Kuna moja hivi,mwaka flani hivi(nisingependa taja) wakati huo ndio nimechaguliwa kidato cha tano mwenge singida, bado kijana kabisa damu ya moto, nimefika mwenge nikakutana na wadau wote tumetoka Dsm, tukaunda kikundi cha kijanja ili tusije sumbuliwa na wababe wa kidato cha sita, tulikuwa wazee wa town kiukweli mkwanja ulikuwepo wa kuzugia ila sio kivile sema wadau Wakawa wanajua sisi mambo safi sana, Wakawa wanatuogopa hivi, wengi Wakawa washkaji, sasa ilikuwa Kila weekend lazma tulale nje ya shule tunatoroka , siku moja hivi weekend tumetoroka usiku huo kama saa moja hivi ama saa mbili tumeingia chuo kimoja hivi cha diploma na certificate,kipo karibu na kiwanda cha pamba, nikamuona manzi mmoja mkali mpaka wadau Wakawa wanaona aibu kumuangalia, afu kashushwa na ndinga moja hatari sana, tulikuwa kwenye kibanda cha simu hivi jamaa akasema ni chombo ya mkurugenzi, yaani nyumba ndogo yake afu anasoma diploma, nikawaambia wadau mimi namfuata sema nyinyi nifuateni kwa nyuma, ili jambo baya likitokea mnanisave, wadau wakasema poa , walikuwa Wanapenda kushabikia mambo ya kijinga, tukaona hyo ni njia mojawapo ya kupoteza Muda, mm nikamfuata demu, nikaanza kumsifia sana alikuwa na kiuno chembamba, usafiri wa kutosha nyuma,kifuani chuchu zimesimama,mrefu mweupe, manzi anacheka tu, nikambebea mfuko wake full vituko njiani, kufika alikopanga anakanikaribisha ndani, nikamwambia nisubir kidogo, nikarudi nyuma nikawaambia wadau wanisubiri hapo nje, hyo mishale kama ya saa tatu hivi, mwanaume nikaingia ndani, nikakuta chumba nadhifu sana, nikaanza vituko na mchezea chezea, akaniambia subiri kwanza, akavua jeans aliyokuwa amevaa, akavaa dera, nilipiga shoo moja hatari sana, sema hakutaka niguse maziwa yake ata kidogo, kama saa tano hivi natoka nje nawakuta wadau wananisubiri, nikawapa story ya kilichotokea tokea siku ile nikawa kama kiongozi wao,tukaingia zetu school kama saa sita hivi