Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mna machaguo mawili tu ya kuweza kujikinga na corona. Moja acha kabisa kushiriki ngono na mtu msiyekaa naye nyumba moja.

Pili, ukilazimika kufanya hivyo, basi hakikisha nyote mmevaa barakoa (hapa usiniulize utapumuaje) na muwe mmejisanitaizi mikono. Vinginevyo mnajiweka katika hatari ya kuambukizana ugonjwa.

Ni maoni tu jamani, msinitoe jicho kwa mapovu.
Duuh!!!!. Mbona hukunikumbusha jana. Yaani jana tu nimetoka kwenye bonge la shoo . Yaani shoo ilikuwa kali sijawahi . Nashauri watu ambao hawajawahi kula vya Bukoba wavitafute waonje, yaani ni raha kwa kwenda mbele. Mnaweza kesha masaa 12-24 mnageuzana tu na kubadilisha mashuka
 
Mna machaguo mawili tu ya kuweza kujikinga na corona. Moja acha kabisa kushiriki ngono na mtu msiyekaa naye nyumba moja.

Pili, ukilazimika kufanya hivyo, basi hakikisha nyote mmevaa barakoa (hapa usiniulize utapumuaje) na muwe mmejisanitaizi mikono. Vinginevyo mnajiweka katika hatari ya kuambukizana ugonjwa.

Ni maoni tu jamani, msinitoe jicho kwa mapovu.
Umesahau STYLE iwe CHUMA MBOGA tu. Maximum bao 2
 
Sekunde sifuri tu kazima. Mzee nikavua jinzi nikabaki na boksa, nikachana kondom nikavaa fasta then nikamfata bodaboda. Nikamchana ebwana safari imeishia hapa chukua chako kula u-turn.

Hapo[emoji3516]sijaelewa mkuu ulimfata bodaboda kumulipa sitahiki yake ukiwa umevaa condom?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana yake mzee, nilikua na boksa na Kwa ndani nimevaa zana tayari kwa lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweka kituo hapa, ila nilicho gundua hamna HIV+ mbona hamna alie pata garasha baada ya kupima ?
 
Back
Top Bottom