Miaka fulani huko nyuma mmiliki wa nyumba niliyokuwa nimepanga aliita mchepuko kutoka Zanzibar, ile anafika tu mke wake naye akarudi kutoka msibani huko mkoani ambapo ilibidi akae wiki tatu lakini akarudi ghafla bila taarifa kwa mume wake.
Binti wa kizanzibari ameingia tu, jamaa anaitwa na dogo mmoja kuwa mkewe yupo getini akiwa kwenye Bajaji nje anashusha mizigo anaomba amsaidie ili aingie ndani. Jamaa alichungulia mlangoni kisha karudi ndani fasta kuja kumtoa dada wa kizanzibari na kumleta uani.
Akili ya kuzaliwa, jamaa akaingia chumbani kwangu banda la uani bila hodi huku amemshika binti mkono na kumwingiza ndani.
Kabla sijauliza jamaa akatoka kwenda kumpokea mke wake huko nje.
Binti anahema juu juu, nikamkaribisha kitandani.
Nikapata gharama ya kununua kiepe yai kwa mgeni wa ghafla.
Mke wa jamaa baada ya muda akaja akakaa eneo la uani, huku ndani binti anataka kukojoa maana choo kilikuwa cha nje, nikampa beseni akakojoa. Binti alikula huku analalamika na kulia jinsi jamaa alivyotaka kumtia aibu ya kufumaniwa. Nilibembeleza, huku nikimpa faraja.
Saa moja usiku jamaa akaja dirishani na kuniambia nikamtafutie lodge huyo binti huku akinipenyezea elfu ishirini.
Nikamwabia sawa huku binti akionekana kupinga swala la kulala lodge. Jamaa alipoondoka namwambia binti jiandae tutoke anakataa. Nikaona hii nafuu kwangu.
Saa tatu usiku binti akaomba kwenda kuoga, nikaangalia mazingira, nikamtoa akaoga.
Binti akarudi na akapanda kitandani akiwa amejifunga mtandio, sikupoteza muda nami nikaoga na kupanda kitandani.
Haikuchukua muda mrefu, tukiwa ndani ya shuka moja binti alikuwa amenigeuzia tako, nililipapasa kwa muda. Binti aligeuka nikala tunda.
Binti akasafiri siku ya pili asubuhi.
Jamaa alikuja kugundua baada ya binti kumwambia wazi kuwa alilala kwangu na kwa hasira alinipa tunda na tulifanya ufirauni mwingine . Jamaa alinichukia sana. Mwisho nilihama na sijawahi kukutana na jamaa tena.
Sent using
Jamii Forums mobile app