Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ukiwa muongo jitahidi kuukumbuka uongo wako, umesema kuwa [emoji117]"nikaingiza mkono kwenye pajama binti hakuwa hata na chupi" baadae ukamalizia [emoji117] nikaishusha na mwisho nikala tunda...
Ndugu mtoa post umesema hakuwa hata na chupi arafu ukaishusha, ulio ishusha ilikuwa ni nini zaidi, ama ndio tukuache umevurugwa na sherehe za uhuru[emoji849][emoji849]

Well, labda nianze kwa kukuuliza, niongope hapa ili nipate nini? Kuna mashindano hapa kwa atayeandika jinsi alivyokula tunda kimasihara?

Umesoma vizuri lugha na aina ya sentensi?

Hakuna mahali nimeandika kuwa nilishusha chupi, nilichoshusha ni pajama.

Hapo juu umeandika ''arafu'' hii ni lugha wapi au ulimaanisha ''halafu''?
Pia umeandika ''ulio ishusha'' kama ulisoma vizuri darasani hayo sio maneno mawili tofauti, inapaswa kuwa ''ulioishusha''.

Tenga muda na ujifunze lugha ya Kiswahili vizuri, uwezo wetu wa kufikiri na kuelewa mambo unapimwa kwa uwezo wetu wa kuelewa lugha husika.

Asante, uwe na mchana mwema.
 
Mwamba naona hujaelewa nilivyosema haupo dunia hii...Mkuu 3some zinafanyika Tena watu wakiwa sober kabisaaa....bila hayo mak-vant wala bhange unazosema.

Mimi mwenyewe nilishafanya 3some nikiwa Niko sober Kabisa Na mademu wako sober vile vile..

Kwa kifupi tu hii dunia ni zaidi unavyoijua...lislowezekana Kwako kwa wenzako linawezekana...Tena simple tu yaani..

Vijana wengi wa Kitanzania wana-exposure ndogo sana katika masuala yanayoendelea katika ulimwengu huu na wengine hata mambo ya mtaani kwao tu.
Kuna watu wanadhani kwa kuwa kitu hajawahi kukiona yeye kikifanyika basi hiko kitu hakiwezekani.
Haya masuala ya ''threesome'' kwa sasa yanafanyika sana tena na watu hawa hawa tunaoishi nao mitaani.

Ndugu utapoteza nguvu zako kuanza kuwaeleza na kuwafafanulia.
 
Mwamba anaamini lisilowezekana kwake basi dunia mzima haliwezekani pia.

Haya bwana ngoja niwaache tu.
 
Hahahahaha jamaa kazingua hao wa masihara sio marafiki ni wale unaikuta ghafla na mawazo nae huna😎
Binti akishakuwa rafiki jua umeshapoteza asilimia 70 za kumgegeda.
Miaka ile kuna binti mmoja nilimfanya rafiki, anaweza kuja chumbani kwangu akalala na chupi tu, na nikiomba mzigo hanipi ataishia kunizingua tu. Wakati mwingine wewe unatengeneza urafiki anatokea mwamba anakula mzigo kiulaini kabisa. Kula tunda kwanza urafiki uje baadaye.
 
mkuu sijui hiyo 3some sijawah ivo siwezi kucomment chochote, ila hili swala la kula kimasihara lipo, binafsi nmekula zaidi ya mara 10 na humu nmeandika kisa 1 tu!!
Nikushauri vitu 2 tu,1.Dunia ni zaidi ya uijuavyo hivyo kitu kama hukijui hujawahi haimaanishi hicho kitu hakipo!!
2.ukisikia au ukiona kitu usichokijua, usiwe mwepesi wa kukikubali au kukikataa,hutojifunza!! Mwisho jaribu kutembea seheme tofauti tofauti, nje ya mtaa, mji au hata mkoa unaoishi uone wenzio wanaishije
Naked truth
 
Well, labda nianze kwa kukuuliza, niongope hapa ili nipate nini? Kuna mashindano hapa kwa atayeandika jinsi alivyokula tunda kimasihara?

Umesoma vizuri lugha na aina ya sentensi?

Hakuna mahali nimeandika kuwa nilishusha chupi, nilichoshusha ni pajama.

Hapo juu umeandika ''arafu'' hii ni lugha wapi au ulimaanisha ''halafu''?
Pia umeandika ''ulio ishusha'' kama ulisoma vizuri darasani hayo sio maneno mawili tofauti, inapaswa kuwa ''ulioishusha''.

Tenga muda na ujifunze lugha ya Kiswahili vizuri, uwezo wetu wa kufikiri na kuelewa mambo unapimwa kwa uwezo wetu wa kuelewa lugha husika.

Asante, uwe na mchana mwema.
mkuu achana naye huyo jamaa ndio wale wale kina Pa-tigoo wanaona wivu mabaharia kula matunda kimasihara wakat wao hawajawah kugonga mbuye bila kuhonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acronym nimependa sana story yako...Naahidi kuwapenda,kuwatunza na kuwalinda wazazi wangu hadi siku ya mwisho.
Kila la kheri ndugu yangu, wazazi wako wakifurahi na wakaishi vyema siku zao za uzeeni hapa duniani ni jambo jema sana.
Achana na hawa wanafiki wa dini halafu hata hawajui wazazi wao wamkula nini huko vijijini.
 
Binti akishakuwa rafiki jua umeshapoteza asilimia 70 za kumgegeda.
Miaka ile kuna binti mmoja nilimfanya rafiki, anaweza kuja chumbani kwangu akalala na chupi tu, na nikiomba mzigo hanipi ataishia kunizingua tu. Wakati mwingine wewe unatengeneza urafiki anatokea mwamba anakula mzigo kiulaini kabisa. Kula tunda kwanza urafiki uje baadaye.
natuamaina amejifunza kitu hatorudia😂😂😂😂😂😂😂
 
mkuu sijui hiyo 3some sijawah ivo siwezi kucomment chochote, ila hili swala la kula kimasihara lipo, binafsi nmekula zaidi ya mara 10 na humu nmeandika kisa 1 tu!!
Nikushauri vitu 2 tu,1.Dunia ni zaidi ya uijuavyo hivyo kitu kama hukijui hujawahi haimaanishi hicho kitu hakipo!!
2.ukisikia au ukiona kitu usichokijua, usiwe mwepesi wa kukikubali au kukikataa,hutojifunza!! Mwisho jaribu kutembea seheme tofauti tofauti, nje ya mtaa, mji au hata mkoa unaoishi uone wenzio wanaishije
kwakweli tembea uyaone mambo ni mengi mno pale unapodhani umeyaona yote 😎 😎 😎
 
Wana MMU kazi hapa Mwanza imeisha, na sasa kila mmoja anaangalia namna ya kurudi alipotoka na kuangalia zawadi za kupelekea wana familia.
Kwa kuwa nimepata muda kidogo ngoja tumalizie kiporo chetu maana niliahidi kuleta stori hii January 2020.
Siku ya Ijumaa Agosti, 2 mwaka 2013 nikiwa nyumbani kwa ‘’braza’’ nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam. Shemeji yangu ambaye kiukweli ni mshikaji na rafiki mkubwa sana kwangu ananigongea asubuhi na kuniuliza kama naweza kumsaidia kwenda kulipa ada ya mtoto benki na kisha kupeleka risiti shuleni. Nikamjibu kuwa haina shida nitafanya hivyo, akaniachia pesa na ‘’bank details’’ kisha akaondoka.
Kufikia saa tano asubuhi nikawa nimeshakamilisha malipo benki hivyo nikaelekea shuleni ili kuwasilisha risiti za benki kwa mhasibu. Nilifika shuleni na nikaenda ofisi ya Mhasibu kwa ajili ya malipo. Ndani ya ofisi kulikuwa na kijana wa kiume(ambaye ndio mhasibu) na dada mmoja mweupe, mrefu na nywele ndefu. Niligonga mlango na kuuleza kuwa nimeleta risiti za malipo ya ada kwa ajili ya mwanafunzi fulani, baada ya kutoa maelezo hayo huyo dada akanisogelea huku akiwa anatabasmu na akauliza ‘’ wewe ni baba yake na(akataja jina la mtoto wa braza), nikamjibu hapana mimi ni baba mdogo, nikamtazama sura vizuri alikuwa binti mzuri mwenye ‘’dimpoz’’ na mwanya wenye vipimo, nikapeleka jicho mkononi nikakutana na pete ya uchumba, nikajisemea huyu mchumba wa mtu . Nikawasilisha risiti kwa mhasibu, kisha huyu dada wa kike akajitambulisha kuwa ni mwalimu wa mtoto wa braza na kuna karatasi anatakiwa kunipatia.
Nikaongozana naye mpaka kwenye ofisi ya walimu na akanitambulisha kwa walimu wenzake kisha akanipatia karatasi kadhaa kwenye bahasha na kunisindikiza kutoka nje ya ofisi. Tukiwa tunatembea akapigiwa simu na kupokea, alipomaliza kuzungumza akaniambia, kuna kijana alimuahidi kumwekea ‘’anti-virus’’ kwenye laptop yake lakini amemwambia hatoweza tena bila kumtajia sababu, nikampa pole na kumwambia nina anti-virus ya Kaspersky ya ‘’two –users’’ kama atahitaji naweza kwenda kumwekea, binti akaniambia sawa, na kuniuliza vipi una nafasi jumapili jioni? Nikafikiri kwa sekunde kadhaa na kujibu nina nafasi. (Kiukweli nilikuwa na ratiba zangu siku hiyo lakini niliona siwezi kosa kumfahamu huyu binti). Akanielekeza anapoishi, tulibadilishana namba na kufahamiana majina kisha nikaondoka kurudi kwa braza.
Jumapili saa moja na robo asubuhi, nikapokea sms ‘’umeamka salama baba mdogo? Kama unaweza njoo mapema ’’, nikasoma sms na kujibu, ‘’nimeamka salama, hofu kwako malkia. Mapema ya saa ngapi?’’, binti akajibu ‘’hata sasa hivi wewe njoo tu’’.
Sikupoteza muda nikaanza maandalizi ya safari kwenda mwalimu. Haikuwa kazi kufika alipokuwa anaishi maana ni katika yale maeneo ambayo mitaa imepangwa vyema. Nilikaribishwa na mwalimu akiwa na pajama na blauzi ya kitambaa chepesi rangi nyekundu. Kwa mazingira ya alipokuwa anaishi nilianza kuhisi inawezekana ni mke wa mtu na sio mchumba tu kama nilivyofikiria.
Nilikaa sebuleni na yeye akaelekea jikoni na kuniuliza kama natumia mayai ya kuku wa kisasa. Mwalimu aliandaa chai na tukakaa mezani ili kupata kifungua kinywa. Tukiwa tunakunywa chai nikaona niulize, ‘’vipi baba mwenye nyumba bado amelala? ‘’, binti alijibu huku akitabasamu ‘’hapana, hapa baba na mama ni mimi mwenyewe’’, nikapeleka jicho kwenye pete, akaniambia hii ipo hapa kama ngao tu, kupunguza usumbufu. Moyo ukapata haueni kidogo, japo kwa maisha yale nikaona kabisa huyu sina cha kumdanganya.
Tulimaliza kunywa chai na nikaletewa ‘’laptop’’ ili niweke anti-virus, binti akaja akakaa pembeni yangu huku na mimi nikianza kazi ya kuweka anti-virus, binti alisogelea kwa ukaribu sana, kisha akaniambia ‘’ba mdogo you smell good’’nikapigwa na bumbuwazi kisha nikajibu, thanks madam. Ukaribu wa mwili wa huyu binti ulianza kunifanya nisifikiri sawasawa. Nikaona walau nimsifie kwa nywele zake, binti akazishika na kuniambia ‘’zishike uone zilivyo ndefu’’, nilishika zile nywele na kuingiza vidole katikati, nikaona binti anashika mkono ili kuutoa, nikasogeza laptop na kumshika kichwa kabisa na kumvuta upande wangu, binti akatamka kwa uvivu ‘’ baba mdogo what are you doing’’, nikamjibu huku nikimsogeza ‘’nothing madam, relax’’. Nilikula mate, nikacheza matiti yaliyojaa vyema, nikaingiza mkono kwenye pajama binti hakuwa na hata na chupi, nikaishusha na mwisho nikala tunda. Huyu binti ni miongoni mwa mabinti romantic niliowahi kukutana nao, yaani anakusifia wakati wa tendo na baada ya tendo mpaka unapata ashki za kumshughulikia kila wakati.
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nilikutana na mwanamke ambaye anapenda kukaa uchi mnapokuwa mmebaki wawili ndani ya nyumba, hii siku tulipika pamoja chakula cha mchana tukiwa uchi na kushinda tukiwa uchi huku tukipeana utamu kila tunapojisikia. Licha ya kuwa haya maisha yameshapita lakini baadhi ya siku huwa namkumbuka sana madam maana ni mwanamke wa pekee sana na anajua kukuridhisha mwanaume.
Nikapitisha siku yangu hapo, nikijilia mema ya Tanganyika. Usiku nikarudi zangu kwa braza nikiwa mwepesi kabisa.
Niliendelea kula tunda la madam kwa miezi kadhaa baadaye aliondoka mjini hapa ndipo nikagundua kuwa alikuwa na asili ya nchi jirani ila amekaa sana hapa Bongoland.
Note: Nilikula tunda kimasihara lakini madam aliniambia baada ya kuzoeana kuwa alishajiandaa kuliwa tangu aliponiona pale shuleni. Alihitaji sababu tu ya kujenga urafiki na ukaribu.
Hawa wanawake kuna nyakati wanatutamani pia sema hizi mila zetu kwamba mwanamke kumtongoza mwanaume ni ‘’mwiko’’ na umalaya. Miaka hiyo nikishajiridhisha kuwa mwanamke anataka dushe nilikuwa natengeneza mazingira tu ya kumla bila kutongozana.
Kama kawaida Watanzania wenzangu tufanye kazi na kutunza familia zetu, mimi nipo off leo baada ya kazi nzito ya maandalizi ya siku ya Uhuru wa Tanganyika.

Kwa wale ambao wazazi wao wapo hai kama ni mjini au kijijini hakikisha wazazi wako hawakosi chakula na mahitaji mengine muhimu ya kimaisha.
Du yaani mazali kama hayo nikipata romantic wa hivyo lazima niweke ndani ...!! Kbs wanawake wengi sio romatic kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom