sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Wa afya kabisa
Mkuu haya mambo ya urembo na umis shuleni yamenikumbusha tukio flani hivi.Wakati namaliza chuo nilipata kazi kwenye kikampuni fulani kichokuwa kinafanya Event Organization. Sasa mojawapo ya project ya mwaka huo ilikuwa kuandaa shindano la urembo kwenye ngazi ya kanda na kwa bahati nikapewa mimi kajikitengo hako of course na wakubwa wangu pia walikuwepo.
Sasa nikapewa kazi ya kuwa judge kwenye shindano la urembo kwenye chuo fulani hivi. Sasa tukaenda kuwangaalia wakati wanafanya mazoezi ya kujiandaa na shindano ambayo yalikuwa yanafanyika kwenye ufukwe mmoja maarufu sana. Sasa bwana kwenye kuwaangalia washiriki na kufanya prior assessment tukaspot kama wasichana watatu hivi ambao wangekuwa considered kwa ushindi kulingana na physical assessment. Sasa mmojawapo mimi alivuta jicho langu lakini pia baadae wakati tunaondoka alivuta jicho la maboss wangu pia (mbali na work and ethical assessment tuliongea kama wanaume pia maana walikuwa wananichukulia kama mdogo wao)
Basi ikapita mpaka shindano likapita na yule msichana akashika namba 2 kwahiyo akawa anatakiwa kwenda next stage maana washindi wawili ndio walikuwa wanaadvance kwenda ngazi inayofuatia. Mpaka hapo sikuwa nimeongea naye kama yeye wala kuonyesha interest yoyote kwake.
Baada ya kama wiki moja hivi tukatakiwa kwenda tena kwenye chuo kingine nje ya Dar es salaam ambayo pia kulikuwa na shindano kama hilo. Sasa tuliporudi kutoka huko ndio picha likaanza. Kumbuka nilisema kwakuwa washindi wawili walikuwa wanaendelea next stage tuliporudi ikabidi tuwatafute sasa ili kuanza kuwekana Sawa kwa ajili ya maandalizi ya next stage, so nilikuwa mimi na boss wangu mmoja hivi alikuwa mzinzi mzinzi sana. Basi tukakaa nao wote wawili pamoja na mwingine aliyeshiriki tukala lunch kwenye cafeteria ya chuoni hapo na hapo sasa ndio tukaanza kusikia story zilizokuwa zinaenea hapo chuoni. Kwanza ndio nikajua kwamba yule msichana alikuwa mpenzi wa VP wa hicho chuo na kwamba Siku hiyo walikuwa na ugomvi kwasababu ilisemekana huyo msichana alienda na mimi huko kwenye hicho chuo kingine tulikoenda kwa ajili ya shindano. Kwahiyo kumbe na kwenda kwetu pale watu wakawa wananichora tu kwamba nimechukua demu wa VP. Wakati huo mi hata namba yake sina na wala sijaongea naye chochote zaidi ya mazungumzo ya jumla ya maandalizi ya shindano.
Basi of-course baadae tukaja kuwa washkaji flani hivi lakini nikiwa sijamwambia chochote kuhusu kumtaka.
Sasa Siku moja tulikuwa na event nyingine so tukawaalika kama wadau wetu washiriki na sisi, sasa kumbe yule boss wangu mzinzi mzinzi ye akawa ameshaibuka na mwingine wa hapo hapo chuoni so baada ya ile event tukaanza kuwarudisha makwao au hostel mwisho tukabaki kwenye gari yule boss wangu na huyo demu wake na mimi na huyu msichana. Namuuliza msichana we unaenda hostel au nyumbani? Akasema ametokea nyumbani na kwa muda huo hawezi kurudi tena home so nikajua tu hapa haihitaji calculator kujua 1+1 ni ngapi. Nikamwambia yule boss wangu maana tulikuwa kwenye gari lake kwamba tumtafutie huyu sehemu ya kulala na kweli tukaenda mpaka kwenye lodge fulani hivi sinza tukashuka nikawaambia ngoja nimchikulie room ila nikamwambia yule boss wangu nyie sepeni.
Tukapata room tukaingia ndio ananiuliza “Kwani na wewe unalala hapa?” Nikamwambia sasa ulitaka nikuache ulale mwenyewe, kitu kibaya kikikutokea? Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa mahusiano na yule msichana ingawa hayakudumu sana tulikuja kuachana baada ya kuambiwa alikuwa ameanza kuhang na wale wadada maarufu vyuoni kwa kuwaunganishia mapedeshee watoto wazuri. So tukagombana tukaachana.
Siku hizi ameolewa ingawa tunawasiliana bado, hata Leo nikitaka mzigo napewa kiroho safi kabisa ila “Heshimu sana ndoa” ndivyo maandiko yanavyosema so naheshimu sana ndoa yake na mi ndio nimekuwa mshauri mkuu wa ndoa yake.
Wakati nipo kidato cha tatu miaka late 2000's basi nilikuwa kiongozi.
Shule iliorganise talent show. Katika talent show pia yalikuwepo mambo ya ubunifu na urembo. Nilikuwa miongoni wa ma judge wa event ile.
Sasa kwenye kumtafuta miss KSS kuna mtoto mmoja wa form one nkampigia promo bahati nzuri akashinda.
Nkamtumia kabarua kwamba aje home. Alikuwa anapajua kwa sababu ni maeneno ya ķjjn watu wemge hufahamiana sehem wanazo kaa.
Jioni kama saa 11 akaja. Sikuamini kama angekuja. Sikuongea nae chochote zaidi ya kwenda chunbani for next....
Brother niliyekuwa naishi nae hakuaepo by that time