Ulishawahi kula tunda kimasihara?
kuna mke wa mtu alinipenda hadi kero na ukimuona alivyo mstaarabu huwezi amini, nilimchakata kwa miaka 8,tulianza kimasihara tu ila ndo ikawa hivyo kuna siku anakuja kulala kabisa geto hadi namshangaa, ilibidi nihame na nibadili namba ya simu tu ndo nikamucha ki hivyo,na kipindi chote hicho hajawahi kusevu namba yangu
Nimeshazichakata sana za Majirani na wana watu wao sema long distance relationship, kwenye wake za watu hapo acha nisiongelee ila ni ukweli mtupu kuhusu visa vingi vinavyoongelewa humu Kimasihara imekua ni rahisi kuliko kutongoza.
 
Naaam safari na muziki.

Uzuri kimasikhara haiexpai.....kila siku mambo mapya. Bila kuwasahau majelegend walio fanya huu uzi kuwa hapa ulipo.

Juma p maharagwe wewe unanafasi special kwenye huu uzi

acronomy

Kiga kyoto mzee wa mackenzie na boss rona

Mzee mmoja anaitwa burna wa stori ya hamida miaka ya sabini..

barafu na mashombe shombe wa huko shinyanga na wahispaniola

Yule bwana aliye mla mtawa

Heshima kwa yule dada alieenda intern ya utabibu zanzibar akala kimasikhara paka ndoa

@lugumya na stori zake.
Naufuatilia kila siku lzm nisalimie humu nione wadau na position zao

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu mna roho ngumu saaana
2014 hapo nimeanza kupanga jamaa yangu nlokuwa naishi nae kwake akanipa mchongo wa kumtafutia wateja kwa biz yake nikawa nafanya hivyo, siku moja akanipa info kuwa kuna dem pia aliunganishwa na jamaa yake anataka kazi sasa inabid tuje tufahamiane nikasema poa ila jamaa akanambia dem ni mzuri na ana mpango amtongoze atangaze na ndoa nikasema hewalaa.

Siku zikasogea, nikamuomba jamaa namba ya demu akanipa nikajitambulisha, tukawa tunasalimiana, stori za hapa na pale hapo hata hatujaonana. Siku moja nikamtia voco akaanza unajua mimi jamaa yako ananitaka anataka kunioa, mara stori mob mi nikamuuliza wewe unafeel nin juu yake akanambia hana tym nae, huku kwangu akajaa kimasihara tu. Nikawa namwambia aje hom kwangu anisabahi pia apajue siku hiyo akanambia niko Kkoo nikitoka naja, hata kama ni usiku nikajua masikhara haya, kweli saa tatu nasikia mlango wangu unagongwa, nikafungua mtu huyu hapa mpaka ndani. Naambiwa nipishe nivue nikaoge nikasema sawa, nikampisha kavua kaenda kuoga, kilichofuata hapo, asubuh haniangalii usoni.
 
Naaam safari na muziki.

Uzuri kimasikhara haiexpai.....kila siku mambo mapya. Bila kuwasahau majelegend walio fanya huu uzi kuwa hapa ulipo.

Juma p maharagwe wewe unanafasi special kwenye huu uzi

acronomy

Kiga kyoto mzee wa mackenzie na boss rona

Mzee mmoja anaitwa burna wa stori ya hamida miaka ya sabini..

Kiranga na mashombe shombe wa huko shinyanga na wahispaniola

Yule bwana aliye mla mtawa

Heshima kwa yule dada alieenda intern ya utabibu zanzibar akala kimasikhara paka ndoa

@lugumya na stori zake.
Hapo kwa Kiranga nadhani umekosea, kama sikosei yule mwamba anaitwa Barafu. I stand to be corrected.
 
Tatizo sisi tunakomaa kufunga magoli mazuri ya kiufundi kama yakina Mess na Ronaldo, magori yale yana kazi sana kufunga. Ukitaka goli rahisi we tafuta penati tu. Yaani we usitake chenga wala nini akikugusa umejiangusha kwenye box la penati bila kujali kakugusa eneo gani. Ukishaanguka maamuzi mwachie huyu hapa
View attachment 1476102
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utuletee mrejesho.
Hawa wadada wepesi sana ila ugumu ni sisi kutanguliza heshima.
Nipe masaa machache tu
Screenshot_20200613-145646.jpg
 
Back
Top Bottom