Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nasomaga kisa kimoja tuu jamani, visa vinahamasisha unaweza kuwa mwekundu ukiwa kazini...mimi hua nascreenshot nilipoishia ili nikija tena nianzie palepale nisipitwe ata na nukta[emoji23][emoji23]
Mi nilikuwa C nilikuwa na dogo mmoja MDL akiishi D, mwingine Md pale A now ni md5 nikiwatajia am sure mtamfahamhahahaha nimekaa hapo room number 37,
tumezagaa sana block D, A, N na K kitafuta matunda ya warembo kule.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji85][emoji85][emoji85]Mimi nasomaga kisa kimoja tuu jamani, visa vinahamasisha unaweza kuwa mwekundu ukiwa kazini...
Hahaha, sakayo mdogo wangu hata sina ID nyingine. Labda uniambie nifungue nyingine ili nikuwe nakupm mara moja moja.Niambie jamani kaka yangu kipenzi... Hivi unajua venye nakupenda mimi jamani!!
ID ile ulosimulia nayo kale kastori [emoji39]
Mimi nasomaga kisa kimoja tuu jamani, visa vinahamasisha unaweza kuwa mwekundu ukiwa kazini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha, sakayo mdogo wangu hata sina ID nyingine. Labda uniambie nifungue nyingine ili nikuwe nakupm mara moja moja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mi sisomi kama sipo eneo salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiriaga nikiwa room nimetulia
Mimi nasomaga kisa kimoja tuu jamani, visa vinahamasisha unaweza kuwa mwekundu ukiwa kazini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo sawa, kuna kipindi unajisahau unasoma mchana
Yaani acha kabisaa jamani, macho yanabadilika na rangi jamaniHapo kwenye kuwa mwekundu, aisee.
We
wewe hujala tunda kimasihara ila umekula tunda bila ridhaa ya demu. Kwa ufupi umebaka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]ukiona mambo hayaeleweki unaacha aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama mimi nimeacha kabisaa jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]badae unakuja kuendelea [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio uliliwa kimasihara!!Mambo vip wadau.ngoja tutapate mbili tatu hapa twende pamoja.
Kuna mwaka fulani ivi nilipata interview yapi merkezi kilosa uko na ilikua interview ya pili ya kwanza nilipita.nikatoroka job chapu san nikapata lift gari ya tabora nikashuka dumila kwan nilikua natokea dar.
Pale kuna vigari vya kwenda kilosa uko naul buku 5.basi bwana nikaingia kwenye gari nikakuta watu wachache sana na konda akanambia kakae seat ile pale ambayo upande wa dirishan alikaa dada mmoja ivi age kanizid 8(nilijua baada kuwa nae).
Nikaweka begi na nikamwambia nashuka naenda kunywa soda kwan nilikua sijala kabisa.
Baada ya mda gari ikaondoka na mwanzo wa safari hatukuwa na story kabisa ila story zilianza baada ya yeye kujimwagia juice alaf hana kitambaa ndo nikampa mimi.akajifuta na story za apa na pale zikaendelea
Kupunguza urefu wa story tukafika kilosa ila nikajifny sijawah kufika kabisa so akaenda nitafutia lodge anayoifahm,(n.b. yeye alienda kilosa kutafuta mfanya kazi wa ndani kule na ndo kwao alikozaliwa).nikafika lodge yeye akasema anaenda kwao ila atakuja kunichukua anitembeze mjini kilosa,tukabadilishana namba fresh kabisa na mpaka hapo alarm kichwan haijapiga kwan nilikua nawaza interview tu
Baada ya mda akarud na kuanza kujieleza dah "sijaoga kwan kulikuwa na watu wengi nyumban na story zilikua nyingi" apo ndo akili ikaanza kuingiwa na malue lue kidogo na kuanza kuwaza ujinga ujinga ivi.ghafla akaanza kuvua nguo ili akaoge,nikaanza kujiuliza maswal uyu dada vip hata haogop wala nin na ukumbuke mpak hapo hatufahamian majina. Akaenda kuoga fresh na kurud ndani na kuangusha khanga yake na kuanza kupaka mafuta tena akaniomba nimsaidie kumpaka mafuta,apo nikajisemea kimoyo moyo hanijui huyu.
Nikaanza kusurvey mwilin mwake na shughuli ya kumpak mafuta ikaishia apo na tukaanza mengine ila ninachoshukuru mungu nilikumbuka zana nikaenda reception nikapewa kam 10 ivi (zana ambazo zimekaa kam mkanda ivi ndo mara ya kwanza kuziona za style iyo)
Nikajikuta nakaa siku 3 pale ndo nikaondoka na jina lake nilijua baada ya kufika dar
Popote ulipo agiza nyagi kwan namba yako nshapoteza ila kila nilipokupigia ulikua upo tayr tuonane sema mim ndo nilikua mambo mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We niimagine tuu!! Huu uzi ni hatari sana jamani
Kisa kipi mdogo wangu mpenzi??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siamini mimi jamani kaka kipenzi, kile kisa kinafanana na wewe kabisaa my dear