Ulitoa shoo mbovu mkuu
 
Hahahaaa ndugu yangu naona una nyota ya kupata wanaodungwa na wengine...Utani tu!
 
Ningeshangaa nisingekukuta swahiba wangu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila weee unavo ni andama jomoneeeeeh, mmmh hadi najistukia lol, but anyway ngoja mieeeh ni sign out mazimaaaah, nkuache ufurahi. Aaaaaaaah
 
UCHAGUZI

Mwaka huu tutashudia mengi sana ivi USHAWAHI kwenda kwenye mikutano mikubwa ya kisiasa ukapata tunda KIMASIHARA wale wa vijiji wanaelewa mambo ya mwenge yanavyokuwa na mikutano ya kisiasa ile mikubwa sasa hii ilikuwa ni mwenge kusini huko kwa wamakonde nikiwa mgeni nakutana na mwenge kwenye kijiji ndani ndani huko watu kutoka waliya na mkoa wote walikusanyika pale na ngoma ilikuwa inakesha kulikuwa na kila aina ya burudani pale mziki ngoma ya full shangwe mm nikajongea tu kwenda kushangaa watu wa kijiji wanavyokuwa ila kwa mbinu za mwanaume wa Dar nilijikuta nakula matunda 5 kwa usiku moja kwa nyakati tofauti tofauti na matunda tofauti tofauti kila moja likiwa na radha yake utamu wake na aina ya kulila na nilivyolipata
Kumbuka matunda 5 goli 3 kila TUNDA unapata goli 15 kwa usiku mmoja tena matunda ya kimakonde vuta picha ungekuwa wewe ungeweza kweli
Ni yeye ni yeye Mikito Mikito hii ni story ndefu kidogo nzuri utamu mikasa ya hapa na pale kwenye harakati za kula matunda hayo usiku ule ubaya uzuri hii utakuwa kama movie vile ya X ambayo inawasilishwa kwa njia ya maandishi kuanzia point A mpk point B na matunda yote yataoneshwa jinsi yalivyoliwa na kupatikana kwenye story moja yaani 5 in 1 ......ukikosa hii basi usipite tena kwenye huzi huu itakuwa haina maana tena kama hujapata shuhuda hii
Asanten
 
Hii chai mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mm pekee ndo huwa nakuamin bro
 

Hahaha. Halafu utakuta kumbe Mikito Mikito ni dogo mmoja wa kidato cha pili anasoma shule ya Day, ndiye anatusumbua vichwa watu wazima hapa Jf!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…