Mnama
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 2,963
- 2,694
Wakati huo mtoto mlimpeleka wapi.
Hii togwa kabisa
Soma vizuri utaona mtoto alikuwa wapi. acha kusoma kwa kuruka ruka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo mtoto mlimpeleka wapi.
Hii togwa kabisa
Ahahahaaa... au na wewe unakuwa umemla kimasihara1. Huruma 💯
2. Na Mimi nilikuwa nakutamani siku nyingi ila nikakosa nafasi so ikitokea hivyo ndio namim natake opportunity....ila kwa kuwa wewe akili yako fupi haiwazi nje ya box ukitoka hapo utaona umenila kimasihara kumbe ni huruma tu nimekuonea au na Mimi nilimiss
Fanya na wewe uweke visa na mikasa Aidanna, haya mambo yanasaidia sana kujielewa na kuielewa jamii. Mtu ukiingia kwa ndoa usiwe na expectations kubwa/ndogo, uishi tu na mwenza wako.Kazi kujisifia tu wametula kimasihara, hawajui na wao tunawala kimasihara
Brother are u serious? Weka namba yako pm haki ya Mungu i will probe u wrong utakuja kwapa ushuhuda wenzio
Mbna mwandiko unafanana huu.Shida imeanzia pale nilicomment nitafungua ID mpya niwaletee chai "ilikuwa jumamosi haijapita hata week na wewe umeleta visa vyako na new ID ndio maana hao Vizibo wanahisi ni mimi
Watajiju bana, lemme enjoy some tea here [emoji3]
Hahahah! Thank you kaka Eli
Mienendo yng haikua ya kupendeza ila what matters is I ove him na nimeacha sababu hatua tuliofikia nikiendelea kufanya hayo mambo ntakua ni kukosa heshima kwake na kutojielewa has kpnd hiki ninachoelekea kua mke wa mtu!
Sawa kaka Eli naingia mitamboni muda si mrefu.Fanya na wewe uweke visa na mikasa Aidanna, haya mambo yanasaidia sana kujielewa na kuielewa jamii. Mtu ukiingia kwa ndoa usiwe na expectations kubwa/ndogo, uishi tu na mwenza wako.
Ndivyo maisha yamekuwa hivyo, tufanyaje sasa!!
Haha kazi ipoKumbe ulisema hvy? Wallah watu wana kumbukumbu...just let them think whatever they want..kuna raia kashanifata pm eti yupo Depal uko vzr I was like[emoji33]
Unafanana na wako au?Mbna mwandiko unafanana huu.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Ndio Bonny [emoji3][emoji3][emoji3]
Jobha hongera kwa story nzuri nimejifunza kitu mwanamke akikuelewa wala hutumii nguvu nyingiHajaleta kakimbia
Unafanana na wako au?
Jobha ni nyakyusa work which means SEMA.
Na wewe umeamua kuyasema ya rohoni ili kuficha ID yako maarufu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wala usipate tabu. Mbona hiyo idadi ni ndogo sana wa wasichana wa siku hizi. Yaani wanaume 6 ni idadi ndogo sana. imependa jinsi ulivyo jasiri kupata mwanaume unayemtaka. Hata wanawake wana haki ya kutii hisia zao na wala siyo wanaume tu.
Jobha hongera kwa story nzuri nimejifunza kitu mwanamke akikuelewa wala hutumii nguvu nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mtu fulani. Hence proved.
Eeh bwana [emoji2] umelichambua haswaa!