Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Daaah[emoji2][emoji2]wahuni sio watu wazuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu ngoja NI SHARE jinsi demu wangu alivoliwa kimasihara na Baharia mmoja hvii...
Nilikuwaga na dem 1 hivi alinipendaga sana sasa kadri siku zilivozid kwenda na mm ndo nilzid mkinai ikafika stage sina hata mzuka nae nilikua nishavuta chombo ingine.
Kuliwa kimasihara ilikuaje?? Weeknd nilikua nmeenda mbalamwez na mtoto mpya kula maisha, sasa kumbe uyu dada alikuwa ananifatilia nyendo zangu nipo wapi nafanya nn etc... bhs si akaja pale mbalamwezi kuleta vaggi me nikamchana “me na wewe bhs mbna huelew wewe malaya??” Alilia sana mbele ya watu pale akakaa pembeni yetu akaagiza drinks akawa anakunywa sisi tukaona jau tukasepa escape1 enzi hzo escape ni fire..
Nakumbuka asbh sa12 dada anapiga cm sikupokea akatuma txt hajui alipo na hana nauli nmsaidie nikapatwa na huruma kumbe kaliwa kimasihara tyr[emoji23][emoji23]. Nikamwambia ampe simu mhudum ndo kunielekeza yuko kawe nkapanda mpaka kawe namkuta dada analia nkamwuliza nn? Akanambia muda ule jana alikunywa sana kuna mtu aliondoka nae hata hamjui ndo alimleta lodge so kamfu**ck bila ridhaa ake yan kambaka na uyo mtu hta sura hamjui. Niliishiw poz i ofcoz iliniuma honestly, nilimpa nauli 20k na nikamtia red card nkamwambia asinitafute tena kila mtu aendelee na maisha ake[emoji23][emoji23].
Wanaume sisi ndo chanzo cha hawa wanawake kuliwa kimasihara tuish nao kwa makini, MABAHARIA sio watu nahis hyu baharia alishaweka uzi wa kula kimasihara[emoji23][emoji23]. Pia dada zetu achen pombe hizi ndo zinafanya mnaliwa kimasihara
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app