Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Natamani niache huu uzi kwa wiki sijasoma nikikrudi nikute mastori kama mia mbili hivi ila matokeo yake haipiti masaa mawili sijaupitia.... Huu uzi umeniletea addiction ya ajabu sana.. Mpaka kwa sasa basic needs zangu ni food, shelter, Clothing na huu uzi..
Daaa umenichekesha sana wee jamaa kwa hiyo huu uzi wa kula tunda kimasihara nao umekua moja ya basic needs zako!!
 
nimefutilia story za wadau wengi wakieleza matukio yao mpaka natamani mods watengeneze series ya huu uzi ukiingia huna haja ya kusoma comment zisizo na visa


ANGALIZO: wadau msiuze ramani za mliowala kimasiraha kwa kutoa location au vitendo au matukio yenye kufanya watu wajue siku wakipitia huu uzi....naona watu wanajiachia
 
Ignoring the content and technicalities ulizojinadi nazo, napenda kusifia uandishi wako. Mtu anavutiwa kusoma mwanzo mwisho.
.
.
And ofcz inatia hamasa cz mtu unasoma huku unakumbuka moments kama hizi. I think every man should have these kind of exposure.
Memories boss, nimekumbuka mengj wakati nikiandika.

Thank you for the compliment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu na jana tena nimekula tunda kimasihara na ni kwa mara ya kwanza japo kiakili sipo sawa hata kidogo,na nimekuja kuandika hapa baada ya kutoka hospital na yule demu lisaa limoja lililopita.

Ilikua hivi

Jana wakati nipo zangu k/koo natoa pesa kwa wakala mara muda ule ule akaja demu mmoja mdogo hivi age 18-21 akawa anataka kuweka hela kwenye simu yake(sifa zake alikua black sura iko simpo ila huko nyuma ana mk***u balaa tupu).

Kimasihara tu wakati anataja namba yake ya tigo nikawa nainakili sijui nini kilinisukuma basi baada ya kupewa pesa yangu(sms ilichelewa kumfikia wakala) nikasepa huku nikimuacha pale...ilipofika saa 6 mchana wakati narudi kutoka msimbazi maelekea kituoni nikapande gari nikajisikia tu hamu ya kumpigia yule manzi..basi nikapiga mara ya kwanza ikaita bila kupokelewa,nikapiga mara ya pili akapokea nikamsalimu akaniuliza nani nikamjibu "Kichumvi uboho" akauliza ndo nani nikamjibu unanifahamu kwa sura maana tumekutana lisaa limoja lililopita hapo kwa wakala na namba yako nikachukua hapo akasonya akakata simu.

Nikaa kama dk 10 nikapiga tena akasema nisimsumbue nikamwambia sawa sio ugomvi ila mimi bado nipo k/koo karibu na kituo cha gerezani karibu tupate hata juice na chakula...akajibu "nani amekwambia ana njaa na chakula chako?" Akakata.Sikukoma nikapiga tena hakupokea nikapiga kama mara 4 akawa anakata nikakausha wakati nishapotezea nikaona wacha niingie kweli kwenye ile lestaurant iliyopo k/kko stend ya mbagala ya zamani..nikaaagiza juice,kabla sijakunywa nikampigia tena akapokea nikamwambia sio vizuri binadamu mwenzako anakuomba kama Mungu halafu humuhurumii akacheka akasema we king'ang'anizi sana haya nakuja niambie ulipo.Kweli nikamwelekeza akaja akaagiza tukala bil ikaja 8700 nikalipa hapo sikumwambia chochote zaidi ya stori za kawaida.

Baada ya kula nikamwambia mimi naelekea zangu nyumbani nikamtest twende basi upajue ninapokaa,akajifikiria kama dk kadha akasema sawa twende haooo mpaka home...tumefika saa 9.Nikamwacha nikamwambia naomba nikaoge sawa akakubali kurudi namkuta kavua nguo ya juu anadai anaona joto mi nikamjibu waweza vua hata zote usiogope..akaniangalia akaniuliza ili iweje nikamjibu ujisikie nafuu..muda si punde akadai anasikia usingizi ukweli mimi huo muda nilikua na uchu usio na kithiri ule mzigo ni hatari..nifupishe stori baada ya mafekeche nimenaw sana nikakuta anavuja kiutani nikaomba Nundu akagoma anadai hajawahi fany nikamwambia ngoja nione mzee kujaribu chuma Mang'anyu dah piga sana dude aisee mara ya kwanza na najuta sana wazee.

Yule demu amelala kwangu mapaka asubuhi kwao walipiga sana simu hasa mama ake akamjibu yupo kwa rafiki yake basi wakaelewana naamka asubuhi sikua na amani hata kidogo japo tulitumia kondomu mwanzo mwisho hiyo hali hata yeye aliiugundua ndo mchana tukakubaliana twende tukapime nusu nizimie nashukuru majibu yamekuja fresh n ameenda kwao ila sitamani tena kuendelea nae nahisi nitazoea huo mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani eeh.... halmashauri ya kichwa changu imeamua Pendo aitwe.

Najua hii sasa sio kula kimasihara so sitaweka details za kitakachoendelea ndani ya chumba tinted ambacho ukiwa ndani unaona watu walioko garden, kiufupi nimeshachukua room na nimehakikisha napata ambacho tutakua tunamuona mhusika, tayari Pendo amesema anajiandaa anakuja maana hata hivyo anajisikia guilty kufanyia home na pia kesho parents zake wanakuja na atakua bize sana so today will be the last time kufanya na mm maana akiolewa hataki tena (wanasemaga tu).

Kilichofanya nimuite Pendo ni huyu jamaa. Yaani ni hana heshima. Namna anavyonisimulia issue za wanawake zake yaani nimejikuta naumia moyoni. Ofcourse, mwanaume utakua na mchepuko au michepuko, ila unatakiwa ufanye juu chini mkeo asihisi unamvunjia heshima. Kama mm tu, nikiwa na wife ni full kumdekeza anajiona the luckiest woman alive, ila jamaa yangu sasa dah, amecomfirm kabisa kuwa Pendo anamuoa tu sababu ni mwanamke wife material, yaani mpole, anaheshima na anaweza lea familia ila hana hata chembe ya love kwake.

Yaani ndani ya nusu saa tu tangu afike hapa kashanifungulia mafaili ya kufa mtu, nikawaza nikasema ukute hata washkaji wake wengine anawafungukia zaidi ya alichoniambia mm, huenda hata mambo ya ndani ya Pendo anasemaga... nikamuuliza tu kizushi, "vipi lakini si unainjoi ukiwa nae uwanjani" siamini jamaa alivyotiririka, oooh mara mvivu, anachoka mapema ila akacomfirm kuwa Pendo ana K tamu bt ndo hivyo jamaa anapenda mperampera.

Nikaona huyu bazazi hata ndoa yake ikiahirishwa poa tu, itakua nimemsaidia Pendo, maana naona kabisa aina ya maisha wanayoenda kuishi. Alafu anatamaa na haangalii wakumla, hapa kashachukua namba ya bar maid wa hapa. Pia hata tamaa ya vitu ambavyo hajafikia level yake. Ashaanza kutamani ndinga nnayoendesha, namwambia mbona unagari nzuri tu, anasema haimpi heshima town. Kiufupi amejustify matamanio yangu.

Kila nikiwaza the excitement ntakayopata ,na namna Pendo alivyo duh. Najikuta jeshi linasimama mguu sawa.

Like i said earlier, its no longer kula kimasihara, this is totally a deliberate and well thought-out act of sin. And thus, will not dwell into the details. But men, if you cheat, don't ever make it easy for your girl to find out.

My wife anasemaga she knows most men cheat, so the idea of me having a mistress doesnt bother her as long as she knows (thinks) its not true.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa nakufeel mzee jinsi unavyojustfy kula mke mtarajiwa wa mtu😂😂.. trust me huyo ni bro shetani anafanya mambo yake..

Mimi nilikula dem wa mshkaji wangu close sana huku nikiwa najustify sana lengo nipate uhalali wa kumla.. hili swala la papuchi wanaume tuko very weak
 
Back
Top Bottom