Umehamasika eeh?
Naufuatilia kila siku lzm nisalimie humu nione wadau na position zaoSeptemba 1, 2020 Huu uzi utatimiza mwaka mmoja. [emoji1787][emoji1787]
Nimeshazichakata sana za Majirani na wana watu wao sema long distance relationship, kwenye wake za watu hapo acha nisiongelee ila ni ukweli mtupu kuhusu visa vingi vinavyoongelewa humu Kimasihara imekua ni rahisi kuliko kutongoza.kuna mke wa mtu alinipenda hadi kero na ukimuona alivyo mstaarabu huwezi amini, nilimchakata kwa miaka 8,tulianza kimasihara tu ila ndo ikawa hivyo kuna siku anakuja kulala kabisa geto hadi namshangaa, ilibidi nihame na nibadili namba ya simu tu ndo nikamucha ki hivyo,na kipindi chote hicho hajawahi kusevu namba yangu
Naufuatilia kila siku lzm nisalimie humu nione wadau na position zao
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
2014 hapo nimeanza kupanga jamaa yangu nlokuwa naishi nae kwake akanipa mchongo wa kumtafutia wateja kwa biz yake nikawa nafanya hivyo, siku moja akanipa info kuwa kuna dem pia aliunganishwa na jamaa yake anataka kazi sasa inabid tuje tufahamiane nikasema poa ila jamaa akanambia dem ni mzuri na ana mpango amtongoze atangaze na ndoa nikasema hewalaa.
Siku zikasogea, nikamuomba jamaa namba ya demu akanipa nikajitambulisha, tukawa tunasalimiana, stori za hapa na pale hapo hata hatujaonana. Siku moja nikamtia voco akaanza unajua mimi jamaa yako ananitaka anataka kunioa, mara stori mob mi nikamuuliza wewe unafeel nin juu yake akanambia hana tym nae, huku kwangu akajaa kimasihara tu. Nikawa namwambia aje hom kwangu anisabahi pia apajue siku hiyo akanambia niko Kkoo nikitoka naja, hata kama ni usiku nikajua masikhara haya, kweli saa tatu nasikia mlango wangu unagongwa, nikafungua mtu huyu hapa mpaka ndani. Naambiwa nipishe nivue nikaoge nikasema sawa, nikampisha kavua kaenda kuoga, kilichofuata hapo, asubuh haniangalii usoni.
Hapo kwa Kiranga nadhani umekosea, kama sikosei yule mwamba anaitwa Barafu. I stand to be corrected.Naaam safari na muziki.
Uzuri kimasikhara haiexpai.....kila siku mambo mapya. Bila kuwasahau majelegend walio fanya huu uzi kuwa hapa ulipo.
Juma p maharagwe wewe unanafasi special kwenye huu uzi
acronomy
Kiga kyoto mzee wa mackenzie na boss rona
Mzee mmoja anaitwa burna wa stori ya hamida miaka ya sabini..
Kiranga na mashombe shombe wa huko shinyanga na wahispaniola
Yule bwana aliye mla mtawa
Heshima kwa yule dada alieenda intern ya utabibu zanzibar akala kimasikhara paka ndoa
@lugumya na stori zake.
Hapo kwa Kiranga nadhani umekosea, kama sikosei yule mwamba anaitwa Barafu. I stand to be corrected.
ulete mrejesho mkuuMasikhara yanaanzaga hivi:-
Ukijitoa akili utakula matunda ya kila aina.
Asubuhi hii [emoji3][emoji3]
View attachment 1476015
ulete mrejesho mkuuMasikhara yanaanzaga hivi:-
Ukijitoa akili utakula matunda ya kila aina.
Asubuhi hii [emoji3][emoji3]
View attachment 1476015
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo sisi tunakomaa kufunga magoli mazuri ya kiufundi kama yakina Mess na Ronaldo, magori yale yana kazi sana kufunga. Ukitaka goli rahisi we tafuta penati tu. Yaani we usitake chenga wala nini akikugusa umejiangusha kwenye box la penati bila kujali kakugusa eneo gani. Ukishaanguka maamuzi mwachie huyu hapa
View attachment 1476102
[emoji23][emoji23][emoji23], Kaulizwa kesho unanafasi tayari keshajibu kulipapasa!!! Au gari imemchanganya mkuu anyway tunakutakia mpapaso mwema!!
Safi mkuu sema vya kumkinga mgeni aliyoimbwa na Komba muhimu uko nyaya zimeunganishwa hatari shoti nje nje!!!Nategea kipindi cha kampeni hawa mademu wa bongo muvz nitasafiri nao tena,sitozingua kama 2015[emoji51][emoji51][emoji51]
Mkuu hili ni pepo. Tafadhali nenda kwa askofu bishop dokta gwajima alikemèee
Utakuja kunishukuru baadae. Dah
Chai ya moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masikhara yanaanzaga hivi:-
Ukijitoa akili utakula matunda ya kila aina.
Asubuhi hii [emoji3][emoji3]
View attachment 1476015
Njoo na maandaziChai ya moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hii chai yako unaipika unaacha majani mengi hvyo braza[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipe masaa machache tuUtuletee mrejesho.
Hawa wadada wepesi sana ila ugumu ni sisi kutanguliza heshima.
Ni kweli chai ya moto sana na nimeweka tangawizi. Utakunywa vikombe vingapiChai ya moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hii chai yako unaipika unaacha majani mengi hvyo braza[emoji23][emoji23][emoji23]