Wazoefu hao
 
Ooooh shit umeuza mechi mkuu aise aise ni hatari sana hiyo
 
Duh mwamba ulikosea bana
 
Mshenzi sana huyo mwanamke hivi huwa hawaogopi kweli?
 
Uandishi mbovu sana
 
Yani alifika tu nyumban baada ya kula akaenda kuoga wakat hata kuomba mzigo haukuomba si ulisahau kumtafuta? Au imekaaje hii mjuba mbona kama manzi Ni kicheche mzoefu
Hakuna mahali amesema alienda kuoga amesema alienda bafuni kumbuka Alikua anakula pengine alienda kunawa mikono
 
Bro kudos saaaana. This is porn video but in written form.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…