BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Funguka banaaaa lol!!! more details please!!!!
Hii niliponea chupu chupu.
Ni miaka 2013 mwanzoni nilikuwa naenda shamba huko mafinga nikitokea dar.
Tulipofika mahali kabla ya chalinze gari ikaharibika. Tukashuka garini kwenda kungojea waamue tutakavyosafiri.
Kukawa na waauza chai na mihogo ng'ambo ya pili ya road.
Ndo nikakutana na mwanaume mmoja. Kweli tuliongea sana. Baada ya gari kutengemaa akanihamisha siti nikakaa naye karibu na mlango wa dereva. Duuu kule garini ni kama tulikosa hata pumzi yaani was zero distance.
Mzee akasema anafanya kazi kwa pilato. Nikapata mshtuko wa kwanza nikajua huwa hawakosi pisto kiunoni hawa loooh i may die today .... ooh my God.
Tuliendelea na safari yetu. Kweli alijitahidi kuweka mazingira ya kwenda kulala wote kituo kimoja baada ya mafinga mjini. Na mimi kwa kuona kuwa pale tumeshakolea kila mmoja na hamu nilikubali. Wakati wa kula tuko beneti mmmh.
Tulipofika mafinga mjini nikambonyeza koda wa ile basi nikashuka kama naenda kukojoa na safari yangu ikaishia pale.
Hata hivyo najua that man ni mwana jf pengine anasoma hapa.
But ukweli nilijiofia maisha yangu halafu nilikuwa na some cash money nikajua sitakuwa Salama but ...
Kisa cha pili was miaka ya 90s na mjeshi mmoja mkoani mbeya............. i'll be back.