Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16]nakumbuka niko field msalala kahama mwenzetu mmoja alishindwa uzalendo akaliwa denti yaani Dada alilegea mnoo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sisahau,kuna dogo alikua anaitwa Hamisi alikua ananipenda halafu mi namuona mwanafunzi kuna siku akasema"sijui kwa nini nimechelewa kusoma "yaani wanafunzi wa shule miaka 2010 kurudi yalikua makubwa halafu hayaogopi sema sijawahi yaani kumpendaga mwanafunzi km mpenzi.
Nini kilifuata baadae? Hatma ya mchumba wako ilikuwaje?Hii ya kwangu sijui ni masihara au vipi.
Kulikuwapo binti fulani mitaa niliyopanga hatukuwahi kuwa na mazoea yoyote zaidi ya salamu na sikuwaza kuja kumla hata kidogo maana nilikuwa nina mchumba ambaye nampenda na sikuwa na tamaa ya ngono kwa mademu wengine maana mchumba wangu alikuwa ananitimizia kila nilipohitaji.
Basi nikaendelea na uaminifu kwa mchumba wangu mpaka siku niliyokuta anachat kimapenzi na bwana mwingine ambaye walikuwa mpaka wanatumiana nauli wakutane mikoani.Hasira za kufumania text za mapenzi kwa mchumba angu zikanifanya niwaze kisasi kwake japo nilishaamua kumuacha,kisasi hiko kikanifanya niwale mpaka ndugu zake wawili waliokuwa wananipigia simu ili kuleta suluhu ili uchumba usivunjike.
Basi siku ya kwanza tu ya kugundua usaliti sikulala kwa mawazo na hasira huku nikiwa nawaza jinsi ya kulipiza kwa mchumba angu,ndipo akilini nikamuwaza binti jirani ambaye alikuwa hapiti bila kunisalimia. Nikapiga hesabu za fasta jinsi ya kumpata huyo jirani japo Sina mazoea nae zaidi ya salamu tu. Sijui ujasiri wa kwenda kumuulizia kwao niliutolea wapi,kufika nikamkuta mdada wa makamo aliyejitambulisha ni shangazi yake. Nikaeleza shida yangu kuwa namuhitaji huyo binti maana sijamuona muda wa kama wiki mtaani,yule dada akashangaa nikajifanya sijali huku nazidi kujipa ununda ambao sijazaliwa nao kabisaaa[emoji3][emoji3][emoji3]kusalitiwa kubaya jamani.
Yule dada akasema kuwa huyo bint hayupo kaenda kwa dada yake sehemu flan iv nje ya jiji la dar,nikaomba mawasiliano yake akagoma akidai haijui Nia yangu,nikazidi kusisitiza maana kwa jinsi tulivyokuwa tunaongea hakuonyesha kuwa na misimamo ya kishangazi kabisa. Nikaendelea kukaza huku akitaka kujua lengo langu hasa Ni nini huku akiomba kujua Kama mie ni mkwewe[emoji3] mwishowe akanipa namba ya bintiye huku akinipa baadhi ya mikwara ambayo kwangu niliona kama utani.
Nilipopiga ile namba muda ule haikupatikana,nikatuma text ili akiipata inipe notification niruke hewani. Mida ya mchana nikampata hewani,nikajitambulisha kidogo akanielewa,nikamuomba tuonane akawa anasita akidai hajanizoea na hajui dhamila yangu,nikamtoa wasiwasi kuwa sitomdhuru kwa chochote maana ninapoishi ni jirani na kwa shangazi yake so hata akipiga kelele ndugu zake watakuja[emoji3]akawa ananiomba aje weekend Ila nikamkazania sana aje siku hiyohiyo (sijui kwanini nilikuwa mtukutu ghafla[emoji3]) mwishowe akakubali nikamtumia nauli na baada ya masaa ma3 akawa amefika huku nikimpitishia mlango wa nyuma kwa siri wanaomjua wasimuone. Vile kukubali tu kuja room kwa Siri nikawa nimejihakikishia ushindi,alivyopata ndani nikajiongelesha kidogo akawa hataki kukaa kwa bed na sikuwa na kiti wala stuli kipindi hiko. Vile kubembelezana nikajikuta namgusagusa maeneo hatari akawa ananikataza huku akijitahidi sauti yake isisikike nje,nikazidi kumfanyia fujo na mwishowe akaelekea kibla. Nilimla kwa hasira sana maana sikutegemea kumpata kirahisi na wakati nafanya nilikuwa naona Kama ndo namfanya mchumba angu msaliti,Basi nilimpelekea Moto wa wa ajabu mpaka akaomba poo.
Tulikaa room mpaka usiku sana huku huduma zote tukizimalizia humoho room,nakumbuka nilimpikia wali nyama,Basi alinisifia kwa vingi jirani yake na ndo ikawa mwanzo wa kulianika hadharani penzi letu.
Walikua watoto bwana!![emoji23][emoji23]
Unawezakuta ulikua unawaelewa sema unakaza Moyo tu!!
Uchumba ule ulikufa maana jamaa yake wa mkoa alikuwa ananirushia ma-evidence yote kuwa yule demu anamla kitambo ,niliumia sana na hasira zangu nikawa nazimaliza kwa vitoto vipya kitaa na mjini ninakoshinda kwenye biasharaNini kilifuata baadae? Hatma ya mchumba wako ilikuwaje?
Aaaah angekua wakike sawa Ni mtoto but wa kiume tena secondary schools!!.....usiwaite watoto bn maana pilipili hoho na ukubwa wake woote haiwashi hata kidogo ila Kuna vipilipili kichaa vijidogo mnoo ila ukila balaa lake utalisikilizia mwenyewe[emoji23][emoji23]Walikua watoto bwana!!
Abarikiwe na shetani.Uzi pendwa huu, nikiwa na stress napitia hapa, kutazama watu wanavoshusha essay za kulana kiutani utani, lol abarikiwe san muanzisha hii thread.
cc rikiboy
[emoji23][emoji23][emoji23] eti eeeh bas sawaaaah
Yule mtoto naye vipi?Uchumba ule ulikufa maana jamaa yake wa mkoa alikuwa ananirushia ma-evidence yote kuwa yule demu anamla kitambo ,niliumia sana na hasira zangu nikawa nazimaliza kwa vitoto vipya kitaa na mjini ninakoshinda kwenye biashara
umejichatisha chifu hahahhahhMasikhara yanaanzaga hivi:-
Ukijitoa akili utakula matunda ya kila aina.
Asubuhi hii [emoji3][emoji3]
View attachment 1476015
Yule mtoto bhana tuliendelea na raha zetu mpaka nikawa natamani kumchumbia pia japo kidonda cha moyo kilikuwa hakijapona. Baada ya muda niligundua ana dalili za ujauzito na nikifurahia sana. Nikamshauri tukapime tujue akakubali,majibu yalitoka kuwa ana ujauzito wa miezi mitatu wakati mie ndo Kwanza nakaribia kutimiza mwezi wa pili tangu kuwa nae. Ikabidi aseme tu kuwa alikuwa na jamaa ambaye aliamua kumuacha baada ya kuona u-serious wangu kwenye mapenzi,so ikabidi tu ampelekee tumbo lake jamaa. Wameoana tayari [emoji3][emoji3][emoji3]Yule mtoto naye vipi?
Shughuli ninayoipata hapo Mungu anajua.
aisee hii kiboko, kwahyo dem kapeleka tumbo lake kwa jamaaYule mtoto bhana tuliendelea na raha zetu mpaka nikawa natamani kumchumbia pia japo kidonda cha moyo kilikuwa hakijapona. Baada ya muda niligundua ana dalili za ujauzito na nikifurahia sana. Nikamshauri tukapime tujue akakubali,majibu yalitoka kuwa ana ujauzito wa miezi mitatu wakati mie ndo Kwanza nakaribia kutimiza mwezi wa pili tangu kuwa nae. Ikabidi aseme tu kuwa alikuwa na jamaa ambaye aliamua kumuacha baada ya kuona u-serious wangu kwenye mapenzi,so ikabidi tu ampelekee tumbo lake jamaa. Wameoana tayari [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii noma mkuu..!!Yule mtoto bhana tuliendelea na raha zetu mpaka nikawa natamani kumchumbia pia japo kidonda cha moyo kilikuwa hakijapona. Baada ya muda niligundua ana dalili za ujauzito na nikifurahia sana. Nikamshauri tukapime tujue akakubali,majibu yalitoka kuwa ana ujauzito wa miezi mitatu wakati mie ndo Kwanza nakaribia kutimiza mwezi wa pili tangu kuwa nae. Ikabidi aseme tu kuwa alikuwa na jamaa ambaye aliamua kumuacha baada ya kuona u-serious wangu kwenye mapenzi,so ikabidi tu ampelekee tumbo lake jamaa. Wameoana tayari [emoji3][emoji3][emoji3]
Yeah,alienda kumwambia kuhusu mimba na jamaa akaikubali bila pingamizi na baada ya mwanamke kujifungua wakaoanaaisee hii kiboko, kwahyo dem kapeleka tumbo lake kwa jamaa
Kiukweli kabisa nisingeweza na huu wivu wangu[emoji3][emoji3][emoji3]sikuwa na imani kabisaHii noma mkuu..!!
sema mtoto wa mwenzio nikama mtoto wako, ungemlea tu mkuu
Hili ni parode kabisa