Hakuna kitu inauma kama unasimulia kitu cha kweli halafu unakuta mtu ana reply simply “Chai”.

Mabaharia mnarudisha sana uzi nyuma.
Achana na hao wanawake wanaovaa suruali, mtoto wa kiume huwezi kufikia kudandia post za mwenzio na kujifanya mkosoaji wakati uzi huu hauna sehemu iloyosema kuna ukosoaji. Kama haijawapendeza au kuiamini ni kupita kimya, si lazima asome.... Ujuaji wao ni wa tabia za kidada, mwanaume hujipitia kimya. Wapo ambao wanazipenda, anakuwa anawaharibia mood
 
Mkuu nimekuelewa
 
Mabaharia ebu hili wazo lisipuuziwe maana lazima tuwe na malengo ya muda mrefu hii KUTUKI inabidi tuilinde iwe urithi wa taifa kwa ajili ya vizazi vijavyo .
 
Ndo nn wivu tu unakusumbua

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kuna hii kitu mkuu , umeme wake ana baki naoView attachment 1477988
mzinzi hana vizingiti vitavyo mbana..haipingwi hiyo
 
Amekuchanganya na mtaalam wa Chai mwenzio Mikito Mikitoo..😀😀😀
..Ila zako burudani Sana na ukweli kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…