Wakati tunasoma A level shule flani ya wavulana mkoa wa wala leo waondoka leo sasa tulikuwa na mazoea na uhusiano wa karibu zaidi na shule ya wasichana maaarufu saana katika mkoa huo.
Ilikuwa kipindi cha graduations lazima tualikwe kwenda kucheza mziki na wao kuja kwetu kucheza mziki. Enzi zile kuwa na mtoto kutoka k.o sec ilikuwa title saana. Washkaji waliokuwa wanamilik warembo from that school walikuwa wana enjoy saana hususani siku za graduu na event nyingine full kuletewa mizawadi cards na barua.
Unaweza kuta mwamba anamiliki madem hata sita wote wanamshobokea yeye sisi wengine wanyonge hata hatuna hata wale wa kuzugia. Rafiki yangu ambae tulikuwa tunakaa nae cube moja alikuwa ni miongoni mwa wana ambao watoto wa k.o walikuwa wanampenda saana alikuwa na dem kule sasa walikuwa wanachart nae.
Yule binti kule school kwao alikuwa anajisifu saaana kuhus mshkaji ikatokea dem mwenzake akamwibia namba akaanza kumtafuta mshikaji.
Kipindi kile hizi wasap kulikuwa hamna so alikuwa anachart lakini jamaa alikuwa hamjui huyo bint alafu pia binti alikuwa hamjui mshikaji ila alivutiwa na stori tuu from her friend.
Mwezi kama huu wa january tarehe za 20'ilikuwa ndio graduuu yetu. Sasa mshikaji alikuwa ashampanga dem wake kuwa atakuja na pia huyo dem mwingine pia atakuja
Basi mtoto wa watu alijipanga akaja na mizawad kibao kumletea mshikaji wangu paka wanafika saa nne nne shulen na coaster yao wameshuka wamekaa bado tulikuwa hatuja mtambua.
Mi nilikuwa nafaham picha nzima kwa sababu tulikuwa tunashea nae simu yetu ya kitochi na mwana. Tukamuelekeza bint aende sehem fulan tukaonane nae.
Tukawa tumetega sehem flan kumcheki ile anatokea binti alikuwa sio mzuri wakawaida saana kwa mabaharia wanaweza sema alikuwa mbovu jamaa alivyo ona vile akamkataaa kata kata akakataa kwenda kuonana nae.
Sijui nilipata wapi ujasiri nikaenda na kile kisimu nkampokea nkam hug nkamisifia. Yani nilijifanya ndio mshikaji. Hata jina yan alikuwa ananiita la mshikaji. Alifurahi saana. Then after there tukawa tumeweka miadi kuwa february akimaliza pepa ya six aje tanga mjini chap alale ndio aanze safari ya kwenda kwao.
Nakumbuka sisi tuliwah kumaliza pepa yeye kwa vile alikuwa science comb walichelewa wenzangu walisha sepa m nlibak school na wasayansi kusubiri zali.
Kama utani vile akamaliza pepa kanichek. Nkabeba mizgo paka town tukaonana alikuwa sio mzuri but kwa ule ukame wa uboizini sikuona shida. Kwa vile bint alinikubali nilikula siku mbili mfululizo. Mbaya kwa sura ila kwenye majamboz alikuwa goood. Goood saana. Kwa wakati huo sura nilikuwa siangaliii bali ninachohitaji
Yani binti alikuwa anampenda msela wangu kinyama yani ananiambia b nakupenda kumbe mie hata sio b ni sumbai. Akasepa kwao.
Tukaenda chuo alichaguliwa mhimbili mie chuo kingine but thesame city nkaja nikaonana nae ilipofika ikabidi nimwambie ukweli nakumuelezea kila kitu maana ilikuwa vigumu kudanganya ukizingatia tulikuwa tushaanza kufatiliana kwenye social netwok alisikitika saana.
Tamaa mbaya na uongo ni mbaya wakuu.
Ukawa mwisho wetu.
Sent using
Jamii Forums mobile app