[emoji23][emoji23][emoji23] aaah wapi. Siwezagi kuwa na ids 2. Na hata ingewezana ningetumia kbs jina langu official. Mimi ni good story teller ila hapana sina hayo matukio ya kihalifu kihivyo kwakweli. Nilivyo na kauoga kangu? Hataaa.
Lazma lipo , kama halipo basi lipo njiani
 
Huyo alitisha San ni legendary kwa kweli, hebu appy na ukitoa convey nitag. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzoee, ukishindwa mpotezee

Me alinishikia bango kwamba ID ya Jobha ni yangu'mwaka Jana hiyo, leo tena kaniona hapa akakumbushia.
Watu wa namna yake sihangaikagi nao natupaga huko kwene pipa la uchafu
 
Tupe matokeo yake maana yametoka
 
Mbona inawezekana chief! Ningetoa moja ila noma sana nitajiexpose. [emoji120]
 
Siku moja nimepanda daladala za kwenda Bagamoyo pale makumbusho miaka kadhaaa iliyopita, nilikua naenda kwa shughuli binafsi.

Kiti nilichokaa ni upande wa dereva kiti kimoja kabla ya kiti cha mwisho kwenye daladala, nimekaa dirishani. Kidogo daladala inaelekea kujaa akaja binti akakaa siti nyingine pamoja na mimi, alivyokaa tu ni kama alijiachia, kama alikua amechoka sana.

Nikamsalimia akaitika, nikampa pole akaipokea vizuri. Kisha tukaanza safari kuelekea bagamoyo. Tukafika njiani kule mapinga tumeshakua wenyeji, story nyingi sana ila binti akaonyesha kama ana msongo wa mawazo, binti alikua anafanya kazi taasisi moja inafanya utafiti wa magonjwa ya kitropiki, inaanza na jina la wilaya moja huko Morogoro.

Baada ya kuwa marafiki, akanikaribisha kwake, tulipokaribia kufika mimi nikashuka kwanza yeye anaenda kushukia mjini. Nilipoka hotelini kwangu nikaoga, nikapumzika kidogo, akanipigia simu kama sijala niende apike tule, hapo mawazo ya kishetani yakaniijia kichwani, nikaenda shop nikachukua condom kisha nikaenda kwake.

Kufika nakuta ndio anatoka bafuni, ameshapika ananisubiri tule, so ile kufika ni kama nilimuwahi kabla hajavaa, ana kanga tu, alikua anaishi kisela, kitanda, kochi mbili na vikorokoro vingine.

Nikaingia mnyama nikakaa kwenye kochi, akaomba anyooshe nguo za kazini kesho yake kwanza kabla hatujala kwani umeme ulikua unakatika katika sana, nikamwambia nimsaidie kwani mimi ni bingwa wa kunyoonya, akakubali.

Pale alikua anayooshea kitandani, akanipisha mzee nikaingia kwenye fani, nikaipiga nguo moto mwenyewe akafurahi, nikanyoosha na nyingine za ziada, akafurahi sana.

Sasa ile nimemaliza kunyoosha nikawa nimeishikilia ile nguo yake ya kwanza(ni vazi la kitaaluma), akaja kama ananisogelea hivi, nikamvuta kama namkumbatia, akajaa mzima mzima, kumbuka hapo ana kanga tu, alikuja kujikuta kitu ishazama muda mrefu, kilio cha kufa mtu.

Baada ya gemu nzito, mtoto akawa na huzuni sana, sikuelewa ameanzaje kua na huzuni huku wakati wa gemu alikua anagugumia kwa raha, kumbe vile nimemla bila condom na bila kujua afya yangu. Akaanza kulia, akasema lazima anipime, alikua na hizi test kits nyumbani kama walivyo watu wa hiyo fani.

Baada ya majibu yangu kutoka yako poa, mtoto akanipa show nzito sana, nimetoka kwake sa 7 usiku.

Huyo ndie demu nilikula kimasihara bila kutongoza na kwa muda mfupi sana. Nitaleta wengine soon.
 
Lazma lipo , kama halipo basi lipo njiani
Lazima muelewe hatufanani mkuu. Kama ni kanuni kwako wengine si sheria pia. Siwezi kucontrol account 2. Za nini? Za kazi gani. Kwani kwa i.d hii nikaamua kuandika kuna anayenifahamu?
 
Huyo alitisha San ni legendary kwa kweli, hebu appy na ukitoa convey nitag. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikambake mtoto wa mtu. Just imejin. Huyo ni pepo la ngono. Tumpeleke kwa mwampoo akaombewe na akanyage mafuta. Ila nimempenda tu
 
Chai iliyopoa
 
Daah!! Huyu Manzi namjua tena alipokua akifanyia Kazi na mimi nlikuwepo jina lake linaanzia na .... Ila sema nini Big Up sana.
 
Uliondokaje usiku wote huo au uwoga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…