Kua na utashi wa uandishi huenda ulikua vizur zaidi ya uvyoandika utopolo wako hapa.... Aaaagh
 
Daah broo kwanza hongera kwa uandishii mzur!... Dadadekii .... 2 story Tamu! Na mee nakuja na yangu soon!
 
Ni kweli.
Hapa ni stori za raha, ridhaa na zinazozingatia utu.
Mabaharia wa kweli huwa wanaheshimu mambo hayo.
 
Natumaini tayari umeshaolewa.Kwa jinsi nilivyosoma ulivyoliwa kimasihara inaonyesha tabia yako ya ndani kabisa ni ya umalaya hata baada ya kuolewa utaendelea tu kupiga nyoka pale unapopata nafasi.Pole yake huyo muoaji.

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Ni mnamo miaka ya katikati ya tisini nikiwa masomoni Kenya, mimi na rafiki yangu mmoja toka South Africa tulipata safari ya kwenda kufanya field katika nchi ya DRC. Huyu bwana alishauri tutumie usafiri wa barabara ili tuweze kuyaona mazingira vizuri.

Safari yetu tilitumia usafiri wa basi la Akamba toka Nairobi kuelekea Kampla! Safari ilikuwa nzuri na hakukuwa na rabsha yoyote njiani. Tulifika hotelini, tukajimwagia maji kuondoa uchovu wa safari. Jamaa alipendekeza tusile hotelini bali twende zetu mitaani. Kwa kipindi kile, Kampala ilikuwa inapendeza sana wakati wa usiku hakukuwa na visa vya kijinga jinga. Boda boda kwa kwenda mbele usiku na mitaa mingi ikiangazwa na kung'arishwa kwa taa za barabarani. Polisi walikuwa wengi wakisaidia kuweka amani na utulivu.

Tulikamata boda boda mbili tukawaomba watupeleke kwenye sehemu nzuri ya chakula iliyochangamka. Basi tulipelekwa sehemu inaitwa KABALAGALA ni sehemu nzuri kwa chakula lakini tukakuta hapakuchangamka sana. Tuliamua kula pale na kisha tukakamata Boda Boda nyingine wakatupeleka kwenye live band. Siwezi kumbuka jina la hii sehemu tuliyopelekwa!

Tuliingia kwa hii hotel na tukaenda kaa zetu kaunta. Watu walikuwa wengi wakisakata rumba na akina dada walikuwepo kibao. Tulikuwa tumekaa zetu tukipiga story huku tukiburudisha macho yetu kwa wasakata na rhumba! Basi, walianza kujileta wadada kwetu wakiomba tutwape vinywaji na tujumuike kucheza nao. Tulichofanya ni kuwanunulia na kutokubali kujumuika nao. Walikuwepoa wadada toka Ethiopia, Somalia...... Basi hawa wadada walipenda kutujua zaidi na tuliwasisitizia kuwa sisi ni Waganda lakini wao walidai sisi ni WATZ! Eti tu kwa ukarimu wetu wa kuwapatia vinywaji!

Tuliendelea kukaa pale hadi muda mbovu wa saa tisa na tukaondoka na wadada wawili toka Ethiopia. Kwenye mida ya saa kumi na moja asubuhi nilimsikia jamaa yangu anapiga kelele! Yule mdada aliyeenda naye alimtolea kisu akidai anahitaji apewe USD 400! Jamaa alimdanganya kuwa pesa ninazo mimi hivyo asubiri aongee nami. Uzuri Kiingereza kwa huyo binti kilikuwa hakipandi vyema hivyo ikatupa fursa ya kuongea na uongozi wa hoteli walioleta askari na binti akakamatwa!

Tuliona tumeanza safari na mkosi hivyo tukaamua tuendelee na safari. Tukaenda kituo cha mabasi tukapata basi linaloenda mji wa Kasese ambako tulifika mida ya saa nane mchana na kisha tukapanda gari dogo kuelekea mpaka wa Uganda na DRC kwenye mji wa Kasindi. Tuliingia hapo mida ya saa kumi na moja jioni. Maisha hapo mpakani ni kama yalikuwa yamekufa kutokana na hofu ya rebels. Tulipata nyumba ya wageni ya hovyoo. Hakukuwa na huduma ya chakula. Bahati iliyoje tulikuwa tumekula Kasese. Basi tuliona vi vema tukate maji tu.

Hakukuwa na bar, pombe inauzwa nyumbani kwa watu. Tulionyeshwa mji mmoja wanapouza pombe mida ya saa moja usiku. Tulianza kunywa hapo tukiwa na Mama wmenye mji pamoja na mabinti watatu. Kisha walikuja njema kama tano hapo. Stori ziliendelea na offa ya bia ya PRIMUS ikiendelea kutolewa. Alikuwepo binti mdogo mzuri hapo, nikamchombeza akakubali nikampeleka upenuni mwa myumba nikajilia. Tulirudi na kikao ikaendelea. Mida ya saa tano usiku, wakaja askari wakatukamata mimi na mwenzangu wakatupeleka police post kuhojiwa. Tumehojiwa hadi saa saba usiku ndio wakaturuhusu tuondoke. Walidhani sisi ni Spies wa rebels!
 
Kula masikhara kwa English haionogi kabisa.
describing the mysterious events kwa Kiingereza is not interesting at all
+1
mie hata sijaelewa alipiga' tako' ngapi sijui kama akitumie staili ya popo kanyea mbingu , kifo cha mende ,au mbuzi kagoma... aghrrrr

Story ni nzuri ila ya baridi saaana , just because of language
 

Salutation from one legend to another🤛🏿.
 
Hii sasa mara ya tatu nimekula tunda kimasihara tu kwa watu watatu tofauti. Kanyota kanang'aa sana sijui, manake ilikuwa kama utani utani.

Iko kuna mtoto mmoja mkali sana umbo la kibantu nido ndogo ndogo zilizotuna vizuri, ila rangi yake si nyeusi kivile wala si nyeupe. Nikiwa naenda mishe mishe huwa nakutana nae pale kituoni, yaelekea anakaa karibu na mitaa nayokaa.

Siku hiyo nkaenda zangu kuanzima gari cuz nilikuwa naenda umbali mrefu nkaona daladala ntachelewa na mafoleni haya ndo itakuwa soo. Bwana Kiduku Lilo akasema chukua hiyo Jeep Grand Cherokee 2019, nkamwambia sitachukua muda mrefu.

Nkapiga mishe mishe zangu nko na ndinga. Dakika kadhaa nkamaliza nkasema hawezekani nimalize mapema hivi wacha nizunguke mitaa manake nilikuta gari iko full tank. Nkala mitaa nkapita mitaa fulani nkaona mwanamke mbele, kwa sifa nkaanza kunyata.

Mwanamke akapiga mkono, kufungua dirisha nimcheki manzi wa kila siku kituoni. Nilitaka nipotee cuz nilikuwa namgwaya hatari kwa jinsi alivyo. Akauliza aah!! Kumbe wewe nilikuwa nataka unisogeze hapo mbele kituoni nipate daladala niende nyumbani, saivi waenda wapi? Nkajibu home (sikujua jibu limetokea wapi). Akasema basi twende wote manake nakuonaga pale kituoni. Ukiniacha pale nakuwa nimefika.

Hata sijamruhusu huyo ndani kashafunga na mkanda tayari. Nkaona isiwe case nkakiwasha mwendo mwendo cuz umbali ulikuwa mrefu ili niwahi kurudisha ndinga. Ndani tuko kibubu tu cuz mi mapigo ya moyo yalikuwa hayasomi vizuri.

Fasta kituoni tumefika akagoma shuka anataka nimsogeze kwake, nkamsogeza hapakuwa mbali sana, nkaingiza ndinga mpaka kwake, cuz kulikuwa na ua wa maana. Akagoma shuka tena nkamuuliza kisa nini, akasema chukua namba yangu nkachukua akasema piga nkapiga, ikasoma kwake. Akasema hapo safi. Ila nakuomba punzika kidogo kwangu.

Mi hapo natetemeka tu cuz mtoto alikuwa wamoto hatari. Nkashuka nkachoma ndani, nkakaa kama dk 2 mtoto katoka yuko mwelemwele anawaka sauti imekuwa nyingine anadai leo yuko mwenyewe mdogo wake hayupo, then ana hamu sana ya mambo yetu ya kiutu uzima. So sipaswi kukimbia ye ndo hivyo tena.

Na mimi huku sauti haitoki vizuri manake hapo kashagusa kunako, sijakaa sawa denda mdomoni, sijakaa sawa mtoto kanivua T-shirt... Eeeh!! Yakawa yakuwa kwenye sofa, kitandani, kwenye meza, bafuni, mara kule.

Nakuja kusituka kumekucha tayari. Nacheki pembeni mtoto anasema asante sana, unafanya kazi? Leo hauendi utakuwa umechoka sana, leo jumapili pia zingatia hilo. Kucheki simu mwenye gari kapiga simu kama mara mia hivi na kidogo. (NOTE : Si bwana Kiduku Lilo).
 
Nimesoma Sana Visa humu ngoja niweke changu kilichotokea Jana 26/7/2020

Mtaani karibu na ninapoishi Kuna Dem mmoja mzuri Sana rangi ya mtume (in lemutuz voice) , huyu Dem anauza duka la chakula pia Kuna mpesa,, ! Washkaji mtaani wanamsema ana nyodo Sana , pia huwa anajisikia flani hata ukienda hapo kupata huduma anajifanyisha Hana time, kwa kifupi Ni mtu ambaye sio mcheshi, hazoeleki !!

Of course Nina namba zake lakn kutokana na maringo yake, Sina time nae, huwa namcheki tu nikitaka kuulizia bidhaa hapo dukan au Mambo ya miamala,,, ! Ukisema umzoeshe chats kidogo anajibu mno shot Kama hataki vile,,,

Dukan kwake huwa anafunga saa 8 -10 siku za jumapili ,,, Sasa Jana Niko zangu home tu nishakula lunch mida ya mchana nikampigia kumuulizia huduma flani ya muamala kama anaweza kuwa na hicho kiasi niende kutoa,,,

Baada ya kunipa jibu, nikaweka kautani kidogo karibu home nipo bored nakunywa bia,,, (of course hm sikosi kileo,,,) akacheka kumbe unakunywa nikasema naonja onja tu ,,, nikamchomekea utakuja ? Akasema kwako siji chagua sehm nyingine,,,,

Aloo kwa hii kauli nilipata Moto balaa,, nikamwambia poa ukifunga nicheki, akajibu sawa,, nikaumiza kichwa huyu ananichora ama kweli ? Mwana nikajiandaa chap chap, then nikawaza nimpeleke kiwanja gan ? VIP , uswaz au pa kawaida ?

Kuna wazo likanijia, Kuna bar flan ya kistarabu, Haina wateja wengi Sana pia pana lodge,, nikawaza pengine nikamsaundisha nikipewa tunda hapo patatufaa,,, nikatangulia pale then nikampigia nikamuelekeza achukue boda,,, nikanywa bia Kama 2 mtoto huyoo,,, akaja, story kidogo akaagiza whindhoek, akapiga kama 4 , mm namsoma tu naona bado mzima ila kachangamka kiasi,, wazo likanijia nikamwambia dizaini hapa pana kelele why tusikae sehm tulivu , akajibu wapi nikamwambia hata room,,, akasema wee naogopa, nikakomaa akakubali kwa masharti nisijemsumbua huko ndani, aloo moyo ulipiga paaa paaa kwa furaha ! Nikaagza bia zangu 2, na yy zake 2 tukazama nazo ndan, nikamchokoza kidogo naona anatoa ushirikiano,,nikajilia kiulainiiiiiiii ,,,, !!
 
Siombei mabaya lakini kufa kwa panzi furaha kwa kunguru ....naona watu wanavyokula matunda KIMASIHARA hapa Uhuru wanapishana chooni wengine wanaenda geust na lodge za karibu kama haupo mbali sogea sogea hapa na wewe ujipatie baharia mwenzangu pisi za kutosha kutoka sehemu mbali mbali bila kusahau buza
 
Sio mwandiko wa Lara 1 huu?
 
Khaaaaaaah na sie tulioishia la 3C tunaelewa nn hapa? Au unatak report ya BBC na CNN [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bby uko UDSM [emoji170][emoji1665][emoji3590][emoji170][emoji1665][emoji3590][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…