Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,492
Hatutumii Laini Zote Mkuu.![]()
Inasikitisha: memba mwenzetu wa MMU ajinyonga baada ya kukutwa na UKIMWI na aacha ujumbe mzito.
Gaspar Joel Njavike mwenye umri wa miaka 29 mkazi wa Magomeni jijini Dar es Salaam ambaye alikuwa memba wa MMU amekutwa amejinyonga ndani kwake leo mida ya saa kumi na moja asubuhi na kuacha ujumbe mzito kwenye mfuko wake wa shati. Gaspar ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu kwani tunafanya...www.jamiiforums.com
Endeleeni na umalaya!
Stay Away.