Ulishawahi kula tunda kimasihara?
1. Huruma 💯

2. Na Mimi nilikuwa nakutamani siku nyingi ila nikakosa nafasi so ikitokea hivyo ndio namim natake opportunity....ila kwa kuwa wewe akili yako fupi haiwazi nje ya box ukitoka hapo utaona umenila kimasihara kumbe ni huruma tu nimekuonea au na Mimi nilimiss
Ahahahaaa... au na wewe unakuwa umemla kimasihara
 
Kazi kujisifia tu wametula kimasihara, hawajui na wao tunawala kimasihara
Fanya na wewe uweke visa na mikasa Aidanna, haya mambo yanasaidia sana kujielewa na kuielewa jamii. Mtu ukiingia kwa ndoa usiwe na expectations kubwa/ndogo, uishi tu na mwenza wako.

Ndivyo maisha yamekuwa hivyo, tufanyaje sasa!!
 
Shida imeanzia pale nilicomment nitafungua ID mpya niwaletee chai "ilikuwa jumamosi haijapita hata week na wewe umeleta visa vyako na new ID ndio maana hao Vizibo wanahisi ni mimi

Watajiju bana, lemme enjoy some tea here [emoji3]
Mbna mwandiko unafanana huu.
 
Mienendo yng haikua ya kupendeza ila what matters is I ove him na nimeacha sababu hatua tuliofikia nikiendelea kufanya hayo mambo ntakua ni kukosa heshima kwake na kutojielewa has kpnd hiki ninachoelekea kua mke wa mtu!

Mkuu wala usipate tabu. Mbona hiyo idadi ni ndogo sana wa wasichana wa siku hizi. Yaani wanaume 6 ni idadi ndogo sana. Nimependa jinsi ulivyo jasiri kupata mwanaume unayemtaka. Hata wanawake wana haki ya kutii hisia zao na wala siyo wanaume tu.
 
Fanya na wewe uweke visa na mikasa Aidanna, haya mambo yanasaidia sana kujielewa na kuielewa jamii. Mtu ukiingia kwa ndoa usiwe na expectations kubwa/ndogo, uishi tu na mwenza wako.

Ndivyo maisha yamekuwa hivyo, tufanyaje sasa!!
Sawa kaka Eli naingia mitamboni muda si mrefu.

Maana inaonekana wadada hatuwali nyie kimasihara
 
Mkuu wala usipate tabu. Mbona hiyo idadi ni ndogo sana wa wasichana wa siku hizi. Yaani wanaume 6 ni idadi ndogo sana. imependa jinsi ulivyo jasiri kupata mwanaume unayemtaka. Hata wanawake wana haki ya kutii hisia zao na wala siyo wanaume tu.

Yeah your very right...we also love!
 
Back
Top Bottom