Simu moja nimepanda daladala za kwenda Bagamoyo pale makumbusho miaka kadhaaa iliyopita, nilikua naenda kwa shughuli binafsi.
Kiti nilichokaa ni upande wa dereva kiti kimoja kabla ya kiti cha mwisho kwenye daladala, nimekaa dirishani. Kidogo daladala inaelekea kujaa akaja binyi akakaa siti nyingine pamoja na mimi, alivyokaa tu ni kama alijiachia, kama alikua amechoka sana.
Nikamsalimia akaitika, nikampa pole akaipokea vizuri. Kisha tukaanza safari kuelekea bagamoyo. Tukika njiani kule mapinga tumeshakua wenyeji, story nyingi sana ila binti akaonyesha kama ana msongo wa mawazo, binti alikua anafanya kazi taasisi moja ya inafanya utafiti wa magonjwa ya kitropiki, inaanza na jina la wilaya moja huko Morogoro.
Baada ya kuwa marafiki, akanikaribisha kwake, tulipokaribia kufika mimi nikashuka kwanza yeye anaenda kushukia mjini. Nilipoka hotelini kwangu nikaoga, nikapumzika kidogo, akanipigia simu kama sijala niende apike tule, hapo mawazo ya kishetani yakaniinia kichwani, nikaenda shop nikachukua condom kisha nikaenda kwake.
Kufika nakuta ndio anatoka bafuni, ameshapika ananisubiri tule, so ile kufika ni kama nilimuwahi kabla hajavaa, ana kanga tu, alikua anaishi kisela, kitanda, kochi mbili na vikorokoro vingine.
Nikaingia mnyama nikakaa kwenye kochi, akaomba anyooshe nguo za kazini kesho yake kwanza kabla hatujala kwani umeme ulikua unakatika katika sana, nikamwambia nimsaidie kwani mimi ni bingwa wa kunyoonya, akakubali.
Pale alikua anayooshea kitandani, akanipisha mzee nikaingia kwenye fani, nikaipiga nguo moto mwenyewe akafurahi, nikanyoosha na nyingine za ziada, akafurahi sana.
Sasa ile nimemaliza kunyoosha nikawa nimeishikilia ile nguo yake ya kwanza(ni vazi la kitaaluma), akaja kama ananisogelea hivi, nikamvuta kama namkumbatia, akajaa mzima mzima, kumbuka hapo ana kanga tu, alikuja kujikuta kitu ishazama muda mrefu, kilio cha kufa mtu.
Baada ya gemu nzito, mtoto akaws na huzuni sana, sikuelewa ameanzanje kua na huzuni huku wakati wa gemu alikua anagugumia kwa raha, kumbe vile nimemla bila condom na bila kujua afya yangu. Akaanza kulia, akasema lazima anipime, alikua na hizi test kits nyumbani kama walivyo watu wa hiyo fani.
Baada ya majibu yangu kutoka yako poa, mtoto akanipa show nzito sana, nimetoka kwake sa 7 usiku.
Huyo ndie demu nilikula kimasihara bila kutongoza na kwa muda mfupi sana. Nitaleta wengine soon.