Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Leo sabasaba hapa dasalare nimedamka asubuh 11 .nikakutana na mazaa moja ina mtako wa ajabu piga full light akaachia njia amebeba kimkoba. Nikamzuia na kasalamu ka kinafiki.niaje mama la mama .akajib poa .nikamkaribisha kwa fasi twende nikusogoze huko mbele .akasema unajua naenda wap.nikamwambia sijui cha msingi we unaenda mbele na mimi mbele so huko huko. Akapanda .aisee sijakawiza nikaanz uongo yan full masifa sifia sana huku nagusa gusa kidgo maeneo ninayosifia.ni kiza hapo .nikapak pemben duh nikapata umate aisee nikala mzigo saafi. Nimapelek mpk banana .anaend sabasab. Sikuchukua ht namba za simu. Sasa jion hii namuona tena.
Shugul ikaja kuomb namb at anakaza na mm hapa ndo naangalia mtoto wa kusepa nae kimasihara huyo nikaachana nae. Karibun sabasaba.
Ulitoa shoo mbovu mkuu
 
Yule mtoto bhana tuliendelea na raha zetu mpaka nikawa natamani kumchumbia pia japo kidonda cha moyo kilikuwa hakijapona. Baada ya muda niligundua ana dalili za ujauzito na nikifurahia sana. Nikamshauri tukapime tujue akakubali,majibu yalitoka kuwa ana ujauzito wa miezi mitatu wakati mie ndo Kwanza nakaribia kutimiza mwezi wa pili tangu kuwa nae. Ikabidi aseme tu kuwa alikuwa na jamaa ambaye aliamua kumuacha baada ya kuona u-serious wangu kwenye mapenzi,so ikabidi tu ampelekee tumbo lake jamaa. Wameoana tayari [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa ndugu yangu naona una nyota ya kupata wanaodungwa na wengine...Utani tu!
 
Ningeshangaa nisingekukuta swahiba wangu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila weee unavo ni andama jomoneeeeeh, mmmh hadi najistukia lol, but anyway ngoja mieeeh ni sign out mazimaaaah, nkuache ufurahi. Aaaaaaaah
 
UCHAGUZI

Mwaka huu tutashudia mengi sana ivi USHAWAHI kwenda kwenye mikutano mikubwa ya kisiasa ukapata tunda KIMASIHARA wale wa vijiji wanaelewa mambo ya mwenge yanavyokuwa na mikutano ya kisiasa ile mikubwa sasa hii ilikuwa ni mwenge kusini huko kwa wamakonde nikiwa mgeni nakutana na mwenge kwenye kijiji ndani ndani huko watu kutoka waliya na mkoa wote walikusanyika pale na ngoma ilikuwa inakesha kulikuwa na kila aina ya burudani pale mziki ngoma ya full shangwe mm nikajongea tu kwenda kushangaa watu wa kijiji wanavyokuwa ila kwa mbinu za mwanaume wa Dar nilijikuta nakula matunda 5 kwa usiku moja kwa nyakati tofauti tofauti na matunda tofauti tofauti kila moja likiwa na radha yake utamu wake na aina ya kulila na nilivyolipata
Kumbuka matunda 5 goli 3 kila TUNDA unapata goli 15 kwa usiku mmoja tena matunda ya kimakonde vuta picha ungekuwa wewe ungeweza kweli
Ni yeye ni yeye Mikito Mikito hii ni story ndefu kidogo nzuri utamu mikasa ya hapa na pale kwenye harakati za kula matunda hayo usiku ule ubaya uzuri hii utakuwa kama movie vile ya X ambayo inawasilishwa kwa njia ya maandishi kuanzia point A mpk point B na matunda yote yataoneshwa jinsi yalivyoliwa na kupatikana kwenye story moja yaani 5 in 1 ......ukikosa hii basi usipite tena kwenye huzi huu itakuwa haina maana tena kama hujapata shuhuda hii
Asanten
 
Hii chai mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]mm pekee ndo huwa nakuamin bro
 
Hahaha. Halafu utakuta kumbe Mikito Mikito ni dogo mmoja wa kidato cha pili anasoma shule ya Day, ndiye anatusumbua vichwa watu wazima hapa Jf!
 
Back
Top Bottom