Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Sio kila mtu anapenda hayo mambo wakati mwingine inabidi tuelewe maisha ya duniani ni mfupi sana kuna mda mwingine unahitaji kufurahi kucheka hata kama kitu sio cha kweli au ni kweli lakini chumvi nyingi sisi wengine tupo kwa ajili ya furaha tunaenjoy kwa kweli hata kwenye jambo serious tunaweka utani..tulizishe mioyo yetu kwa kufurahi asanteni
Tafadhari sana mkito usirudi na story zako😂😂
Bora nife kwa depression lakini sio kwa chai zako.
 
UTI inaambukizwa hata kwa njia ya ngono. Mimi nimeshaambukizwa mara 3 hii kitu kutoka kwa KE. Pia Daktari alithibitisha kuwa KE anaweza kuambukiza UTI kupitia ngono.
Ni kwli kabisa
 
Acha ubishi bas

Ukwel ndo huo usibishane kama hujawah kutana na case kama hiyo basi uliza au usome vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijakutana na case? How? Tunafahamiana mimi na ww? Unanijua vipi?

Ninachokwambka mimi ni kwamba UTI haiambukizwi kwa ngono na kwa hali ya kawaida ni ngumu sana mwanaume kupata UTI

Wengi wanaopata UTI ni wanaume wenye umri umekwenda kidogo probably anakuwa na shida za prostatitis au prostate abnormality zingine

we jamaa acha ujinga, personally nishapata UTI bila kula tigo bali kawaida,

aim for the stars

Haya mpaka unanitukana

Sasa mimi na wewe nani mjinga? Unajua mifumo wa kitabibu ilivyo bongo

Unajua kama huko mtaano kwenye vi-dispensary vyenu mnabambikiwa magonjwa?

Nikitulia ntakutafua research inayohusisha vitu hivyo halafu urudi utukane tena

Usiwe tajiri KICHWA.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wadau hacheni kula jicho!
Tunaharibu jamii yetu kwa tamaduni za kishetani,
Tutajikuta hatuzaani na kuongezeka km amri ya Mungu "zaeni na mkaongezeke na muijaze dunia"
Na mwisho wa siku tukatimiza agenda ya mpinga kristo ile ya sodoma na gomola, pigeni show za kibabe "papuchi" mbona zinaita. Jicho noma
Ila huu Uzi ni noma
 
Sikiliza ww

Kwanza unatakiwa ujue utofauti kati ya UTI na STDs

Ndio nakubali wanaume kupata uti ni ngumu kutokana na maumbile yetu yalivyo kwamba tuna urethral ndefu kuliko ile ya wanawake na ndo maana wanawake wanakuwa kwenye risk kubwa kuliko wanaume LAKINI sikwamba hatuwezi kupata UTI

Sex au ngono inachangia sana maambukiz ya UTI tena kwa wanaume hii ndo inachangia kwa kias kikubwa yaani ukiona mwanaume kapata uti asilimiaa 80% ameitoa kwa mpenz wake kwasababu mwanaume vitu vitakavyo expose urethral yake na infection ni sex

Tofauti na wanawake vitu vinavyo waexpose na infection zipo nyingi ikiwemo kutawaza au kuchamba kwasababu urethral yao ipo karibu na anus

Mwanaume anaekuwa kwenye risk ya uti ni yule anaeshirik sex kinyume na maumbile maana kule kuna bacteria ambayo husababisha hii infection na hata wanawake wanaokuwa kweny risk kubwa ni wale wanaofanya kinyume na maumbile

So inatokea mwanamke amepigwa kote kote ww ukaja ukala njia ya kawaida ukawabeba wale bacteria so kupata infection inawezekana sana

Kuhusu sijui nakujua sijui ni utoto unaleta nenda kasome usipende kubisha bisha

Sijakutana na case? How? Tunafahamiana mimi na ww? Unanijua vipi?

Ninachokwambka mimi ni kwamba UTI haiambukizwi kwa ngono na kwa hali ya kawaida ni ngumu sana mwanaume kupata UTI

Wengi wanaopata UTI ni wanaume wenye umri umekwenda kidogo probably anakuwa na shida za prostatitis au prostate abnormality zingine

Haya mpaka unanitukana

Sasa mimi na wewe nani mjinga? Unajua mifumo wa kitabibu ilivyo bongo

Unajua kama huko mtaano kwenye vi-dispensary vyenu mnabambikiwa magonjwa?

Nikitulia ntakutafua research inayohusisha vitu hivyo halafu urudi utukane tena

Usiwe tajiri KICHWA.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTI inaambukizwa hata kwa njia ya ngono. Mimi nimeshaambukizwa mara 3 hii kitu kutoka kwa KE. Pia Daktari alithibitisha kuwa KE anaweza kuambukiza UTI kupitia ngono.
UTI ni kwenye njia ya mkojo..wewe mwanaume unaipataje..wengi mnadhani UTI ni kwenye Vagina

Hospitali zetu uchwara hizi hata ukienda una typhoid unaambiwa ni UTI..Ni ngumu kuprove kuwa mtu ana UTI bila ya kufanya culturing..Na culturing haifanyiki kwenye hizi hospital uchwara

UTI sio sexually transmitted disease,labda kama ulikula kisamvu
 
Kuhusu mambo ya prostate hii ni ishu nyingine mbali na sex ambayo nayo inachangia sio kwa watu wazima tu hata vijana wapo wanaopata shida za prostate nataman nikueleze vizur ila tunaharibu maana ya huu uzi

Kama unasoma mambo ya afya nenda kasome UTI ujue

Etiology
Sign and symptoms
Management and treatment
Preventive measures

Soma indeep usisome kufaulu mitihan sawa chief
Sijakutana na case? How? Tunafahamiana mimi na ww? Unanijua vipi?

Ninachokwambka mimi ni kwamba UTI haiambukizwi kwa ngono na kwa hali ya kawaida ni ngumu sana mwanaume kupata UTI

Wengi wanaopata UTI ni wanaume wenye umri umekwenda kidogo probably anakuwa na shida za prostatitis au prostate abnormality zingine

Haya mpaka unanitukana

Sasa mimi na wewe nani mjinga? Unajua mifumo wa kitabibu ilivyo bongo

Unajua kama huko mtaano kwenye vi-dispensary vyenu mnabambikiwa magonjwa?

Nikitulia ntakutafua research inayohusisha vitu hivyo halafu urudi utukane tena

Usiwe tajiri KICHWA.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasome upya utaelewa
UTI ni kwenye njia ya mkojo..wewe mwanaume unaipataje..wengi mnadhani UTI ni kwenye Vagina

Hospitali zetu uchwara hizi hata ukienda una typhoid unaambiwa ni UTI..Ni ngumu kuprove kuwa mtu ana UTI bila ya kufanya culturing..Na culturing haifanyiki kwenye hizi hospital uchwara

UTI sio sexually transmitted disease,labda kama ulikula kisamvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka fulani huko nyuma mmiliki wa nyumba niliyokuwa nimepanga aliita mchepuko kutoka Zanzibar, ile anafika tu mke wake naye akarudi kutoka msibani huko mkoani ambapo ilibidi akae wiki tatu lakini akarudi ghafla bila taarifa kwa mume wake.
Binti wa kizanzibari ameingia tu, jamaa anaitwa na dogo mmoja kuwa mkewe yupo getini akiwa kwenye Bajaji nje anashusha mizigo anaomba amsaidie ili aingie ndani. Jamaa alichungulia mlangoni kisha karudi ndani fasta kuja kumtoa dada wa kizanzibari na kumleta uani.
Akili ya kuzaliwa, jamaa akaingia chumbani kwangu banda la uani bila hodi huku amemshika binti mkono na kumwingiza ndani.
Kabla sijauliza jamaa akatoka kwenda kumpokea mke wake huko nje.
Binti anahema juu juu, nikamkaribisha kitandani.
Nikapata gharama ya kununua kiepe yai kwa mgeni wa ghafla.
Mke wa jamaa baada ya muda akaja akakaa eneo la uani, huku ndani binti anataka kukojoa maana choo kilikuwa cha nje, nikampa beseni akakojoa. Binti alikula huku analalamika na kulia jinsi jamaa alivyotaka kumtia aibu ya kufumaniwa. Nilibembeleza, huku nikimpa faraja.
Saa moja usiku jamaa akaja dirishani na kuniambia nikamtafutie lodge huyo binti huku akinipenyezea elfu ishirini.
Nikamwabia sawa huku binti akionekana kupinga swala la kulala lodge. Jamaa alipoondoka namwambia binti jiandae tutoke anakataa. Nikaona hii nafuu kwangu.
Saa tatu usiku binti akaomba kwenda kuoga, nikaangalia mazingira, nikamtoa akaoga.
Binti akarudi na akapanda kitandani akiwa amejifunga mtandio, sikupoteza muda nami nikaoga na kupanda kitandani.
Haikuchukua muda mrefu, tukiwa ndani ya shuka moja binti alikuwa amenigeuzia tako, nililipapasa kwa muda. Binti aligeuka nikala tunda.
Binti akasafiri siku ya pili asubuhi.
Jamaa alikuja kugundua baada ya binti kumwambia wazi kuwa alilala kwangu na kwa hasira alinipa tunda na tulifanya ufirauni mwingine . Jamaa alinichukia sana. Mwisho nilihama na sijawahi kukutana na jamaa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulimla ndogo au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UTI ni kwenye njia ya mkojo..wewe mwanaume unaipataje..wengi mnadhani UTI ni kwenye Vagina

Hospitali zetu uchwara hizi hata ukienda una typhoid unaambiwa ni UTI..Ni ngumu kuprove kuwa mtu ana UTI bila ya kufanya culturing..Na culturing haifanyiki kwenye hizi hospital uchwara

UTI sio sexually transmitted disease,labda kama ulikula kisamvu
Nakuelewa, ila hapa wengi hawataelewa.
Ni uongo mkubwa, unapeleka mkojo saa tatu asubuhi, saa tatu nusu mtu wa maabara/daktari anakwambia eti una UTI.

Matokeo yake anakuandikia Azithromycin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono
Wadau hacheni kula jicho!
Tunaharibu jamii yetu kwa tamaduni za kishetani,
Tutajikuta hatuzaani na kuongezeka km amri ya Mungu "zaeni na mkaongezeke na muijaze dunia"
Na mwisho wa siku tukatimiza agenda ya mpinga kristo ile ya sodoma na gomola, pigeni show za kibabe "papuchi" mbona zinaita. Jicho noma
Ila huu Uzi ni noma

Sent using my dyudyu
 
Huu Uzi kila siku naukuta juu inawezekana Ni uzi pendwa kwenye jukwaa

Sent using Gun Trigger
 
UTI ni kwenye njia ya mkojo..wewe mwanaume unaipataje..wengi mnadhani UTI ni kwenye Vagina

Hospitali zetu uchwara hizi hata ukienda una typhoid unaambiwa ni UTI..Ni ngumu kuprove kuwa mtu ana UTI bila ya kufanya culturing..Na culturing haifanyiki kwenye hizi hospital uchwara

UTI sio sexually transmitted disease,labda kama ulikula kisamvu

Mkuu niliambiwa na Daktari katika Hospitali Rufaa ya Mkoa. Sasa kama na hizo hospitali za serikali unaziita uchwara hapo nakubaliana na wewe. Pia acha mawazo ya kishetani kwamba kila mtu anapenda hayo mambo ya kisamvu.
 
Back
Top Bottom