Hahahahah, unachanganya kaka! Sina story ya kwenye ambulance, hiyo si ya kwangu kabisaa, fuatilia vizuri. Mama wa Mwanafunzi wangu, nilikuwa niliajiriwa baada ya kumaliza chuo (private), Mwanafunzi wa ustawi tulikutana nae kwenye daladala, nikiwa natoka posta nikamwambia nafanya kazi TAMISEMI na kwamba ninaimba na ninasoma PhD UDSM mke wa mwajiri wangu ni ile ile shule niliyokuwa napiga nimeajiriwa (private). Sikusema nilihamishwa, nilihama baada ya kupata kazi ya taaluma niliyosomea.
Masihara zangu:
1. Mwarabu koko
2. Mama wa Mwanafunzi wangu
3. Mke wa Mwajiri wangu
4. Girl from Ustawi wa Jamii
5. Girl wa Pharmacy.
Nilisema Sina masters. Degree ninayo! Fuatitlia vizuri Mkuu!