Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Wea kani ai faindi iti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wea kani ai faindi iti
Daaa umenichekesha sana wee jamaa kwa hiyo huu uzi wa kula tunda kimasihara nao umekua moja ya basic needs zako!!Natamani niache huu uzi kwa wiki sijasoma nikikrudi nikute mastori kama mia mbili hivi ila matokeo yake haipiti masaa mawili sijaupitia.... Huu uzi umeniletea addiction ya ajabu sana.. Mpaka kwa sasa basic needs zangu ni food, shelter, Clothing na huu uzi..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Memories boss, nimekumbuka mengj wakati nikiandika.Ignoring the content and technicalities ulizojinadi nazo, napenda kusifia uandishi wako. Mtu anavutiwa kusoma mwanzo mwisho.
.
.
And ofcz inatia hamasa cz mtu unasoma huku unakumbuka moments kama hizi. I think every man should have these kind of exposure.
Okei okei
Aisee una maneno adim na mzito kweli sasa ukiwa mwekundu si kuliwa kunakaribia et?Mimi nasomaga kisa kimoja tuu jamani, visa vinahamasisha unaweza kuwa mwekundu ukiwa kazini...
Nakuja fastaNani kasema jamanii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe sio mzima wallah
Aisee naanza kuamini kama nyie ndo mnainjoy zadi yetu.mi sisomi kama sipo eneo salama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiriaga nikiwa room nimetulia
Khaaaa utam unakua kiasi hichoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nachungulia tuu jamani, hapa unaweza paramia mtu kabisaa
Ushakua mwekundu hafu umbewe na kaka ako kipenzi atapona kweli?Njoo niombee kaka yangu kipenzi
Aisee naanza kuamini kama nyie ndo mnainjoy zadi yetu.
'mtindilo'
Kiranga is a singularity, do not mention his name in vain.harafu unaweza kukuta hii I'd mpya in ya Kiranga , Mshana Jr au mzizi mkavu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa nakufeel mzee jinsi unavyojustfy kula mke mtarajiwa wa mtu😂😂.. trust me huyo ni bro shetani anafanya mambo yake..Jamani eeh.... halmashauri ya kichwa changu imeamua Pendo aitwe.
Najua hii sasa sio kula kimasihara so sitaweka details za kitakachoendelea ndani ya chumba tinted ambacho ukiwa ndani unaona watu walioko garden, kiufupi nimeshachukua room na nimehakikisha napata ambacho tutakua tunamuona mhusika, tayari Pendo amesema anajiandaa anakuja maana hata hivyo anajisikia guilty kufanyia home na pia kesho parents zake wanakuja na atakua bize sana so today will be the last time kufanya na mm maana akiolewa hataki tena (wanasemaga tu).
Kilichofanya nimuite Pendo ni huyu jamaa. Yaani ni hana heshima. Namna anavyonisimulia issue za wanawake zake yaani nimejikuta naumia moyoni. Ofcourse, mwanaume utakua na mchepuko au michepuko, ila unatakiwa ufanye juu chini mkeo asihisi unamvunjia heshima. Kama mm tu, nikiwa na wife ni full kumdekeza anajiona the luckiest woman alive, ila jamaa yangu sasa dah, amecomfirm kabisa kuwa Pendo anamuoa tu sababu ni mwanamke wife material, yaani mpole, anaheshima na anaweza lea familia ila hana hata chembe ya love kwake.
Yaani ndani ya nusu saa tu tangu afike hapa kashanifungulia mafaili ya kufa mtu, nikawaza nikasema ukute hata washkaji wake wengine anawafungukia zaidi ya alichoniambia mm, huenda hata mambo ya ndani ya Pendo anasemaga... nikamuuliza tu kizushi, "vipi lakini si unainjoi ukiwa nae uwanjani" siamini jamaa alivyotiririka, oooh mara mvivu, anachoka mapema ila akacomfirm kuwa Pendo ana K tamu bt ndo hivyo jamaa anapenda mperampera.
Nikaona huyu bazazi hata ndoa yake ikiahirishwa poa tu, itakua nimemsaidia Pendo, maana naona kabisa aina ya maisha wanayoenda kuishi. Alafu anatamaa na haangalii wakumla, hapa kashachukua namba ya bar maid wa hapa. Pia hata tamaa ya vitu ambavyo hajafikia level yake. Ashaanza kutamani ndinga nnayoendesha, namwambia mbona unagari nzuri tu, anasema haimpi heshima town. Kiufupi amejustify matamanio yangu.
Kila nikiwaza the excitement ntakayopata ,na namna Pendo alivyo duh. Najikuta jeshi linasimama mguu sawa.
Like i said earlier, its no longer kula kimasihara, this is totally a deliberate and well thought-out act of sin. And thus, will not dwell into the details. But men, if you cheat, don't ever make it easy for your girl to find out.
My wife anasemaga she knows most men cheat, so the idea of me having a mistress doesnt bother her as long as she knows (thinks) its not true.
Sent using Jamii Forums mobile app