Naona vijana mnakumbushana,ngoja na mie nikumbuke visa kidogokidogo tulivyopewa na Mama zenu kwa huruma..Miaka mingi iliyopita nilikwenda Bogota,Colombia.Nilikuwa na rafiki yangu Mhispaniola ila ni mzaliwa wa Bogota,huyu bwana tulikutana kwenye majukumu ya shirika la uhamiaji la kimataifa la IOM Kigoma.Wakati huo Wakimbizi wa Rwanda na Burundi wameshamiri sana katika kambi za Wakimbizi Kigoma.Hiki ndio kipindi vijana wengi sana wa Kitanzania walikuwa wajifanya warundi wanapata nafasi ya kupelekwa Canada na USA pamoja na UK.
Kazi kubwa ilikuwa ku-sort out wakimbizi kwa baseline ya familia ili kutokuzitenganisha familia na ndugu,baada ya hapo walisafirishwa mpaka uwanja wa ndege Dsm then wakasafirishwa kwenda ama Canada au US.
Yule jamaa yangu alikuwa anapenda sana wanawake na pia alikuwa mlevi sana.Alipoletwa Kigoma na IOM hakuja na familia,kwa hiyo alikuwa anawala sana wanawake wa Kinyarwanda pale Kigoma.Tulipopata likizo,akanambia twende Spain then tutakwenda Bogota akaone ndugu zake.
Usiku mmoja pale Bogota akanipeleka mtaa mmoja maarufu sana unaoigawanya Bogota kusini na kaskazini,panaitwa Carrerra Septima...pamechangamka sana,kuna watoto wa Kilatino wazuri sana pale.Kuna wahuni huko ni hakuna mfano.Unga na walevi ndio wamejaa hapo.Sisi tupo na Dollar za Mmarekani wakati huo ukibadilisha na Colombiano Peso unakuwa tajiri sana.
Sasa pale tulipofikia na jamaa yangu kulikuwa na binamu yake,hawa watu wa Latin America wanaishi maisha ya ujamaa sana,yaani ile extended family nadhani watakuwa hata wameizidi Afrika.Huyu binamu wakati huo alikuwa around 20's,akiitwa Andrea Bibiana Pacheco,hawa Wakolombia huanza na majina ya kiume hawa.
Tulikaa Bogota kama week tatu,muda wote tulifanya outing basi tunatoka na Bibiana,na nilipewa tahadhari kuwa better niwe natoka na mwenyeji kukwepa wahuni,na Bibina alikuwa mjanja kwelikweli pale Bogota...Mtoto wa Kilatino alikuwa ana nywele ndefu mpaka kiunoni,rangi ya kilatino na pini kwa pua.
Muda mwingine natoka na Bibiana bila jamaa yangu,tunakwenda mtaani nampigisha pombe tunarudi.Kumbe nyakati zote Bibiana kashaawambia pale mtaani kuwa mie mtu wake,lakini sasa mimi sijui.Na kwa kweli nilikuwa namlisha bata na anajitanua sana tukiwa mtaani.Tatizo kuwa hakuwa na good command ya Kingereza,so kuna mahali kulikuwa na mkwamo wa mawasiliano.
Jioni moja nikatoka na Bibiana na rafiki yake mmoja,alikuwa mzuri sana kuliko Bibiana,wakanywa wakachangamka...yule rafiki yake akawa ananikonyeza,Bibiana akienda chooni anananishika huku na kule...na mie wakati huo nguvu zipo,nikasema wacha nifanye utalii wa Latin America,na sababu sikutaka kumla Bibiana as ni binamu wa jamaa yangu.
Mimi nikawa muwazi kwa Bibiana kuwa niunganishie kwa best yako,nimempenda,huku nikiwa na uhakika yule mwanamke hatakataa sababu alishaanza kunitega,kumbe ye anaogopa Bibiana sbb alishajitangaza kuwa mie wake,na mie namtaka yule rafiki wa Bibiana sababu siwezi kutembea na dada wa jamaa yangu.
Basi nilipomwambia Bibiana akastuka sana,akanambia yule muhuni achana naye na ana jamaa zake wapo kwenye magenge ya wauza unga,watanitegea mtego then wanipoke pesa na kunidhuru.Hapo nikawa mdogo kiasi ukizingatia ile nchi ina wahuni sana.Wakati ule tunaongea kumbe yule demu kaenda mle Club kachukua rest room,maana ni zile club ambazo ndani mna shower na rest room unaweza kupumzika then upande mwingine ndio bar/club.
Baada ya muda,sijui alicheza mchezo gani,akawa kama kanisogeza dancing floor then nikaja kuibukia kwenye kichumba,wao wanaita "parcero".Kule mtoto wa Kilatino nikakuta kaandaa mandhari hatari,nikapigwa nuru massage pale ya kufa mtu.Sijakaa sawa tukawa tumemuongezea shetani wafuasi.Nikajikuta nimekula tu tunda bila gharama.Na kwa kweli alinitega sana na siku mbili baadae nikamla tena kiutaniutani.
Akawa anasema anamuogopa Andrea Bibiana,sbb ni mpenzi wangu,nikamwambia si kweli...basi wakati huo kumbe Bibiana anazunguka ukumbi mzima anatusaka,baadae tukajichanganya akakuta tunacheza mziki...hapo alikuwa kashalewa kidogo,akaja akanikumbatia akanivutia pembeni...huko nikaona mtu ananishikisha Ikulu,mara wizara ya kilimo na mifugoa,sijakaa sawa naona wizara yake ya mambo ya ndani imepanuliwa nashikishwa.
Basi pale nikapewa mambo ya Kilatino kila nachooulizwa nakubali tu,muda kidogo akachukua cable mpaka hotel jirani nakuta mtoto anaingia kavua,kaenda kuoga anarudi kama alivyozaliwa.Hawa watoto wa Kilatino wanajua sana romance,basi nilipigishwa gwaride pale balaa sana!usiku mmoja nikawa nimekula watoto wawili wa Kilatino kwa masihara.
Miaka kadhaa baadae,nikaja kukutana na Andrea Bibiana akiwa Hispaniola kwa kaka yake nilipoenda kumtembelea likizo ya majira ya joto,hapa ndio nikala kimasihara haswaa,maana nikiwa nimelala usiku,nilistuka mtu kaingia chumbani kwangu na ananipapasa,naamka namkuta anasisitiza anataka kukumbushia...Tukaunga ujamaa na shetani usiku mzima,baadae binamu yake alikuja kugundua namla ndugu yake,Walatino hawana shida,Bibiana alikuja kuolewa na jamaa wa Venezuela,wakahamia Uspania na sasa wana watoto watatu,na mmoja ni zao la akademi ya Real Mallorca....