Acheni kabisa, kuna binti mmoja ana shape kubwa yaani apa nkisema shape no shape kweli, ana sura nzuri wanapenda kumtania wanamuita mdoli, akipita kila mwanaume lazima ageuke.

basi siku moja nkamfata mtu wake wa karbu maana nilijua nkienda kichwa kichwa ntakula za uso, basi yule rafiki ake ni kama dada ake sio rafiki sana, akasema huyu humuwezi wewe, yule mdada akaniombea no. na kuchomekea maneno kidogo kua mimi n mstaarabu nna heshima kadha wa kadha.

binti ni mtoto wa 2000, hatujazidiana kidogo, juzi kaja geto baada ya kumpanga kwa siku 1, alivofika geto, kwanza akauliza hapa anakaa peke ako, kuangalia akakuta bonge la tv, fridge limejaa, bonge la kitanda, bonge la jiko, na alijua mi choka mbaya, bhana weee.

alipagawa sana binti wa watu hadu nkamuonea huruma, ila amejaa haswa, na nlkua na mpango, nisisex na yeye alikuja na plan ya kunichora tu, ila hisia wacha ziitwe hisia, nlimtafuna alizdiwa badae alkuja kulaumu sana.

yaani kiulaini, binti anabana matumizi, binti ana heshima, binti anajali tena atakua anakuja kunisaidia kazi, wacha niletee kitambi jstar mimi, ila nmeopoa jiko, akinizingua potelea mbali uko, ila huyu ni binti wa 2 mkali, kwa nilowai kuwala, nkiangalia list toka nmebalehe 2015, nmelala na wadada 26.

huyu binti n mzuri na anasumbuliwa na watu wenye kila kitu ila kaangukia kwangu na nilivokua mchafu, juzi nmefrahi sana, if possible badae ntamuoa siwezi kuacha hips zote zile achukue mwanaume mwngne na akchukua basi, niapate zaidi ya pale na zaidi ya pale ni poshy.
 
Hahahahah, unachanganya kaka! Sina story ya kwenye ambulance, hiyo si ya kwangu kabisaa, fuatilia vizuri. Mama wa Mwanafunzi wangu, nilikuwa niliajiriwa baada ya kumaliza chuo (private), Mwanafunzi wa ustawi tulikutana nae kwenye daladala, nikiwa natoka posta nikamwambia nafanya kazi TAMISEMI na kwamba ninaimba na ninasoma PhD UDSM mke wa mwajiri wangu ni ile ile shule niliyokuwa napiga nimeajiriwa (private). Sikusema nilihamishwa, nilihama baada ya kupata kazi ya taaluma niliyosomea.

Masihara zangu:
1. Mwarabu koko
2. Mama wa Mwanafunzi wangu
3. Mke wa Mwajiri wangu
4. Girl from Ustawi wa Jamii
5. Girl wa Pharmacy.

Nilisema Sina masters. Degree ninayo! Fuatitlia vizuri Mkuu!
 
Bado mnaendeleza zinaa yenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…