2014 hapo nimeanza kupanga jamaa yangu nlokuwa naishi nae kwake akanipa mchongo wa kumtafutia wateja kwa biz yake nikawa nafanya hivyo, siku moja akanipa info kuwa kuna dem pia aliunganishwa na jamaa yake anataka kazi sasa inabid tuje tufahamiane nikasema poa ila jamaa akanambia dem ni mzuri na ana mpango amtongoze atangaze na ndoa nikasema hewalaa.
Siku zikasogea, nikamuomba jamaa namba ya demu akanipa nikajitambulisha, tukawa tunasalimiana, stori za hapa na pale hapo hata hatujaonana. Siku moja nikamtia voco akaanza unajua mimi jamaa yako ananitaka anataka kunioa, mara stori mob mi nikamuuliza wewe unafeel nin juu yake akanambia hana tym nae, huku kwangu akajaa kimasihara tu. Nikawa namwambia aje hom kwangu anisabahi pia apajue siku hiyo akanambia niko Kkoo nikitoka naja, hata kama ni usiku nikajua masikhara haya, kweli saa tatu nasikia mlango wangu unagongwa, nikafungua mtu huyu hapa mpaka ndani. Naambiwa nipishe nivue nikaoge nikasema sawa, nikampisha kavua kaenda kuoga, kilichofuata hapo, asubuh haniangalii usoni.