mi na fix nuru na kiza mzee..hatupatani kabisaawe bwanamdogo unajua kusimulia nimecheka, we ni dizain ya wale madogo wenyw fix sana yan mtu asikupe muda wa kujieleza.
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16] shukrani mzee, ila mi na fix nuru na kiza mzee..hatupatani kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] jamaa alitaka kufosi hakujua wastarabu hatufanyi ushenzi wa kula mande.haina noma ila umenichekesha sana jamaako hakupata hiyo chance aisee pole zake
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shukrani mzee, sometime sio mbaya kusaidiana kupunguza stress na hizi mavituzzMzee baba umetishaaaaa
Duh! maisha yanakuwa magumu maradufu. Afadhali kustaafu kabisa mpaka hapo hali itakaporejea kuwa shwari.