Merci
Member
- Feb 6, 2012
- 92
- 138
tupo wengi tunakula kimasihara hizi story za watabe wa kazi hiziMimi Pia nimepiga kambi hapa nakula kimasihara masiahara kwa maandishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupo wengi tunakula kimasihara hizi story za watabe wa kazi hiziMimi Pia nimepiga kambi hapa nakula kimasihara masiahara kwa maandishi
Nimecheka kifala yaani eti Kwa nn mods hawautupii huu uzi kwenye social networksHuu uzi mbona mods hawautupii kwenye social networks kama wanavyoshea habari nyingine kwa stail ya "mdau wetu wa jamiiforums"
Werevu wanaandika comment ndefu wajinga wanaandika comment fupiWajinga wanasoma komenti fupi na ndefu,werevu wanasoma komenti ndefu tu kwani ndizo zina vitu vizuri na zinaokoa muda.
Huyo demu kweli mbuzi wa kafara. Umenikumbusha kuna kipindi tulikuwa Kigoma Mjini/Ujiji kikazi tukawa tunaishi lodge na workmate wangu ila vyumba tofauti na wote ni Wazee wa masanga na kusafisha macho. Sasa wakati tunafika wiki ile jioni katika kutembeatembea mtaani tukaona sehemu kuna Pub halafu huyo Mmiliki wake ana wezere/chura la hatari plus hips na mguu wa bia huku juu mwembamba na Sura si haba. Jamaa yangu akanikonnyeza nikamwambia tulia.Poa boss..ntakuja na episode niliyomla demu wa mshikaji (mwana kinoma yaani) tukiwa chuo..mwana akajua..akamind sana..nikamwelewesha akaelewa tukawa tunamla kwa zamu...mwishowe nikamshawishi demu tukawa tunamla mtungo..
Ukimwi ni selective sana,kama huamini acha.Wakapime na ukimwi kabisa.
Naona dada Sakayo anakemea kabisa . Maana huu uzi umekaa kishetani shetani kama sio freemason kazini
Weeee haijawah tokea nikaliwa kizembe ivyo,,,, utaanzia wapi kwanza?,. Nilishasema ukiona umemla mdada bs ujue ni yeye mwnyw alishajenga mazingra ya ww kumpt kirahc, yn ulishaingia ktk moyo wake...asa ww unasema oh nimekula kimasihara kumbe nyinyi ndiyo mmeliwa kimasihara....haitaja tokea ktk life ang
Daaaaah hii ya kibabe[emoji23][emoji119]Huyo demu kweli mbuzi wa kafara. Umenikumbusha kuna kipindi tulikuwa Kigoma Mjini/Ujiji kikazi tukawa tunaishi lodge na workmate wangu ila vyumba tofauti na wote ni Wazee wa masanga na kusafisha macho. Sasa wakati tunafika wiki ile jioni katika kutembeatembea mtaani tukaona sehemu kuna Pub halafu huyo Mmiliki wake ana wezere/chura la hatari plus hips na mguu wa bia huku juu mwembamba na Sura si haba. Jamaa yangu akanikonnyeza nikamwambia tulia.
Tukaanza piga maji pale mpaka saa5 usiku tukarudi zetu Lodge. Kesho yake ilikuwa ni Jumamosi tukaenda pale saa4 asubuhi,tukaanza piga mambo,ilipofika Mchana tukamwagiza atutafutie mdudu kilo mbili akauliza na yeye yupo,tukamwambia haupo kama vipi ongeza kilo moja,akasema poa. Kikaja tukaanza Kula baada ya Kula tukamwambia na yeye achukue bia akaribie mezani. Akaleta bia zake tukaanza kunywa,Bia zilipokolea akaanza kuuliza kuwa tunaishi wapi na tunafanya kazi gani nikamwelekeza.
Nikajiongeza,nikachukua simu yake nikajibipu wakati huo mshkaji wangu anadili na demu mwingine mteja aliekuja pale. Tulikaa pale mpaka saa6 usiku tukaenda zetu kulala. Imefika saa7 demu kanitumia text ndio anafunga anakuja logde,nikamwelekeza chumba nilipo. Fasta nikamwambia Mwana lile dude linakuja,mwana akatoka room kwake akaja kwangu akaniambia hapa tumpige mtungo maana kalewa sana, nikamwambia sasa wewe utakaa wapi akasema atakaa bafuni, nikamwambia poa. Dakika3 mlango unagongwa,nikafungua akaingia,hakuna maneno wala hadithi chukua ndomu vaa nikapiga viwili fasta demu akalala nikaenda bafuni nikaoga kwanza baadae mshkaji akaenda akapiga mambo akatoka nikarudi kama hakijatokea kitu vile. Asubuhi demu akaondoka zake,jioni tulipoenda kwake jioni akawa design fulani kama alishtuka vile akawa anaona aibu sana,tukaanza gambe baadae akafunguka kuwa tulimchangia tukamuuliza umeminda akasema hapana,ndio ukawa mchezo wetu.
Nyingine..
kwenye kilimanjaro music tour (tour ya wasanii walioshinda tuzo za kili music)
cha ajabu yule msichana hana hofu wala nini, ningekubali ushauri wa polisi ningepiga mashine tuuu,,,, sijawah tena kuonana nae yule dem , bahati kweli haziji mara mbili .
Hahahahahaha, Mkuu haya Maisha tunayopitia ukimuhadithia mtu hii mikasa yote ataona kama Hollywood. Nahisi alishtuka baada ya jamaa kumaliza kumla,maana jamaa kanizidi Urefu na Mimi nimemzidi unene kidogo.Daaaaah hii ya kibabe[emoji23][emoji119]
mkuu ilikuaje akawastukia, au we unahisi alijuaje mmempiga mtungo?
Mzee BaBa yani matukio ya wadua humu madirector wa Hollywood wanasuka movie za porn kabisa.Hahahahahaha,Mkuu haya Maisha tunayopitia ukimuhadithia mtu hii mikasa yote ataona kama Hollywood. Nahisi alishtuka baada ya jamaa kumaliza kumla,maana jamaa kanizidi Urefu na Mimi nimemzidi unene kidogo.
Kuna Mambo ya ajabu kweli ulimwenguni humuHahahahahaha kweli umekubuhu kwenye medani
Hahahhahah tulipiga kolabo kama mara tatu hivi. Lakini baadae nikaja kugundua mshkaji wangu ni Bingwa wa Kolabo kila demu aliekuwa nae au niliekuwa nae wakati huo alikuwa anataka nimpasie kolabo au yeye kunipa Mimi kolabo.Mzee BaBa yani matukio ya wadua humu madirector wa Hollywood wanasuka movie za porn kabisa.
Ila kwa hii story we na mwana inabidi mpewe tuzo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
manzi mlimfanyia michezo ya ki Pornstar, hapo hapo umetoka ww then akaingia mwenzako[emoji23]
Vp manzi alikubali ww na mwana mpige collabo tena?
Umenichekesha sana aisee eti hivi sisi tumelala au hatujalalaUko wapi?
Home
Una fanya nini?
Nipo tu nasoma soma
Una kitabua cha Shigongo?
Kipi?
Kile ulichokuja nacho library siku ile?
OOOH kile cha stephanie nnacho ndio nakisoma hapa
AAAH jamani namimi nlikua nataka nkisome D
Njoo tusome wote kama unataka
Poa nakuja
BAADA YA NUSU SAA
Hodiiii
Pitaaa sukuma
mambo D
Poa tu niaje?
Fresh nambie
Karibu sana za kupotea
Nzuri we ndo umepotea bwanaa
Aaah mi nipo tu
unaangaliaga katuni na wewe?
Ndio nacheki sana tu ndio starehe yangu na vitabu
Hii katuni inaitwaje?
Sing
nsimulie basi ikoje koje
Nkamsimulia kidogo then nkamwacha akodoe macho (kashasahau kilichomleta ni kitabu)
Unakunywaga wine?
Ndio ila nimekunywa zamaniiiii,unataka kunipa?
Hapana nimekuuliza tu,niambie nikupe nini unywe huku ukiangalia movie
Nichagulie wewe bana chochote tu
Nkaenda nkafungua fridge nkatoka na Drostdy hof nkam miminia kwenye glass,nkampa (karibuu)
Asantee,sio chungu?
Hapana we onja utaiskia
OOH KUMBE TAMU mi nlijua chungu
HAMNA hiyo n tamu tu (basi nkaendelea na kitabu changu na yeye na movie ake)
BAADA YA NUSU SAA
namuuliza,umemaliza nikuongeze?
kimyaaa,kuangalia eti kashalala
vipi mama unaskia usingizi?
Yani nimechoka D
Twende ndani ukapumzike kidogo
Mi nkalale peke angu? labda tulale wote
Kichwa kikalia Alarm triiiiing (nkasema leo ndio leo)
Ok twende namimi ntalala kidogo,nimechoka kusoma
Tukafika kitandani tukajitupa tukalala (nimetulia kimya kama sio mimi hapo)
nkaona mtu anajisogeza sogeza kwangu si unajua ile wakina dada wanavyolala
Namimi kimya nkajifanya nakoroma
Akasogea tena na tena hadi tukagusana
Nikaona huu Uboya huuuuu,hivi sisi tumelala au hatujalala? (najiuliza kimoyo moyo)
Nikauchuna mtoto akajaaa uso ukaja karibu yangu tukawa tunapumuliana kama mabeberu
Mara lips zikasogeleana
Mara zikagusana romance ikaanza
Puruku puruku mtu KALIWA
baada ya kulana usingizi ukamuisha mwenzangu
Akaamka akananiambia alikua katumwa mahali
Nkamwambia poa mi nipo
Akatoka akasepa na Mwisho ikawa hivyo
Huyo alikua ni mpenzi wangu wa kwanza kabisa kumkula bila kumtongoza
Hatukuishia hapo tuliendelea tukaja achana mbele mbele huko
Hiyo inaitwa The Return of Akanyampasira..pamoja sana kwa kushea porn hii..
Nasubiria The return of Acronym ep5