Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
umevunja uaminifuNGOJA NILETE YANGU NYINGINE YA NILIVYOMLA DEMU WA MFANYAKAZI MWENZANGU KIMASIHARA
Mimi ni muajiriwa ktk Taasisi x iliyopo ktk mkoa x...sasa hii taasisi imejenga nyumba za wafanyakazi nyingi sana...zaidi ya 40..ila wafanyakazi wengi wamepanga nje,hawapendi kukaa hizi nyumba kwa sababu ni old fashioned though zina choo na bafu ndani(hakuna master bedroom)na vyumba vitatu
Sasa siku moja mfanyakazi mwenzangu(sina mazoea nae sana)ali import mzigo kutoka DSM...huyu jamaa alikuwa ameoa na mkewe anakaa mkoa jirani kabisa na mkoa tuliopo
Jamaa alikaa na ule mzigo siku 2,siku ya 3 mida ya sa 6-8 mchana..nilirudi kwangu nnapoishi(sikumbuki kitu gani kilinirudsha)
Ghafla jamaa akiwa na mchepuko wake...akatumiwa meseji na mkewe kuwa amekaribia kufika Stand ya mkoa tulipo(mke aliamua kumpiga suprise).. Jamaa sasa kwa kiwewe,kutoka nje,akaona kausafiri kangu kamepark nje,akajua nimo...akaja Fasta anahema kweli kweli akanieleza scenerio nzima akiomba nimsaidie kumuhifadhi yule demu kwangu kwa mda flani mpk amalize kumuweka sawa mkewe..nikamkubalia
Akarudi kwake..dk c nyng karudi na yule Manzi,kumchek ni wa kawaida sema figure imesimama..basi nikamkaribisha ndani..jamaa akasepa kwenda kumpokea mkewe huko stand
Kwa vile mm nilikuwa narudi kazini..nilimwacha manzi sebleni akicheki muvi...nikamuonyesha na chumba cha wageni (in case akitaka kupumzika),mm nikaamsha kazini(nikampa na no yangu just in case)
Nipo kazini,ikaingia meseji..."nikupikie nn usiku"..moja kwa moja nikajua atakuwa manzi wa jamaa..nikamjibu"chochote isipokuwa ugali" tu
Narudi kutoka kazini Saa 11 namkuta manzi yupo sebleni..nikampa hi nikazama ndani kuchek jikon msosi ushapikwa fresh..nikajimwagia maji,badili nguo nikarud seblen nikaanza sasa kupiga nae stori
Inshort Manzi alikuwa anajua kuwa jamaa ana mke hvyo haikumshutua sana..basi(kumkirimu mgeni),nikamwambia naenda kuchukua kinywaji dukani(si mbali sana na nnapoish)nikamuuliza nn nimletee akajibu "chochote ila c soda"...akili za kishetani zikaanza ku ring a bell
Nikachoma mafuta hdi store moja kubwa ya vinywaji..nikanunua caton 1 ya savanna na Penasol(mm ni mpenzi sana wa hii kitu,esp red)
Kurudi, tukala..zikaanza stori huku tunacheki muvi na vinywaji juu(mabaharia pombe ni kishawishi kizuri sana kwa hawa mabinti wanaokunywa,hutumii nguvu kivile)
Manzi kagonga ya 1 ya 2 kufika ya 4,naona kaanza kuchangamka...ananiuliza huna video za mziki..nikamuambia nnazo..nikamuwekea wimbo kipindi hicho unatamba sana wa KATIKA by navy kenzo ft Diamond...demu asianze kuyarudi pale..sikuchelewa nami nikajiunga..cheza nae pale..touch 2,3..mara nkaletewa ulimi,romance safi...kilichotokea MABAHARIA mnakijua
Kesho yake ilikuwa J2 nakumbuka,jamaa baada ya kumsindikiza mkewe stand asubuhi...sa 2 katia timu,kamchukua manzi wake kasepa nae na hakujua lolote hd leo, ingawa mawasiliano yaliendelea na yule manzi na nilipita nae mara 2 nyngne then tukapotezeana mazima
Sent using Jamii Forums mobile app