Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hakuna kitu inauma kama unasimulia kitu cha kweli halafu unakuta mtu ana reply simply “Chai”.

Mabaharia mnarudisha sana uzi nyuma.
Achana na hao wanawake wanaovaa suruali, mtoto wa kiume huwezi kufikia kudandia post za mwenzio na kujifanya mkosoaji wakati uzi huu hauna sehemu iloyosema kuna ukosoaji. Kama haijawapendeza au kuiamini ni kupita kimya, si lazima asome.... Ujuaji wao ni wa tabia za kidada, mwanaume hujipitia kimya. Wapo ambao wanazipenda, anakuwa anawaharibia mood
 
Hahahahah, unachanganya kaka! Sina story ya kwenye ambulance, hiyo si ya kwangu kabisaa, fuatilia vizuri. Mama wa Mwanafunzi wangu, nilikuwa niliajiriwa baada ya kumaliza chuo (private), Mwanafunzi wa ustawi tulikutana nae kwenye daladala, nikiwa natoka posta nikamwambia nafanya kazi TAMISEMI na kwamba ninaimba na ninasoma PhD UDSM mke wa mwajiri wangu ni ile ile shule niliyokuwa napiga nimeajiriwa (private). Sikusema nilihamishwa, nilihama baada ya kupata kazi ya taaluma niliyosomea.

Nilisema Sina masters. Degree ninayo! Fuatitlia vizuri Mkuu!
Mkuu nimekuelewa
 
KIDUMU CHAMA CHA (KUTUKI)

kwa niaba ya muasisi wa hiki chama cha kula tunda kimasihara (KUTUKI)
Mbwana,Muheshimiwa,Engineer,Doctor, riki boy
Ningependa tupige kula kwa nafasi mbali mbali za chama kwa mtiririko wake mimi binafsi sijui mtiririko ukoje ila mimi ni mwanachama tu wakawaida na sitogombea nafasi yoyote katika chama cha (KUTUKI)
Wenye nia ya kugombea mnaweza tangaza nia na sisi wanachama tutawachagua kwa nafasi zenu mtakazo omba

note🙁NI MAWAZO TU YA KUFIKIRIKA SIO LAZIMA IWE)
Mabaharia ebu hili wazo lisipuuziwe maana lazima tuwe na malengo ya muda mrefu hii KUTUKI inabidi tuilinde iwe urithi wa taifa kwa ajili ya vizazi vijavyo .
 
Kuanzia Leo alieleta Uzi huu bwana RIKI BOY
Namtunuku wadhifa ufatao..

Certificate in sexology..
Diploma in sexology..
Bachelor degree in sexology..
Master of science in sexology..
Master in sex administration..
PHD in sex marketing..
Doctorate in sex relationship..
Professor in Advanced sex..

Kwa heshima na taadhima kikao kimeamua kua awe mwanachana wa kudumu na amepita bila kupingwa..
Ndo nn wivu tu unakusumbua

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahah, unachanganya kaka! Sina story ya kwenye ambulance, hiyo si ya kwangu kabisaa, fuatilia vizuri. Mama wa Mwanafunzi wangu, nilikuwa niliajiriwa baada ya kumaliza chuo (private), Mwanafunzi wa ustawi tulikutana nae kwenye daladala, nikiwa natoka posta nikamwambia nafanya kazi TAMISEMI na kwamba ninaimba na ninasoma PhD UDSM mke wa mwajiri wangu ni ile ile shule niliyokuwa napiga nimeajiriwa (private). Sikusema nilihamishwa, nilihama baada ya kupata kazi ya taaluma niliyosomea.

Masihara zangu:
1. Mwarabu koko
2. Mama wa Mwanafunzi wangu
3. Mke wa Mwajiri wangu
4. Girl from Ustawi wa Jamii
5. Girl wa Pharmacy.

Nilisema Sina masters. Degree ninayo! Fuatitlia vizuri Mkuu!
Kuna hii kitu mkuu , umeme wake ana baki naoView attachment 1477988
mzinzi hana vizingiti vitavyo mbana..haipingwi hiyo
 
Naona ulikuwa unajiuliza na kujijibu mwenyewe, duowhatsapp
Ona stori za huyu famicho.

Baada ya kuona stori zako za kutunga hazina mvuto umekuja kudandia uzi pendwa.
Screenshot_20200614-102144.jpg
Screenshot_20200614-102158.jpg
Screenshot_20200614-102131.jpg
Screenshot_20200614-102119.jpg
Screenshot_20200614-102103.jpg
 
Hahahahah, unachanganya kaka! Sina story ya kwenye ambulance, hiyo si ya kwangu kabisaa, fuatilia vizuri. Mama wa Mwanafunzi wangu, nilikuwa niliajiriwa baada ya kumaliza chuo (private), Mwanafunzi wa ustawi tulikutana nae kwenye daladala, nikiwa natoka posta nikamwambia nafanya kazi TAMISEMI na kwamba ninaimba na ninasoma PhD UDSM mke wa mwajiri wangu ni ile ile shule niliyokuwa napiga nimeajiriwa (private). Sikusema nilihamishwa, nilihama baada ya kupata kazi ya taaluma niliyosomea.

Masihara zangu:
1. Mwarabu koko
2. Mama wa Mwanafunzi wangu
3. Mke wa Mwajiri wangu
4. Girl from Ustawi wa Jamii
5. Girl wa Pharmacy.

Nilisema Sina masters. Degree ninayo! Fuatitlia vizuri Mkuu!
Amekuchanganya na mtaalam wa Chai mwenzio Mikito Mikitoo..😀😀😀
..Ila zako burudani Sana na ukweli kabisaa
 
Back
Top Bottom